Nimepokea taarifa kutoka kwenye chanzo chenye uhakika zikidai kuwa DC wa Bariadi amewashinikiza wananchi wa mtaa wa Mangaka wilayani Bariadi kupiga kura ya siri kuwaandika majina wachawi na wenye Fisi.
Takribani wiki tatu (3) zilizopita tulisikia habari za fisi kujeruhi na kuua watu kadhaa...
Ni nia ya Chadema kuona haki inazingatiwa.
Haya yako wazi kutoka kwa Mh. Mbowe kama ilivyo kutokea kwa Mh. Lissu.
Kwenu wakaanga mbuyu, tujenge nchi kwa haki.
Hii nchi ni yetu sote.
Nchi yetu kuna mambo ya ajabu sana pale idadi ya vikwonge kushambuliwa kwa tuhuma za kudai ni wachawi.
hii imejengeka sana tanzania kote na msemo huu ulisha kuwa na mizizi kwa watu ambao bado stage ya kufikia uzee kutumia :" Mzee mchawi, Mzee mwanga"
Je, stage ya uzee ndio stage ya hayo watu...
Wachawi nchini Congo 🇨🇩 DR wamefanya tamasha la wazi lenye nia ya kuonyesha nguvu na uwezo waluo nao.
Wachawi hao kutoka majimbo 12 walikuwa wamevalia mavazi yenye rangi kali na waliweza kuonyesha shughuli zao mbalimbali ambapo waliiomba serikali ya nchi hiyo iwapatoe leseni ili waweze...
GENTAMYCINE sijawahi Kukosea ama nikimpenda au nikimchukia Mtu (na hata rekodi zinanibeba) hivyo hata kama Watu wanachukua Fomu za Kugombea Uspika ila kwa Vigezo vyangu vingi na Sababu zangu nyingi namuona Naibu Spika Dk. Tulia Ackson anafaa na ndiyo Chaguo sahihi hasa kwa Bunge la sasa na...
Ni mara kadhaa sasa nimekuwa nikisikia kuhusu habari za nyota.
Hii nyota ni kitu gani haswa? Kwa mfano ukienda kwa mganga anaweza kuiona? Kwa namna gani?
Wengine husema nyota ni vipaji? Hivi vipaji vinaweza kuonekana kwa namna gani na wachawi?
Ni kitu kinachoweza kuonekana umbo lake?
Wachawi...
Kabla nawe hujageuka mchawi, tazama video niliyokuwekea halafu usiwe mgumu wa kuelewa.
Aliyeruhusiwa kuota tena ni binti wa Kitanzania, popote pale alipo. Nazungumzia binti yeyote ambaye sasa ameruhusiwa kurudi shule (Kuota tena) kupambania ndoto yake baada ya kukukosea na kupata ujauzito...
FAHAMU KUHUSU KITABU CHA MALLEUS MALEFICARUM MAARUFU KAMA NYUNDO YA WACHAWI
Hiki ni kitabu ambacho kiliandikwa na Heinrich Kramer na kuchapishwa kwa mara ya kwanza katika mji wa Speyer nchini Ujerumani mnamo mwaka 1486.
Kitabu hicho kimebeba ujumbe kuhusu wachawi ambapo ndani yake kuna...
Kutoka 22:18 inasema " Thou shall not suffer a witch to live" a Swahili for " Usimuache mchawi aishi".
Je, ni kwanini Mwenyezi Mungu alitoa hiyo decree? Kabla sijatoa majibu yangu kuhusu swali hili Wacha nitoe maoni yangu kwanini Mungu aliwakataza kabisa binadamu kujihusisha Na uchawi.
Ipo...
Habari zenu ndugu zangu wa Jf ni imani yangu kwamba nyote mko salama na niwape pole kwa mihangaiko ya wiki nzima hakika kazi inaendelea.
Sasa ndugu zangu mojakwamoja twende kwenye mada yetu kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Kumekuwa na stori stori nyingi mtaani kila mtu akisema lake...
Ni Mpumbavu tu pekee kwa Maandalizi hafifu ya Yanga SC kuelekea Mechi yao ya leo ya CAF CL dhidi ya Rivers United FC ndiyo alijua kuwa ingeshinda.
Ila kwa tuliocheza Mpira, tunaoujua vyema Mpira na tumebobea vyema katika Sayansi na Sanaa ya Mpira na Wachambuzi Binafsi wa Soka la Tanzania na...
Awali ya yote ninatoa pole zangu za dhati kabisa kwa ndugu jamaa na marafiki walio poteza ndugu zao kwenye tukio la salender. Tukio hili lililo kinyume na utu " INHUMANITY " LIlikuwa ni tukio baya kabisa kuwahi kutokea katika ardhi ya jiji la Dar Es...
Wachawi wanaporoga sio lazima wakutumie majini ama mapepo.
Wanaweza kukuloga kwa laana za kichawi, ama kukulisha uchafu nk
Je, ni kwa wakati gani wachawi wanalazimika kutumia majini kumloga mtu?
Kwanini watumie jini na sio uchawi wa kawaida?
cc Mshana Jr
Rakims
Nimeona kutumia hawa watu ambao wanga na wachawi kwa jinsi walivo na ushirikiano wa hali ya juu kabisa.
Maana mikasa mingi inayosimuliwa kuhusu hawa watu unaweza kubaki mdomo wazi.
Ila tuje kwenye mada iliyonileta sio sehemu yangu huko labda kaka @Mshana Jr anaweza kunieleza kuhusu kichwa cha...
Duniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza
Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu
Kisamvu ni mboga, mizizi yake ni chakula na hata shina lake huweza kutumika kama kuni
Lakini siri kubwa iliyopo katika mti huu ni kuwa, majani yake yana uwezo mkubwa wa kukufanya uwaone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.