Watanzania tuache unafiki. Wakati Musiba anamtukana membe watu wote tulisikia na hao maaskofu walisikia.
Wananchi tulinyamaza hakuna aliyesimama kumkaripia au kumkataza musiba asimtukane membe na hata hao maaskofu walikaa kimya.
Mzee Membe na familia yake na marafiki zako walikubali aibu ya...
Nilijaribu kukopa begi la elfu 65 huku nikilipishwa bukumbili kila siku hadi itimie yote, kwa thamani ya lilie begi Kariakoo imezidi sana 35 ndio nikapanga kumlipa 40 kwa huruma yangu.
Sasa hawa jamaa huwezi kuwadhurumu aseee, hata ukisafiri mwaka ukirudi utamkuta anakusubiri.
Kuna jamaa yangu...
Wasalaam
Usiku wa kuamkia leo niliota nimevamiwa na majambazi, nikaamka kuangalia saa ni saa tisa na dakika nne usiku. Nikatoka sebuleni nikaona mtu ananifanyia ssssssssssssshhhh kuashiria nikae kimya nisitoe sauti cha ajabu ila huyu mtu anafanana na Steven Seagal (sura yake) ghafla ile sura...
Wachawi wanachukua sura yangu wakati wa Usiku kwenda kuwanga.
Nashangaa naambiwa mi mchawi wakati sijawahi kuwa mchawi nilipofatilia nikaambiwa wachawi ndo wanatumia sura yangu na kunishikisha uchawi bila Mimi kujua.
Wakuu akina Mshana jr na wengineo nisaidieni nitumie mbinu gani kujikinga!?
Thread hii kwanza naiona na views wengi sana maana wabongo wengi wanapenda kujifunza. Nawapongeza kwa hilo. Back to the matters.
Njia za kuzuia wachawi wasiingie ndani kwako zipo nyingi na kila mtu anaifahamu yake.
Naiweka hapa ninayoifahamu na wengine waweke wanazozifahamu tujifunze.
Chukua...
Jamani nimekaa na Wasukuma, ni watu wakarimu sana na wenye upendo wa hali ya juu.
Hapa JF siku za karibuni yametokewa masimumulizi mengi ya riwaya yakiwaelezea Wasukuma kwamba ni jamii iliyooza na kutopea kwenye uchawi.
Jamani kweli mambo ndio yako hivyo? Au ndio wanaonewa na kumezewa mate?
Wanawake wawili, wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Wamachinga wakazi wa Wilaya ya Makete, mkoani Njombe wanaofanya shughuli zao ujasiriamali mjini Makambako wamezua taharuki mjini Njombe baada ya kuganda ghafla barabarani wakishindwa kusema chochote na kutembea kwa zaidi ya saa moja huku...
Habari zenu wananzengo, natumai mnaendelea kupambana na mfumko wa bei?!
Nisiwachoshe sana, nataka kujua hivi Ulaya pia kuna wanga kama huku kwetu? Hawa wanaorukia mabati na kukaba watu usiku, kifupi wanga nawachukia sana.
Mlioishi ughaibuni naomba mpite hapa kutupa experience yenu juu ya...
Leo imeendelea kuwa siku njema kwa wengi na chungu mno kwa wale wengine.
Akihojiwa na Mwananchi, amekuwa wazi kuhusu chokochoko za wachawi:
Ama kwa hakika washindwe na walegee.
Katiba mpya ni sasa.
-------
Source: Lissu ataka pangua zaidi jeshi la polisi
Habari
Naomba kuwathirisha nondo kidogo ambazo nimepata kwa wakulungwa na wakali wa hizi kazi
Kama unazo ambazo hatujui ziweke hapa
Ila kwa kuanzia hizi hapa
1. Kipande cha mti wa muhogo (siyo muhogo mpira )
2. Kipande cha shaba (bangili ya shaba vaa mkononi)
3. Chumvi ya mawe
Kubwa...
Jana nilikula kavaluu kadogo.
Kama kawa nikashashusia za kienyeji baadae nikasakafia na balimi tatu.
Nimerudi home saa tano nipo matingasi.
Sijasikia malue wala ndoto za ajabu za majinamizi na kukimbizwa usiku
Mwili huwa unatetemeka na kuwa kama unapigwa shoti.
Huwa naota ndoto za ajabu na kupiga makelele.
Lakini kama nipo matungileee huwa nalala vizuri asubuhi napiga mishe zangu tu.
1. Wachawi wa kawaida wanaojulikana; wanaopaa na Nyungo, na kuloga na kuwanga!. Hawa wanamharibia mtu Maisha yake ya kimwili tu, kufanya mtu awe na kasoro fulani fulani za kimwili, au kimaisha.
2. Manabii wa Uongo: Hili ni kundi la Pili la wachawi!, ambalo ni hatari sana kuliko hilo la...
Mzuka Wanajamvi!
Kuna msitu hapa ukivuka reli, nikaamua niende kutembea usiku huu kuzuga. Pupwe likawa linapuliza kichizi, na pia kwa wakati kama huu unajinyoosha vichakani huku unavuta mjani yaani unajiskia huko kwenye high mood.
Ghafla nikashtukizia kaajuza fulani mweupee, pale skin na macho...
Wasalaam ndugu wana JF
Kwa almost miaka 12 iliyopita, ninaishi katika eneo ambalo inasemekana lina mauza uza japo binafsi sikuwahi kuyaona kwa macho, ingawa nishaua wanyama ambao wamekuja kiajabu ajabu mara nyingi sana kama nyoka, ndege n.k
Katika eneo langu, ninafuga Mbwa, ninao mbwa 5...
UMUGHAKA ana uzi wake wa kichawi, aisee unasisimua sana.
Nilipoanza kuusoma niliona ni hadithi tu, lakini sasa ninachokiona ni zaidi ya hadithi.
Kuna wamama niliwaota usiku uliopita wakiwa uchi, cha ajabu wale wamama niliowaota nimekutana nao leo asubuhi Puma, Mwenge.
Nikatoka hapo nikaenda...
Ni tarehe 26/08/2022
Andiko langu la pongezi na onto kwa kijana wetu mpendwa ambae binafis ni kijana mwenzake lakini lazima nimwoneshe yakuwa aliko teuliwa kwenda Kuna vichaka vya wachawi kwa masilai Yao awe makini.
Lazima nikili yakuwa uteuzi wa Huyu kijana kuwa mkurugenzi wa CRDB...
Familia nyingi sana za ki Afrika zina mpasuko mkubwa. Ndugu wa mume wakitembelea familia hufanyiwa vitimbi na vibweka vya kila aina.
Wakija dada wa baba wa mwenye nyumba watasimangwa kwa maneno mbalimbali kwamba wamekuja kuvunja ndoa, wameleta uchawi na mbaya zaidi inafikia wanakataliwa hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.