Suala langu:
Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc.
Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya.
Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota...
Mi napenda sana mbwa, mbwa ni rafiki wa binadamu, mbwa ni wanyama poa sana, wanapenda sana kuwa na uhusiano wa karibu na binadamu, mbwa ana hisi hatari mapema sana na anaweza kukusaidia kweny ulinzi.
Wanyama wengine kama paka ni jau, unaweza dhani unafuga paka kumbe unafuga mtu.
Hivi kwann...
Niko Mwananyamala A hapa, pa kigagula mmoja aitwa Bi Mandela (hili ni jina kificho, sio halisi) . Jamani najuta kuishi katika nyumba hii..
Kuna vimbwanga vingi vinatendeka, wakati mwingine waamka alfajiri nyumba nzima imetapakaa kinyesi, ñya mbichi kabisa.
Leo nimeenda sokoni, nimenunua bata...
Samahani nabii Kiboko ya uchawi, mbona nakusikiliza hapa hii kama futuhi?
Aiseee huu ni mchezo wa kuigiza kabisaaa. Eti bibi katoka kijijini amefikia Kwa mwanae, Kuna watoto watatu wamefariki, wawili walishazikwa na Sasa Kuna msiba wa mtoto mwingine,baada ya kumpigia simu nabii ndio anasema...
Utopolo walienda na matokeo uwanjani. Walidhani Simba itafungwa. Haikua hivyo. Kauli zao kwa Sasa ni:
1. Simba asanteni kwa kushiriki.
2. Wakienda Misri watapigwa nyingi.
3. Ingekua Yanga tungeshinda goli 5 kama za KMC.
4. Al Ahly wa kawaida sana.
5.........
6.........
NB: Uto mko kundi moja...
Wachawi wanaweza kupanda mkuki, ufagio au ungi wakasafiri hadi nje ya bara kwa sekunde.
Wanaweza kuwaamrisha fisi, mamba, paka, mijusi hata mbwa kufanya wanachotaka wakati wowote bila kubisa.
Ni aibu kubwa mtu kujiita mfuasi wa Mungu mwenye nguvu zote wakati huna uwezo kwa Kucheza na vitu vya...
Kazi unafanya lakini hutoboi
Kusoma umesoma lakini huajiriwi
Kuajiriwa umeajiriwa lakini hali yako ni kama jobless.
Biashara unafanya miaka nenda rudi lakini hustawi.
Wachawi watu wabaya sana.
Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu.
Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo.
Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge...
habari zenu wana JF,
I hope ni wazima wa afya kabisa na wenye matatizo mbalimbali mungu awapone, ameen.
Kuna kisa kimoja kuhusu hizi nyumba za kupanga, tunaishi bila kuyaelewa vizuri mazingira na kupelekea kuwa na hofu na kuwaza vitu vibaya.
Nakumbuka niliahamia kwenye nyumba moja mtaa X ile...
Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine.
Wachawi wamvimbishe tumbo FaizaFoxy au wamkate kichwa Lucas mwashambwa , au wampige busha THE BIG...
Kamchape ni mganga wa jadi hupatikana Africa hasa nchini DRC Congo na wengine wao hupatikana hapa mkoani Kigoma.
Katika makala hii nitakujulisha kunako tasnia hii ya Uganga na nguvu za giza kutokea hapa Kigoma, nitakusafirisha na kukujuza kinagaubaga ili uweze kutambua Kamchape ni na nani? wapi...
Harakati za maisha zilinifikisha kijiji kinachoitwa Chiuta huko mkoani Lindi. Kijiji kipo eneo fulani ndani na uwanda wa juu (Makonde plateau) kama unaelekea Tandahimba ukitokea mji wa Mtama (kwa watoto 😆😆😆).
Miaka yangu michache niliyoishi kule nikifanikisha jambo fulani hivi, aisee...
Kwa Ujumla jibu ni HAPANA.
Namna ya ushangiliaji wa Mashujaa FC umekua ukihusishwa na imani za uchawi jambo ambalo kiuhalisia siyo kweli bali ni namna ya kujitofautisha na ushangiliaji wa Mashabiki wa timu nyingine.
Tuanzie kwenye logo ya Mashujaa FC ukiiangalia ni logo inayotambulisha...
Shalom wapendwa,
Leo nimekumbuka kisa hiki, kilichonitokea mwenyewe nikiwa katika harakati Mkoa wa Njombe. Narudia tena hii sio stori ya kufikirika imenitokea mwenyewe.
Uchawi hauna faida yoyote ni ujinga uliokomaa, ni utumwa. Walio wachawi wanamani kutoka ila there is no way out there...
Hawa wanga mbaki kuwasikiaga tu na kama huamini hawa watu wapo basi ni dhahiri wewe si mkristo wala muislamu maana haya mambo yapo kwenye vitabu vyote, na hata kwa mila zetu waafrika hawa wanajulikana kwa kuwa miiba katika maisha ya watu enzi na enzi,
Ni mwaka 2014 ndio kwa mara ya kwanza...
Wananchi wa Kijiji cha Sunuka, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wameshirikiana na Serikali ya Kijiji kuchukua Waganga wa Jadi zaidi ya 10 kutoka Sumbawanga ili kukagua wachawi waliomo ndani ya kijiji chao wakidai ndicho chanzo cha utitiri wa vifo vya vijana katika mazingira ya kutatanisha.
Baadhi...
Hii Dunia isikie vituko na majanga yake kwa wengine yasikukute.
Dada Jenifa amepitia visa na mikasa vya housegirls wachawi kwa uchache ntaweka visa vitatu (3).
1. Huyu alimtoa kijijini kwao kwa ant yetu alikuwa na kawaida yq kuharibu kila aina ya mmea dawa uliopo bustanini hasa ukifikia hatua...
Asalamu alyekum!
Niliacha kushabikia mpira miaka 10 iliyopita Baada ya kugundua kuwa Mpira unanigeuza kuwa wanga, mchawi na mwenye Roho ya husda.
Nilikuwa Mshabiki wa Simba Kwa timu za ndani, Huko Ulimwenguni nilikuwa Mshabiki wa Liverpool. Lakini nikaja kugundua kila timu pinzani(namaanisha...
Unasumbuliwa na wachawi, umegundua hilo bila shaka na tena umegundua ni nani, au hata kama hujagundua ni nani hasa anayekusumbua kupitia ushirika wake na yule mwovu, basi simama katika imani yako kwa Kristo Yesu kwa ujasiri. Hakikisha upo safi mbele za Mungu, pasipo hatia yoyote, vaa silaha za...
Unasumbuliwa na wachawi, umegundua hilo bila shaka na tena umegundua ni nani, au hata kama hujagundua ni nani hasa anayekusumbua kupitia ushirika wake na yule mwovu, basi simama simama katika imani yako kwa Kristo Yesu kwa ujasiri. Hakikisha upo safi mbele za Mungu, pasipo hatia yoyote, vaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.