wachawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kiboko ya wachawi kafanyiwa zengwe. Kama serikali iko serious iwafungie Suguye, Dr. Sule, Mwamposa, mzee wa upako, n.k

    Mimi ni miongoni mwa watu wanaozichukia sana hizi huduma za watu binafsi za kidini. Kama kweli wana hizo nguvu za kuleta utajiri, kuondoa magonjwa n.k basi wote wakusanywe uwanja taifa waombee watanzania wote wawe matajiri na wapone magonjwa yanayowasumbua. Suguye anakusanya kucha na nywele za...
  2. GENTAMYCINE

    Mwamposa naona sasa baada ya Mpinzani wako na uliyekuwa ukimuogopa 'Kiboko ya Wachawi' Kufungiwa na Serikali, umenenepa ghafla

    Tunajua umetumia Nguvu kubwa na Ukaribu wako na Waandamizi wote wa Chama na Serikali katika Kuwashawishi wafanye wawezavyo ili Mpinzani wako Kiboko ya Wachawi apigwe Pingu ya Kihuduma kwani nasikia hata sehemu ya Waumini wako walikuwa wanaanza Kukukimbia na kwenda Kwake Buza.
  3. USSR

    Kiboko ya wachawi amewalipa mamluki waje kumpigania kanisani, serikali iwe macho, unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii

    Baada ya kikao chake na watendaji jana walikubalia waite mamluki waje kumpigania leo asubuhi kwa ujira wa buku teni . Unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii hapa ili kupanua wigo wa kujifunza kuhusu hilo kanisa mpaka kufungiwa na unabii batili USSR
  4. GENTAMYCINE

    Serikali kama hii Taarifa ya Kufungiwa kwa Tapeli Kiboko ya Wachawi ni kweli kwanini na Matapeli wengine Wakomavu wa Kawe na Kimara Temboni wameachwa?

    Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu jambo fulani GENTAMYCINE nalijadili au nalizungumza mno hapa JamiiForums kwa 100% jueni si zuri na...
  5. M

    Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

    Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina ufanyikavyo. Pia soma: DOKEZO - Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya...
  6. matunduizi

    Wanaoanguka kanisani ni wanaopenda, wapiga picha na mabodigadi hawaanguki kwa sababu hawataki

    Katika kuperuzi huku na kule nimekutana na usahili wa huyu bingwa Kiboko ya Wachawi na mwandishi mmoja. Anaulizwa mbona mabodigadi, wapiga picha na vinanda hawaanguki kama wale waumini anasema ni kwa sababu hawataki kuanguka, hata waumini wakitaka wanaweza kutoanguka. Ni jambo la hiyari ya mtu...
  7. G

    Mfupa wa kitimoto kiboko ya wachawi.

    Wasaalam. Tangia nipewe hii elimu ya kuweka mfupa kwenye Kona za nyumbani kwangu!. Ile Hali ya kukabwa usiku na wachawi(majinamizi) imeisha kwakweli. Nawasilisha.
  8. B

    Tumia msalaba kuwashinda wachawi

    Kama unasumbuliwa na hawa wapumbavu ukiwa umelala unaota ndoto mbaya au unahisi wanakujia usiku au unaweweseka au watoto wanahangaika kuweweseka usiku weka msalaba wa Yesu Kristo juu ya neti au mbele ya kitanda chako kwa juu ya kichwa au ukutani ndani ya chumba chako ukutazame wewe ,hao...
  9. Morning_star

    Siku hizi mashetani na wachawi ndiyo wanaohubiri injili. Injili yao ni kavu haina mvuto

    Zamani ukienda sehemu za injili ya Kristo iletayo wokovu ilipokuwa inahubiriwa palikuwa na mvuto na upako kiasi kwamba ulikuwa unataka uendelee kusikiliza. Shida ilikuwa ni pale walipokuwa wanaita wale waliotayari kuokoka waje mbele ndo vita inaanza ya kukuzuia. Wale waliokuwa wanaishinda ndo...
  10. Pang Fung Mi

    Kuna Baa za kishamba sana wanagawa tishu Moja mara mbili sijui wachawi

    Shalom, Kuna Baa zinaendeahwa kishamba sana sijui wachawi, wanazikata tishu Moja vipande viwili sijui wanatumwa na mapepo ya kichawi. Zinakera hizo Baa natamani kuwatukana naishia kuzikataa hizo tishu za kichawi. Ukinawa baada ya kula msosi ukipewa hako katishu daah aibu kama unanawa uchafu
  11. LA7

    Mdomo ulivyomponza huyu ndugu mbele ya wachawi

    Habarini wakuu hatimaye sasa furaha yangu imeanza kumea baada ya kupambana na kuyashinda na kuyapunguza matatizo ikiwemo kulipa kitu cha watu kilichoharibiwa na mteja wangu nisiyemtambua, Mpaka nikaweza kupata nguvu za kuchapisha humu tena Nakumbuka mwaka 2013 kijijini kwetu walikufa wanaume...
  12. mdukuzi

    Wachawi na waganga wote wakutana usiku huu kuinusuru Geita Gold isishuke daraja

    Moto umeshawashwa,masufuria tayari kwa ajili ya nyama la kafara. Mgeni rasmi kutoka Gambush, anasubiriwa ili kuanza ibada Rais wa wa wachawi lake zone Azam ama zao ana zetu
  13. Kong xin cai

    Sisi wote ni wachawi sana sema tu hatujuani!

    Kama kichwa kinavyojieleza, sisi wote ni wachawi, umeanza kulogeshwa tangu ulipozaliwa. Sema tunajiificha tu na unafiki WA kivuli cha dini zetu ila nyuma ya maisha yetu kumejaa uchawi, uzinzi, ushirikina na kila aina vikorombwezo vipo huko. We endelea kuamini Kila mtu Kwasababu ya maneno Yao...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Watanzania wengi ni wachawi, makinika

    DALILI kuu ya mtu anayeitwa mchawi ni kupata furaha, amani au raja moyoni pindi mtu hasa yule wa karibu naye anapopata matatizo. Kwanini nasema Watanzania wengi ni wachawi? Ni kwasababu Watanzania raha yao ni kuona watu hasa wa karibu yao wanakwama, wanafilisika, wanahangahika kusaka ajira...
  15. THE FIRST BORN

    Simba wanasema jana wamecheza Mpira Mwingi kuzidi Yanga, ila Gamondi anasema Yanga jana walikuwa kama wanapiga mazoezi tu

    Habar mwanajukwaa Ukikaa na baadhi ya mashabiki wa simba wanakwambia jana wamecheza mpira hasa ile dakika za mwanzon kabla ya kula chuma 2. Ila pia wanasema wamecheza sana Mpira Second half na wanaamini ni bahat tu haikua kwao ila wengeweza kuchomoa zote na kushinda au game kuisha Sare. Ila...
  16. N

    Pongezi kwa waliopaza sauti kupitia JF kuhusu anajiita "Kiboko ya Wachawi"

    Natoa pongezi kwa wale waliokuwa wanakwazika na habari zilizokuwa zinarushwa hewani kupitia redio kuanzia saa 6 usiku hadi saa 11 alfajiri. Kupitia hapahapa JF kulikuwa na maandiko kadhaa kuelekea TCRA kuwa wajiridhishe kuhusu kituo cha Redio kinachorusha habari zake, takribani wiki sasa redio...
  17. Mtukutu wa Nyaigela

    Waganga wa kienyeji na wachawi ni mawakala wa shetani, kwanini wanapingana

    wakuu hebu tusaidiane. waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani kwanini wanapingana mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife cc rakims ccmshanajr walker water
  18. BICHWA KOMWE -

    Watanzania wengi ni wachawi na waganga: Ukizama wanakufariji, ukiinuka wanakushambulia

    Ukiwa na madhila utapata watu wengi sana wa kukushauri na kukupa nasaha. Wengine watajifanya motivational speakers huku wakikupa usia wa mambo kadhaa ya kubumba. Baadhi watajitutumua na kujifaragua kwamba wanakujali sana, ati wako tayari hata kufunga novena. Lakini ukiwaambia nina milioni...
  19. GENTAMYCINE

    Huyu Pasta Dominiki 'Nabii Kiboko ya Wachawi' ni nani? Nguvu yake ni ya Kweli? Siyo Msanii kama wa Kawe na Kimara Temboni?

    Kwa Nyomi Kubwa alilonalo sasa na Nyota yake inavyoanza Kungaa huku Akipendwa na Kukubalika zaidi kwakuwa huwa Habahatishi kwa Kukutajia Mbaya wako (hata kama ni Mzazi au Nduguyo) huku Akiwaumbua na Kukutajia Wachawi wako na akikuombea na kufanikiwa hawa wa Kawe na Kimara Temboni wasipomkalia...
  20. Pdidy

    Ukatili wa Kijinsia kwa watoto Kanisani: Tupinge kuita watoto wachawi mbele ya kanisa na kuwarekodi kwente tv na redio

    Tukielekea kuadhimisha wiki ya ukatili wa kijjnsia kuna mambo yanaendelea baadhi ha makanisa ya manabii mitume na makuhani hayanipendezi. Kuna mambo ukienda makanisani kwa watajwa hapo juu naumia sana. Wanaita watoto wadogo kabisa wanawambia wewe uko kikundi cha wachawi. Kwa uwoga wanajibu...
Back
Top Bottom