wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Wachezaji wa Taifa Stars baada ya kuambiwa Kocha Mkuu Adel hayuko tena wamefurahi na kuahidi kufanya kweli

    Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche. Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha...
  2. S

    Tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani inanikera sana

    Katika vitu vinavyonikera na kunitia kinyaa ni tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani,. Najua sometimes kuna sababu(jasho kudondokea mdomoni, n.k), ila lazima kuwe na hatua za ku-discourage hii tabia ili vitendo hivi vipungue viwanjani kwani inatia kinyaa sana, Wachezaji wenyewe ndio...
  3. sky soldier

    Vipigo vya AFCON ni machozi ya wachezaji wazalendo waliopambana kuipigania nchi kufuzu kisha wakawekwa pembeni kuwapisha wapya

    Na nisiwe mnafki naomba hili liwe fundisho kwa nia ya dhati kabisa natamani tujifunze kwa maumivu maana wagebga walisema kusikia kwa kenge ni mpaka apigwe na kitu kizito kichwani famu zimtoke masikioni, haya maamuzi yaliyofanyika ya kuleta wachezaji wengine hayana tofauti sana na ukenge. Mechi...
  4. lee Vladimir cleef

    Mashabiki kutokua na shukurani kwa wachezaji

    Inasikitisha sana Kwa kweli Kwa mashabiki wengi wa timu kubwa nchini,hususan mashabiki wa Simba na Yanga. Mashabiki Hawa wamekua hawana shukurani kabisa kwa wa chezaji waliopungua uwezowao,Mfano wachezaji wa Simba ambao ama Kwa umri wao ama Kwa nyakati Tu au sababu nyingine inapopelekea viwango...
  5. Gordian Anduru

    Bora Taifa Stars icheze Leo tuone wachezaji wa Simba

    Dah jamaa zetu Yanga Mara tumuone Aziz Ki first eleven ya Burkina Faso Mara Diarra First eleven ya Mali. Sisi makolo mpaka Leo hatujaonekana. Timu kubwa kubwa Africa Kama Mamelody, Al ahly wachezaji wao washaonekana. Basi na Sisi ngoja Stars icheze tuonekane kidogo
  6. jmushi1

    Simba wameachana na wachezaji Jean Baleke pamoja na Moses Phiri

  7. bryan2

    Simba walikua na faida ya refa na wachezaji wao wa zamani

    Kwa wasiofahamu mchezo wa jana simba walipata ushindi wa penalti kwa faida ya vitu viwili mosi refa alikua upande wao kwa aasilimia kubwa na pia wachezaji wake wa zamani wanaotumika kama maafisa vipenyo pale Singida. Simba wao wanahisi Singida utd na Yanga ni ndugu basi kutambua hilo...
  8. S

    Ukweli mchungu: Kombe la Mapinduzi ni mashindano ya kutoa fursa kwa wachezaji wanaochipukia

    Japo sijui kama hii ndio ilikuwa dhamira ya viongozi wa Yanga na kocha wa timu hiyo, ila ukweli ni kuwa kwa kocha makini na viongozi makini wa timu za ligu kuu, mashindano haya ni fursa ya kuona vipaji na uwezo wa wachezaji chipukizi pamoja na wale wa kikosi cha pili. Kutumia proffesinal players...
  9. kavulata

    Kombe la Mapinduzi ni mnada wa wachezaji wa Zanzibar

    Wazanzibar wana akili nyingi sana kuliko wale wenzao wa kuleee. Baada ya kuua ligi ya muungano baadae wakagundua kuwa walikosea. Ligi ya muungano ilikuwa sehemu ya wazi ya kuviona vipaji kutoka Zanzibar na kuvisajili kwenye timu za bara (ajira). Baada ya walevi na ulevi wao wa kuuchukia...
  10. Allen Kilewella

    Wachezaji wa Simba ndiyo wanaoongoza kwa kuchezewa rafu Tanzania

    Sielewi chanzo chake lakini kwenye kila mechi wanayocheza Simba hapa Tanzania wachezaji wa Simba huchezewa Rafu sana wakati mwingine unaweza kuhisi kwamba labda kuna mkakati maalum wa kuhakikisha wachezaji wa Simba wanaumizwa!!
  11. Majok majok

    Yanga ndio timu pekee iliyotoa wachezaji wengi kucheza AFCON 2024, timu bora inaendana na usajili bora

    Ni ngumu sana kupenya kwenye vikosi vya timu za taifa kwenda kucheza michuano mikubwa barani afrika, ubora pekee wa mchezaji husika ndio umpelekea kocha kumjumuisha mchezaji kwenye kikosi chake Cha mapambano! Kwa Tanzania ni klabu moja pekee iliyofanikiwa kupeleka wachezaji wengi kwenye timu za...
  12. M

    Timu za Kariakoo ifike mahala msajili wachezaji toka Afrika Kaskazini na muachane na Afrika ya Magharibi na Kati

    Ni dhahiri kuwa vilabu vya Afrika Kaskazini ndivyo zinazofanya vizuri kuliko vile vya AfriKa Magharibi. Hakuna haja ya kuokoteza wachezaji toka West Africa, wenye viwango duni. Wekezeni katika kusajili Toka North Africa.
  13. BUSH BIN LADEN

    Jina Kilimanjaro stars kwa timu yetu ya football kwa wachezaji wa bara linachanganya.

    Habari za wakati huu ndugu zangu katika jukwaa hili? Hivi ni sahihi hii timu kuitwa Kilimanjaro stars ilhali jina kilimanjaro linawakilisha mlima na mkoa? Inaleta contradiction. Kwanini kama lengo ni kuutangaza mlima isiwe specific timu ikaitwa Mount Kilimanjaro Stars kuliko hivi sasa ambapo...
  14. Mganguzi

    Wachezaji kudai posho na malupulupu yao huo sio utovu wa nidhamu kama mmewaahidi pesa alafu mnageuka na kuwasimamisha ni ulimbukeni

    Nachojua ni msimamo wa chama kuhusu posho na ahadi ambazo wachezaji waliahidiwa kabla ya mechi na wydad! Wachezaji hawajapewa posho yoyote ,chama aliamua kuufuata uongozi ili kudai haki ya posho ambazo waliahidiwa ndipo akaonekana kama mtovu wa nidhamu ,kiongozi mmoja alimtolea chama lugha chafu...
  15. S

    Ni dharau kuwapa Tsh. Milioni 5 wachezaji wa Simba Queens kama washindi wa Ngao 2023

    Waandaaji wa haya mashindano yaliyowaibua Simba Queens kama washindi wa ngao ya jamii 2023! Kutoa 5Mil kwa mshindi wa kwanza ni dharau kubwa. Hata mashindano ya ndondo cup wasingetoa pesa hiyo. Hawa Dada zangu hatujawatendea haki kabisa!
  16. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro aagiza Timu za Ligi Kuu kuwakatia Bima za Afya Wachezaji

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AAGIZA TIMU ZA LIGI KUU KUWAKATIA BIMA ZA AFYA WACHEZAJI Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelielekeza Baraza la Michezo la Taifa “BMT” kuhakikisha kuwa ifikapo Januari, 2024 kila klabu ya ligi kuu ya NBC iwe na Bima ya afya kwa wachezaji wake...
  17. Majok majok

    Simba hamjatosheka kuua vipaji vya wachezaji vijana mmemgeukia na kwa Ladack Chasambi wa Mtibwa??

    Hii klabu kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa bingwa wa kuua vipaji vya wachezaji vijana pindi inapowasajili, imekuwa na tamaa ya kuwasajili lakini wamekuwa wazito kuwatumia wachezaji husika! Angalia David kameta(duchu) kabla hajaenda Simba alikiwasha sana wakamsajili akasugua benchi mpaka...
  18. kavulata

    Yanga: Mashabiki komeni kuukurubia zaidi uongozi na wachezaji wenu.

    Shabiki wa timu ni mhimili laini wa timu ambao kazi Yake kwenye timu ni kusimamia furaha yao isipotezwe na wachezaji, viongozi, wafadhili na wadhamini wa timu yao. Yaani malipo ya shabiki wa timu ni furaha TU ya ushindi wa timu. Mashabiki ndio mjeredi (whip) imara wa timu kuwafanya wachezaji...
  19. Moshi25

    Gamondi wachezaji wanakuangusha!

    Leo wachezaji wa Yanga hawakucheza kitimu kama mechi na mtani ya 5G, wakiendelea hivi na ubinafsi, makundi tu tutaumaliza mwendo, Wao waliamua kutumia fursa kuonesha uwezo binafsi, kwa vile klabu bingwa inaoneshwa Dunia nzima, walikuwa anao anao tu mbwembwe kibao kulazimisha kupiga chenga za...
  20. Tajiri Tanzanite

    Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

    Hapo vip! Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa ALLy Ahlly dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga. Wachezaji wa Ally Ahly wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania...
Back
Top Bottom