wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Wachezaji wa Simba SC acheni uvivu muwapo uwanjani hasa na timu kama Yanga SC

    Nianze kwa kuweka wazi kwamba mimi ni mpenzi wa Simba Sport Club. Lakini mwenenendo wa wachezaji wa Simba hasa wanapokutana na Yanga huwa unakera sana hasa pale unapoona wachezaji wa Simba wakitembea tu bila wasiwasi wowote huku wenzao wa Yanga wakimiliki mpira kwa asilimia kubwa na pale...
  2. kavulata

    Wachezaji Azam walishwe ugali na sukari

    Wachezaji wa Azam wanacheza mechi mbili TU kwenye ligi za Yanga na Simba TU basi. Mzee Bakhersa afanye nini ili Azam ifanye vizuri? Fei alikuwa akifanya vizuri sana akiwa Yanga ingawa alikuwa akilishwa ugali na sukari lakini Sasa haisaidii Azam ingawa analishwa biliani na Mzee Bakhersa...
  3. GENTAMYCINE

    Kiufundi kwa Yanga SC niionayo sasa Kiubora na Spirit ya Wachezaji wake ikibaki hivi hivi Al Ahly FC anakufa Dar na Cairo

    Ukiuangalia Uchezaji wa Simba SC yangu na wa Watani zangu Yanga SC utaona tofauti Kubwa mno na ndiyo maana GENTAMYCINE leo sioni Aibu wala Siogopi kusema kuwa kwa Yanga SC hii ya sasa na nilivyowaona Al Ahly FC kwa Mechi zao Mbili hizi walizocheza na Simba SC nawaona Yanga SC wakikutana nao...
  4. Chizi Maarifa

    Hawa wanapiga Jalamba muda wote. Kocha anaingiza uwanjani wachezaji wengine

    Imagine mmekaa pembeni ya uwanja, upo bench. Unaamka unapasha misuli moto. Unapiga jalamba. Kocha anaamka anamnyanyua mchezaji benchi anamwingiza uwanjani. Wewe anakuacha unaendelea kupasha misuli moto. Anasimama tena akimuita mchezaji mwingine atoke. Unakenua meno kuwa sasa ni zamu yako...
  5. SAYVILLE

    Kwanini wachezaji wa Al Ahly walikuwa wanaonyesha 2-2 toka goli la kwanza lilivyofungwa?

    Good morning ladies and gentlemen, Jana nilipata nafasi ya kuangalia boli la AFL. Sina mengi ya kusema maana nimepumzika kuongelea sana kuhusu mambo ya mpira huku mitandaoni ila nina maswali mawili. Kuna ishara ya vidoli viwili kwa kila mkono ambavyo wachezaji wa Al Ahly waliifanya baada ya...
  6. GENTAMYCINE

    Jean Othos Baleke angeacha ule Upumbavu wake ambao Uliwatoa kwa muda Wachezaji Mchezoni Al Ahly FC wasingepata lile Goli lao la Pili

    Nina uhakika na najua Wengi wenu Kiufundi hili hamkuliona na kuna baadhi hamtonielewa kwani inahitaji Jicho la uhakika Kuliona na Kujua. Mpaka hivi sasa ( yaani leo hii ) najiuliza nini kilimkuta na kumsababisha Mshambuliaji Jean Baleke kwa dakika Mbili au Tatu kuwa na Mzozo na Mwamuzi...
  7. Kichwamoto

    Mtazamo wangu: Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wajiandae kwa aibu kubwa 20.10.2023

    Sina haja ya kuandika maneno mengi itoshe kusema siku ya ufunguzi wa African football league tarehe 20.10.2023, Simba SC wanaenda kupigwa kipigo cha aibu sana. Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wa kutupwa. Watanzania jiandaeni kwa aibu ya kitaifa inaenda kuletwa na Simba...
  8. M

    Tatizo la Simba ni kocha au wachezaji?

    Mimi nikiwa kama mpenzi na shabiki wa Simba sports club sifurahishwi na mwenendo wa timu pamoja na matokeo mazuri ya uwanjani. Timu haiko vizuri hatuna beki ukuta unavujisha na upande wa ushambuliaji ni butu. Wapenzi wa mpira wa miguu karibuni nanyi mseme chochote maana mwenzenu nina wasiwasi...
  9. GENTAMYCINE

    Kiufundi Wachezaji hawa wa Simba SC wakibadilika kwa yafuatayo nitashukuru na Simba SC itaimarika zaidi

    Beki Chemalone Yuko vizuri ila Kiufundi GENTAMYCINE nimemtizama na nimegundua amebarikiwa Akili nyingi na Nguvu, ila hana Kasi (pace) na inaweza Kutugharimu tukikutana na Timu zenye Mafowadi Viberenge. Kipa Ali Salim Alianza vyema na akawa anakuja vizuri ila Kiufundi kwa Mechi kadhaa na za...
  10. GENTAMYCINE

    Nauonya Uongozi wa Simba SC na Wachezaji Waandamizi usirudie tena 'Kuiuza' Mechi kwa Jwaneng Galaxy FC kama walivyofanya mara ya mwisho

    Najua hamtapenda GENTAMYCINE kuja na hii Taarifa au mtashangaa nilijuaje ila nyie jueni tu kuwa The King of News / Info ninajua. Wachezaji wetu Waandamizi Saba ( 7 ) Wawili ni Wageni na Mmoja wapo aliachwa akahamia Matajiri wa Alizeti na Wazawa Watano Mmoja ndiyo kaanza rasmi Mazoezi na Wenzake...
  11. Lupweko

    Wachezaji wa Yanga waliofungwa na Ihefu wataachwa dirisha dogo mwezi Januari

  12. William Mshumbusi

    Matatizo ya Simba yameanzishwa na Mo na kipa wake wa mchongo. (Wa billion 3). Wachezaji hawana morali kuanzia kambini

    Wachezaji hawana morali kabisa. Hii Ni kutokana na timu kutumia fadha nyingi Sana kukamilisha sajili za kimadili dili. Wakati Caf wakitoa billion 5 za usajili Simba. Viongozi walitumia pesa hizo zote kusajili wachezaji wazuri na kuweka timu kambi uturuki. Baada ya Mo kuona kilakitu kimeenda sawa...
  13. GENTAMYCINE

    Alhamisi 50% Simba SC atafungwa au 50% atatoka Sare na Prisons FC, kwani Wachezaji Waandamizi watamchomesha Kusudi ili afukuzwe

    Kwa niliyohakikishiwa GENTAMYCINE kwa wale Wenzangu ( wana Simba SC ) nawaombeni Mechi ya Alhamisi ya Simba SC dhidi ya Prisons FC msiende na Matokeo yenu na mjiandae mapema Kisaikolojia kwani kuna Miwili Kufungwa au kutoka Sare ila Kushinda tusahau labda tu Mpango huu Usitishwe rasmi Usiku huu...
  14. GENTAMYCINE

    Chukua hii 100% Wachezaji Waandamizi wa Simba SC wakiongozwa na Chama kwa Makusudi Wanamuangusha Kocha kwa Kutumiwa na Kiongozi Mmoja

    Ndani ya Simba SC ya sasa kuna Makundi ya Wachezaji Watatu ambayo ndiyo yanaathiri mwenendo wa Timu Kiujumla Kundi la Kwanza Hili ni lile ambalo kwa Makusudi linaongozwa na Clatous Chama lililo nyuma ya Kiongozi Mmoja mkubwa lenye Lengo la Kumkwamisha Kocha Mkuu Roberto Oliveira. Kundi la Pili...
  15. JanguKamaJangu

    Ripoti: Uchunguzi wabaini Wachezaji wengi vijana Gabon inadaiwa wananyanyasika kingono

    Uchunguzi uliofanywa na Kituo cha BBC wakizungumza na zaidi ya Waathirika 30, umebaini kuwa kuna mtandao mkubwa unaohusika na matukio ya unyanyasaji kwa wachezaji wa mpira wa miguu wenye umri mdogo kwa zaidi ya miaka 30. Kupitia Kipindi cha BBC Africa Eye waathirika wamenukuliwa wakisema...
  16. William Mshumbusi

    Je wajua Thank ya kipa wa Simba Ni zaidi ya mishahara ya wachezaji wote wa Yanga msimu mzima!

    Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion). Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania) Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
  17. GENTAMYCINE

    Viongozi wa Simba SC mnaonisoma GENTAMYCINE 24/7 hapa tafadhali nifikishieni hili Tamko langu Takatifu na Tukuka kwa Wachezaji wote wa Simba SC

    TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake...
  18. Majok majok

    Ushauri; Robertinho uwe unafanya rotation ya wachezaji ili kuepusha kupigana misumali

    Hii kitu inaitesa sana simba kwa sasa, wachezaji wengi wamekuwa wakipigana misumali kwenye kikosi cha Simba but kocha na viongozi wao awajajua chanzo ni nini na solution ni nini, matokeo yake na madhara yake uwa yanaiathiri klabu kwa asilimia kubwa! Jambo ili kwa mtazamo wangu linachangiwa...
  19. M

    Mapendekezo ya kanuni itakayotumika kuwagawia wachezaji wa Taifa Stars pesa zao kutokana na zawadi ya 500,000,000/=.

    Mara nyingi huwa unatokea ugomvi linapokuja suala la kugawana pesa ya zawadi kati ya wachezaji. Ni vizuri zawadi igawiwe kwa kuzingatia mchango wa kila mmoja ili kila mmoja avune kwa kadri ya jasho lake. Hii ni kazi ngumu sana, lakini ni vizuri ukitumika utaratibu unaozingatia mchango wa kila...
  20. Teko Modise

    Tuwakumbuke wachezaji maarufu waliocheza timu zote mbili za Simba na Yanga

    Uzi huu una lengo la kutaja wachezaji waliopata kucheza vilabu vyote viwili vya Simba & Yanga. Naanza na Edibily Jonas Lunyamila, huyu alicheza Yanga na baadae alicheza Simba japo alivuma zaidi akiwa Yanga. Pia yupo Kelvin Yondan alicheza Simba na baadae Yanga na alijipatia umaarufu zaidi...
Back
Top Bottom