wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Wachezaji wa Kigeni wa Simba SC watakaotoka tu hizi nchi nitawapenda na Kuwaamini

    1. Zambia 2. Congo DR 3. Ivory Coast 4. Ghana 5. Senegal 6. South Africa 7. Uganda 8. Cameroon 9. Zimbabwe 10. Mali 11. Sudan 12. Mozambique Wasipotokea katika nchi nilizotaja hapa Simba SC isahau Mafanikio hata kwa Msimu ujao wa 2023 / 2024. Idadi ya Wachezaji wa Kigeni wanaotakiwa na TFF ni...
  2. GENTAMYCINE

    Hizi ndio sababu zinazofanya Makocha na Wachezaji wengi kuondoka Yanga

    1. Wachezaji hawakuwa Mali yao bali ni wa Mkopo kutoka kwa Wakata Congo. 2. Kukopwa sana Pesa na Viongozi na kulipwa kwa kusumbuana mno. 3. Kilichomtokea mwenzao mmoja kuhusu Mkataba wake, kunyanyasika na kudhalilika kumewachukiza wengi. 4. Wachezaji hawataki tena kuwa sehemu ya kushuhusdia...
  3. mdukuzi

    Hersi Said ni tatizo Yanga;machoni kama mtu ila ana roho mbaya,makocha na wachezaji hawampendi

    Ukimuangalia sura yake kwa kuzoom utaona chembechembe za kiburi na dharau. Feitoto alisema bayana ila wako wengi tu hawamkubali,kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji. Acha kiburi ba majivuni mdogo wangu
  4. Dr Matola PhD

    Mdau anauliza ni kwa nini offer za usajili ni kwa wachezaji wa Yanga tu? Simba kunani? Mbona hakuna hata mchezaji wa Simba anayetakiwa nje?

    MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...! ✍️ Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi ! "KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?" "Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC kutakiwa kununuliwa na timu za nje. Karibia wachezaji wote wa Yanga SC timu za nje zimetuma maombi ya...
  5. M

    Kwanini nchini Wachezaji wa Timu Bingwa hawajumuiki na wenza wao wakati wa kukabidhiwa kombe?

    Sijawahi kuona hii, shida ni nini? Kule mamtoni ni kawaida sana wachezaji kujumuika na wapenzi wao wakati wa kukabidhiwa kombe.
  6. Suley2019

    Karia: Wachezaji ambao hawakuhudhuria usiku wa tuzo wafungiwe mechi tano

    RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amesema wachezaji wote ambao hawakuhudhuria katika hafla ya ugawaji wa tuzo kwa wachezaji wa Ligi za ndani bila sababu za msingi wafungiwe michezo mitano ya mwanzo wa msimu ujao. Karia amesema hayo katika hafla ya ugawaji tuzo za...
  7. Expensive life

    Sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakivaa jezi ya Simba SC msimu ujao timua wote

    Simba SC imejaa wachezaji mizigo, mimi kama mwanachama, shabiki na mpenzi wa Simba SC sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakiendelea kuvaa jezi yetu pale Simba. 1. Ottara 2. Onyango 3. Bocco 4. Kapama 5. Kyombo 6. Saido (mchezaji mzuri umri unamtupa) 7. Okwa 8. Akpan 9. Sawadogo 10. Mangungu...
  8. mdalamishi

    Hujuma waliofanyiwa wachezaji wetu wa Yanga tunatakiwa tujifunze

    Habari zenu wakubwa, Kwanza nipende kuwashukuru wachezaji wetu wa Yanga kwa kuweza kuitangaza Tanzania kuwa tunaweza kupambana, pia nipende kutoa shukrani Kwa mashabiki, wadau wa mpira na pia mheshimiwa Rais wetu mpendwa kuwapa Ari ya kufanya vizuri. Tumejionea hujuma zilizofanywa na wachezaji...
  9. Boss la DP World

    Yanga kupokea wachezaji 3 toka La Liga

    Taarifa toka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Club ya Yanga inatarajia kupokea makinda 3 toka vilabu vya Villarreal na Atlético Madrid kama sehemu ya makubaliano yao na La Liga katika kubadilishana wachezaji wa timu B. Makinda hao ni golikipa mmoja na washambuliaji 2, inasemekana Clement F...
  10. GENTAMYCINE

    Just In: Wachezaji mahiri Watatu wa USM Alger FC jana hawakucheza Dar es Salaam kwa Mkapa

    Mmoja ni Mshambuliaji, Mmoja ni Kiungo na mwingine ni Winga wa Kushoto. Baada ya GENTAMYCINE kuipata hii Taarifa naanza kuona Timu Moja ikifungwa hata Goli 7 Ni Mwendo wa Kuwakera tu JF.
  11. GENTAMYCINE

    Tatizo siyo kuroga Mvua kubwa inyeshe Mwarabu afe. Je, una Wachezaji wa kucheza katika Madimbwi na Matope?

    Kama jibu ni ndiyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii kuwatakia kila la kheri ila kama Kawaida (kwa Unafiki Wetu tuliobarikiwa nao) Mdomoni naungana nanyi Waswahil, ila Moyoni nipo na Mwarabu ninayemuamini.
  12. J

    Kwanini Messi hachukuliwi hatua kwa kubagua wachezaji weusi?

    Tunaona wachezaji mbalimbali wakipewq adhabu kali kwa kutoa lugha za ubaguzi mfano Luis Suarez, John Terry na hata club ya Valencia kupigwa faini kubwa kwa mashabiki wake kumbagua Vinicius Iweje Messi anatukana wachezaji weusi matusi ya kibaguzi halafu anaachwa tu?
  13. John Gregory

    Wachezaji wanaolipwa pesa ndefu zaidi Ligi Kuu Tanzania Bara

    1. Stephane Aziz Ki Stephane Aziz Ki ni mchezaji wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Young Africans ya Ligi Kuu ya Tanzania. Alizaliwa nchini Ivory Coast, anawakilisha timu ya taifa ya Burkina Faso. Date of birth: Mar 6, 1996 Place of birth: Adjamé Citizenship: Burkina...
  14. technically

    Wachezaji wanatakiwa kuachwa Yanga 2023/24

    Wa Nje Dumbia Morrison Kisinda Juma Shaban Wa Ndani Ngushi Ambundo Bryson Zawadi Mauya Johora Yanga inahitaji kama wachezaji 4 wapya wenye quality wa nje. Pia wachezaji 5 wa ndani wenye quality!
  15. THE FIRST BORN

    Ni wachezaji wawili tu wa Simba ndio wana zaidi ya 70% kupata tuzo za msimu huu

    Habarini za Jumapili iliyotukuka wakuu. Nominees za Tuzo za Msimu huu zimeshatoka na Simba ni Moja ya Team Iliyotoa Nominees wengi kulinganisha na Team zingine ila ukiangalia ni Wachezaji wawili tu wa simba ndio wanaweza pata Tuzo na ndio wana Asilimia kubwa zaidi ya 70% ya Kupata. Nao Ni 1...
  16. GENTAMYCINE

    Tusidanganyane kwa sasa Wachezaji wote wa Yanga SC wana Thamani maradufu dhidi ya Simba SC

    Hata kama umefika Robo Fainali ya CAFCL mara Nne bado ni Kazi bure ( Work done Zero ) kwa yule aliyefika Fainali ya CAFCC. Kwangu Mimi GENTAMYCINE yule aliyefika Fainali ya CAFCC ndiyo Mwanamume na Yule aliyefika Robo Fainali ya CAFCL namwona ni Mwanaume / Mtoto na kuna muda namwona kama Mtoto...
  17. Greatest Of All Time

    Wachezaji wanaofanana kwa sura lakini hawana undugu wowote

    Hii ni list ya wachezaji ambao wanafanana kwa sura lakini hawana undugu wowote. 1. Andrea Barzagli & Javi Fuego Wawili hawa ukiwatazama unaeza kusema mapacha lakini hawana undugu wowote. Barzagli ni Muitaliano wakati Fuego ni Mhispania. Kwasasa wote wamestaafu kabumbu.
  18. S

    Yanga Imetoa Wachezaji 7 kikosi Bora Cha Wiki CAF

    Hii ni rekodi nyingine kwa kikosi cha wiki cha Caf klabu ya Yanga kutoa wachezaji 7,itabaki na itaishi hii
  19. S

    Afisa Habari Simba: Wachezaji Wanadai Bonus zao Na Club haina Pesa

    Meneja Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally Amekiri wachezaji wa Timu hiyo kudai bonasi. " kweli wachezaji wanadai Bonasi zao za mechi kadhaa, Kuna wakati taasisi inakuwa na fedha inalipa madeni yote Kuna wakati haina fedha inalimbikiza madeni Mzigo ukipatikana watu wanalipwa" Ahmed Ally...
  20. S

    Robertinho: Nunueni wachezaji watano tu wanatosha

    Kocha mkuu wa Simba, Robertinho amewataka mabosi wa klabu hiyo kusajili wachezaji watano muhimu ambao ni mshambuliaji, kiungo mkabaji, beki wa kati, winga na beki wa pembeni mmoja ili waweze kutoboa kwenye michuano mbalimbali inayowakabili msimu ujao.
Back
Top Bottom