wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sonofobia

    Nini kimetokea kwa hawa wachezaji watatu?

    Nimeona wanatrend sana ni nini haswa kinaendelea? 😂😂😂 Kuna mmoja hapo alipiga hatrick timu ina wachezaji wanne 😂
  2. Suley2019

    SI KWELI Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF) kuwasajili Wachezaji wa Tanzania bara kama Wageni

    Salaam ndugu zangu, Nimepata taarifa kwamba Shirikisho la soka nchini Zanzibari limeweka ugumu kwa wachezaji wa Tanzania Bara na itawasajili kama Wageni. Taarifa hii imeandikwa: Bodi inayosimamia Ligi kuu ya Zanzibar (PBZ) imepitisha kanuni mpya za Usajili kuwa Klabu yoyote itakayomsaini...
  3. Wang Shu

    Mechi 4 za kimashindano Migual Gamond amebadilisha nafasi zote wachezaji isipokuwa kwa Otola kwasi Yao(Jeshi)

    Ngao ya jamii mechi 2,klabu bingwa pamoja ligi kuu dhidi KMC amefanya mabadiliko kila eneo la isipokuwa kwa full back right YAO YAO hii inamaanisha Kibwana shomari anayo kazi ya kufanya kuanza katika kikosi cha kwanza. Kibwana shomari ni mchezaji mpambanaji sana lakini mpinzani wake ni zaidi...
  4. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC tafadhali waambieni Wachezaji wazawa (Waswahili) waache kuwapiga Miba (Kuwaroga) Wenzao wa Kigeni

    GENTAMYCINE nimetaarifiwa na Mdau Mwenzao ( Mshirikina ) Mwenzao bila Yeye kujua aliyekuwa nae ni Mtu HATARI kwa kutafuta Taarifa Ngumu na Zilizojificha na mpaka aliko huyo Mganga Wao na Wachezaji Wenzake wote wa Simba SC, Yanga SC na hata wa Azam FC anaokwenda nao. Na huyo Mganga Wao wa...
  5. William Mshumbusi

    Azam sio huzikamia Simba na Yanga no. Ni timu ambayo wachezaji wake wanaweza kufichwa na kupewa hamasa ili wasihongwe na Timu kubwa

    Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!! Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi wengi Ni washabiki wa Hizi timu kubwa na hivyo kutumika kuhujumu timu kwenye mechi ngumu. Kama kila...
  6. K

    Tangu lini TFF ikamiliki Image Right za wachezaji?

    Bodi ya Ligi imetoa marekebisho na maboresho ya kanuni toleo la 2023 ambapo hivi sasa ikiwa mchezo atapata dili zake binafsi na benki nyingine basi hawaruhusiwi kutangaza kwa sababu ya mkataba wa NBC Tanzania na Ligi huku atakayekiuka akikabiliwa na kufungiwa kwa kipindi cha kati ya mwezi mmoja...
  7. YEHODAYA

    Simba timu yenye wachezaji wabovu na kipa mzuri. Yanga ina wachezaji wazuri na kipa mbovu

    Mechi ya jana simba walielemewa kila upande dakika zote tisini Kipa wa simba alikuwa busy dakika zote tisini hakuna kupumzika Kipa wa Yanga muda mwingi hakuwa na kazi a relax muda wote wa dakika 90.Sababu yanga timu ilikuwa muda wote msitari wa mbele kuhakikisha simba haipeleki mpira golini...
  8. GENTAMYCINE

    Wakala wa Wachezaji Jasmine Razaq: Kumtetea Kwangu Fei Toto kulisababisha nitishiwe kuwekewa Tindikali, Kutekwa na Kubakwa

    "Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui Sheria zozote za Soka kitu ambacho Kilinisikitisha mno kwani hizi Sheria zote ziko Online na kila Mtu...
  9. S

    Azam FC pekee ndiyo inaruhusiwa kutumia wachezaji wa kigeni Ngao ya Jamii

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
  10. S

    Hivi Azam lengo la ni kusajili wachezaji wazuri au lengo lao ni kuchukua wachezaji wa Yanga?kwanini hawatafuti wachezaji bora kutoka nje?

    Unawezaje kuwa tajiri halafu ukasubiri wachezaji wazuri kutoka timu za ndani ndio uwasajili badala ya kutumia hela zako kusaka wachezaji wa kimataifa moja kwa moja kutoka huko nje? Japo kuna wanaowsajili moja kwa moja kutoka nje ya nchi, lakini ni wazi wanangoja vilabu makini(na hapa Yanga)...
  11. R-K-O

    Tatizo sio uwezo, Hawa wachezaji wapya wa Simba wameshajiweka kinga kwa msimu mpya?

    Mchezaji anaweza kuletwa hapa Simba yupo vizuri sana ukimfatilia huko alikotoka ila msimu ukianza unakuta uwezo unashuka, majeraha, kukosa namba ilhali yuko poa na vimbwanga vingine sana baada ya kupigwa "VIPAPAI". Hawa wachezaji wapya ni vema wafanyiwe kinga.
  12. kavulata

    Akina Jemedari wamenawishwa kazi ya uwakala wa wachezaji

    Watafute kazi walizokuwa na ujuzi nazo. Baada FIFA na TFF kutaka wachezaji wasimamiwe na mawakala (agent) badala ya meneja asiekuwa na weledi wa kusimamia wachezaji. Hii imekata ngede kwa machawa wa wachezaji, watafute kazi nyingine.
  13. GENTAMYCINE

    Tunapohoji kwanini Wachezaji wa Simba SC wanasafiri Kimafungu na Kocha hayuko, tuhoji na huku Yanga SC Kunakofukuta pia

    Kambi imeshaanza Avic Town Kigamboni ila Kipa Diara, Kiungo Mshambuliaji Aziz K, Kiungo tegemezi Aucho, Kiungo Fundi aliyewahi kuwa MVP Bangala na Beki mahiri wa Kulia Djuma Shabaan hadi sasa Wote hawa hawako Kambini, hakuna Taarifa yoyote na wana Yanga SC kila Wakihoji wanachoishia Kujibiwa ni...
  14. JanguKamaJangu

    Wachezaji wa Simba wafanyiwa vipimo vya Afya katika Hospitali ya Mloganzila

    Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wamefika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa afya zao na kufanya vipimo mbalimbali ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na msimu mpya ya mashindano ya ligi 2023/2024. Daktari wa Timu ya Simba Dkt. Edwin Kagabo...
  15. mdukuzi

    Yanga yakubali yaishe, kumlipa Mayele Milioni 40 ili abaki. Tutegemee hujuma kutoka kwa wachezaji wenzake

    Siwezi kulipwa milioni tano tu nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge. Kocha Nabi alikuwa analipwa milioni 35, mzee wa kutetema sasa rasmi kuwa mchezaji ghali Afrika Mashariki nzima. Ila kwa starehe za Dar es Salaam msimu ujao akifilisha goli 12 mniite fala. More money poor performance.
  16. GENTAMYCINE

    Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kwani ukisema tu kuwa hao Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC wamekuja kwa 'Trials' utapungukiwa nini?

    Yaani kila Siku tu Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe unazidi tu Kujichoresha na Kujidhalilisha kwa Kauli zako. Wenye Akili zaidi yako tunajua kuwa kuna Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC ya nchini Uganda wamekuja kufanya Majaribio (Trials) na Yanga SC na cha Kushangaza Wewe umehojiwa na...
  17. GENTAMYCINE

    Kwahiyo Hasira za Kumkosa kwa Umafia mliofanyiwa ndiyo mmeamua Kuwachochea Al Hilal FC Wawashtaki FIFA Wachezaji?

    Na msivyo na Akili hata na Makabi Lilepo ambaye kwa 99% mmeshamalizana nae kwa mujibu wa Taarifa yao ( Klabu hiyo ya Sudan ) ni kwamba hata Yeye nae yuko katika Kushtakiwa pamoja na Fabrice Ngoma aliyewauma villivyo baada ya Kupigwa Chenga ya Kimafia Jana na Kutua rasmi Simba SC. Haya...
  18. SAYVILLE

    Simba tengenezeni utaratibu maalumu kwa wachezaji kutumika katika mabonanza

    Ni jambo jema kufanya mambo ya kusaidia jamii mfano kushiriki katika shughuli mbalimbali za ukusanyaji fedha kwa ajili ya maendeleo ya jamii hasa wale wenye uhitaji maalumu. Hivi sasa wakati timu zote zikiwa katika mapumziko, taasisi mbalimbali zikiwemo za wachezaji wameandaa mechi mbalimbali za...
  19. GENTAMYCINE

    Mo Dewji nilikwambia unipe GENTAMYCINE wa JamiiForums nikusajilie Wachezaji wa Ubingwa hujanipa, sasa Utasajiliwa Migalasa tupu

    GENTAMYCINE naujua Mpira, Nimecheza Mpira, Nauchambua Mpira na Jicho Kali na Tukuka la Kumjua Mchezaji na nikipointi huwa sibahatishi ila Tajiri Wewe umeshindwa kunifuata PM hapa ili tuwasiliane ili nikusaidie Usipigwe Hela na Wajanja na Matapeli waliokuzunguka na niisaidie Simba SC yangu...
  20. GENTAMYCINE

    Wachezaji wa Kipekee wa Kigeni wa Simba SC ninaotaka wabaki ni hawa Wafuatao wengine waachwe upesi sana

    1. Chama 2. Inonga 3. Phiri 4. Sakho 5. Baleke Wasajiliwe wengine Saba (7) tu Wazuri kama hawa Watano (5) niliowataja hapa ili Kutimia Idadi ya Wachezaji wa Kigeni Kumi na Mbili (12) Wanaotakiwa ili Simba SC irejeshe Hadhi na Heshima yake.
Back
Top Bottom