Leo wachezaji wa Yanga hawakucheza kitimu kama mechi na mtani ya 5G, wakiendelea hivi na ubinafsi, makundi tu tutaumaliza mwendo,
Wao waliamua kutumia fursa kuonesha uwezo binafsi, kwa vile klabu bingwa inaoneshwa Dunia nzima, walikuwa anao anao tu mbwembwe kibao kulazimisha kupiga chenga za...