Mazingira ya soka yanabadilika sana kwa sasa kulinganisha na miaka 20 au 25 iliyopita.
Uhusiano wa kocha na wachezaji ulikuwa wa "kigumu". Kocha aliweza kumuweka mchezaji benchi na uamuzi wake "ukaheshimiwa".
Kwa sasa melezi, makuzi, teknolojia, mitandao ya kijamii, mawakala, mahusiano baina...