Uwezo wa yanga kuondoka na point zote 3 leo walikuwa nao isipokuwa kocha Nabi alipotea maboya kwenye selection ya wachezaji walioanza mechi hii, tunajua gael bigirimana na kharid aucho ni wazito na awana kasi kutokana na umri kitendo kilichowafanya azam kutawala katikati na kulisogelea lango la...
Ni wakati wa kufanya mambo kwa njia tofauti. Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu.
Kazi yao iwe ni mpira kwa aajili ya timu ya taifa, wakilala wakiamka. Inaweza unda timu nzuri sana ya taifa. Chemistry itakuwa kubwa sana. Mpaka sasa kwa timu yetu...
Hivi Karibuni Mchezaji Dejan alipofunga goli Mashabiki wengi wa Simba tulifurahi sana. Sababu ya kufurahi ni kua toka asajiliwe Mchezaji huyu hakua amefunga goli kwenye mechi yoyote ile ukiacha mazoezini labda.
Wengi tulianza kuamini kua Mchezaji huyu "tumepigwa", wengine kufikia kusema aheri...
Wafuatao ndio wachezaji kumi bora kuwahi kutokea kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio kwenye timu walizochezea ikiwemo timu za taifa:
1. Cristiano Ronaldo
2. Franz Beckenbauer
3. Johan Cruyff
4. Zinedine Zidane
5. Michael Platin
6. Marco van Basten
7. Gerd Muller
8. Lev Yashin
9...
Wafuatao ndio wachezaji bora kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio ya timu walizochezea ikiwemo timu za taifa:
1. Messi
2. Pele
3. Maradona
4. Ronaldinho
5. De Stefano
6. De Lima
7. Zico
8. Garrincha
9.Romario
10. Socrates
Baada ya Cristiano Ronaldo kuiambia klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka klabuni hapo inadaiwa kuwa wachezaji wa timu hiyo walifurahia tamko hilo.
Sababu ya hali hiyo ni kuwa wachezaji wanaamini Ronaldo (37) amepoteza nguvu ya ushawishi kikosini na wanahisi amekuwa mzigo zaidi...
Naomba nikuletee list ya wachezaji bora kuwahi kutokea katika bara la Afrika.
Nimepitia kumbukumbu kwa wale wa zamani sana na wengi kuanzia mwaka 1996 nimewaona wakicheza.
Vigezo vilivyotumika ni mafanikio kwenye tuzo binafsi, mafanikio kwenye timu walizochezea na mafanikio kwenye timu za...
Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila nadhani kama kuna Mchezaji Mzawa ambaye Watanzania tuna Roho Mbaya, Wivu na Unafiki wa Kutomuimba na Kumtukuza inavyotakiwa ni Kiungo Mshambuliaji na Winga Farid Malick Mussa wa Yanga SC.
Kama kuna Mchezaji ambaye leo katika Mechi ya Taifa Stars na Uganda Cranes...
Kuna kila aina ya ushahidi kuwa Kocha mkuu wa Simba hahusiki na Usajili wa wachezaji hawa ndio maana hawataki baadhi yao, ni nani kapendekeza Usajili huu? Hapa ni kocha mkuu aondoke au kocha msaidizi aondoke,
Ni Kocha Mwendawazimu tu wa Taifa Stars ndiyo ataacha Kuita Wachezaji wengi wa Simba SC kuichezea Taifa Stars na akawaita Wachezaji wengi wasiojua wa Yanga SC.
Asante na Hongera mno Kocha wa Taifa Stars Kim Paulsen kwa Kuita Wachezaji 9 wa Simba SC Taifa Stars na Kuita Wachezaji 7 tu wa...
Baadhi ya Waandishi habari wetu wana walakini ya wazi kabisa. Maswali yao kwa makocha na wachezaji wa nje na ndani yanamtia kichefuchufu hata msikilizaji.
Wanaiangusha taaluma ya habari, hayana weledi kabisa.
Pia hawajui kiingereza lakini wanataka kuwahoji wachezaji wa timu ngeni.
Kocha Erik ten Hag ameamua kufuta mapumziko kwa wachezaji wake wa Manchester United mara baada ya timu hiyo kufungwa magoli 4-0 dhidi Brentford katika Premier League.
Licha ya kuwa watakuwa na siku nane kabla ya mchezo ujao dhidi ya Liverpool, Ten Hag amefuta mapumziko na wamekutana ili...
Kuna anaejua idadi ya wachezaji kutoka nje wanaocheza Tanzania kwa sasa hasa ligi kuu?..
Tunaweza weka list kujua ni nchi ngapi zina wachezaji ligi yetu..
Nigeria ..
Ghana
Ivory coast
Senegal
Kenya.
Zimbabwe
Zambia .
Rwanda
Burundi...
Mali..
Anaeweza jua kila hizi nchi zina wachezaji wangapi...
Simba solution ni simple tu chukueni pesa alizotoa Mo bilion 20 mnunue wachezaji wenye quality ya kupambana na Yanga.
Acheni uswahili kuficha mambo wakati ubovu wenu tunauona.
Kama Mo alitoa pesa pesa zikowapi si zitumike kuleta wachezaji?
Shida ya Simba ipo kwa Mo sio kwa Kakolanya, Matola...
Mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or kwa mwaka 2021, Lionel Messi hajatajwa kwenye orodha ya Wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo kwa mwaka huu
Tangu mwaka 2005, Messi amekuwa akitajwa kwenye orodha ya Wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo, akiwa ameshinda tuzo hiyo mara saba katika kipindi hicho
Mpinzani...
Bodi ya ligi Leo tarehe 12/8/2022 imefanya marekebisho ya kanuni ambayo ilikuwa inazitaka club za ligi kuu kutumia wachezaji nane wa kigeni kwenye mechi moja,
Ivyo kuanzia Sasa wachezaji 11 wa kigeni wataruhusiwa kuanza kwenye mechi moja.
Wachezaji wazawa wapambane la sivyo wataishia kusugua...
Nianze kwa ku declare interest, sijawahi kuwa shabiki wa soka la wanawake hata kidogo.
Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nikiona wanawake wanacheza mpira nilikuwa nawaonea huruma kwa sababu nilidhani walikuwa wanaumia wakicheza.
Nimekuwa mtu mzima still bado sijawahi kuupenda mchezo huu kwa...
Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo (...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.