wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. luangalila

    Yanga wamewaletea wana-Simba wawaone wachezaji wao

    Ni siku ya mwananchi ni Yanga SC vs Viperz ya Uganda, ambapo Viperz kuna wachezaji wa 2 ambao simba imewanyakua yaani Manzoki na Bobosi. Yanga hawaku changa karata zao vizuri ktk hili, ni wazi Manzoki anaweza akaambiwa na mwajiri wake mpya (Simba SC) acheze kiwango cha chini ili asipate...
  2. GENTAMYCINE

    Mwekezaji Mo Dewji tafadhali Simba SC ikirejea agiza lile 'Tambiko' letu alilotuachia Marehemu Mzee 'Bamchawi' lifanyike kwa Viongozi na Wachezaji

    Kutokana na GENTAMYCINE kutokuwa na Imani kabisa na Watu kama CEO Barbara Gonzalez, Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu, Mratibu Abbas, Kocha Msaidizi Matola, Meneja Rweymamu, Mjumbe wa Bodi Mulamu Ng"ambi na Wachezaji akina Mkude, Kipa Manula, Beki Kapombe na Kiungo Chama naomba kabla ya...
  3. GENTAMYCINE

    Kumekucha Avic Town Wachezaji wanasema kama Aziza Kety atalipwa Mshahara wa Tsh Milioni 25 acheze peke yake

    Na kuna Fowadi Mmoja tegemeo Kachukia kweli kweli anasema bora aruhusiwe tu aje Simba SC au aende zake Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini. Si mnajifanya Kuficha? Nimeshaipata.
  4. kavulata

    Ili kujua nani abaki na nani aachwe unahitaji kwenda Misri na wachezaji wote?

    Kwenda Preseason nje ya Nchi na wachezaji ambao utawaacha sio weledi bali ni kuchelewesha wachezaji ambao wataachwa kutafuta timu na kuwadhalilisha pia. Kocha mpya Kukaa na mchezaji kwa siku 15 kunamsadiaje kuamua hatima ya maisha ya mchezaji kwenye timu?
  5. Greatest Of All Time

    Tujikumbushe wachezaji waliosajiliwa pesa nyingi kisha wakaflop

    Mimi naanza na Andriy Shevchenko kutoka Ac Milan kwenda Chelsea. Ulikuwa usajili wa aina yake lakini Sheva akaishia kufeli zake Chelsea. Endelea na wewe, unakumbuka usajili upi?
  6. M

    Yanga tusitarajie makubwa toka kwa wachezaji wapya, huwezi kutenganisha mpira na ushirikina, wachezaji watapigana misumari

    Hili ni angalizo. Naona watu wameweka matumaini makubwa kwa wachezaji wanaosajiwa Yanga. Niwaambie kitu Africa mpira na ndumba ni mapacha wawili. Simba na yanga ni mara chache sana walisajili wachezaji wabovu,wengi walitoka huko wakiwa na kiwango cha juu leo wapo Kitayose,Ihefu sijui Namungo...
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Simba Sc kusajili wachezaji wenye kasi ni mipango ya Nusu Fainali

    Ukiangalia uwezo wa timu zote zilizowahi kuitoa Simba Sc robo fainali,ni timu zenye kasi sana. Orlando Pirates na Kaizer Chiefs. Angalia pia timu zinazopenya nusu fainali,hakuna timu inayocheza slomo. Usajili uliofanywa na Simba kwa Augustine Okra na Phiri ikiwemo anayetajwa kusajiliwa Okwa ni...
  8. luangalila

    Nyie Utopolo mbwembwe nyingiii ila mtaanzia hatua za mwanzo huko

    Utopolo hawakwishi vituko na vimbwanga ... Wanatambulisha wachezaji saa za usiku kama majizi, mara wametuletea akina Joyce ila bado wanapaswa kujua wanaanzia prelimimary stage huko kuna rivers UTD, Jowaning Galaxy, Plateau UTD watawababua mtafukuzana msimu huu
  9. Expensive life

    Takwimu za wachezaji waliosajiliwa Simba na Yanga hadi hivi sasa

    Wachezaji waliosajiliwa na club ya Simba takwimu za musimu 2021/ 22. Mosse Phiri 13 goal Habibu Kyombo 6 goal Young Africa. Kambole 0 goal. Bernard Morson 3 goal Gael Birigmana 0 goal Nani Kalamba dume katika hizi sajili hadi hivi sasa?
  10. chiembe

    Wachezaji wanaosajiliwa Simba ni wale ambao marafiki wa Matola, kwa hiyo Kuna vijipasenti anapata

    Mjini watu wanaishi kwa mbinu, bila kumfukiza Matola, Simba msitarajie jipya. Matola anajua uwepo wake simba haukubaliki, hivyo anakusanya vyake
  11. Lady Whistledown

    Wachezaji 44 nchini Cameroon kuchunguzwa kwa kughushi umri au utambulisho

    Shirikisho la Soka nchini humo Fecafoot limesema wachezaji 44 kutoka katika vilabu 8 nchini humo wanachunguzwa kwa tuhuma za kughushi umri wao au utambulisho wao. Iwapo watapatikana na hatia katika uchunguzi wa ana kwa ana unaofanyika Julai 4-8 ambapo wametakiwa kuambatana na marais wa vilabu...
  12. KakaKiiza

    Simba Sports Club Kuweni na mkakati wakuakikisha mnasajili wachezaji wakali!

    Simba Sports Club tumepigwa mweleka mkubwa kuanzia Ngao hadi FA sasa siwakati wakucheza na Yanga pigeni vichwa kwakutafuta wachezaji wazuri na vijana ili Msimu ujao muwe na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa vinginevyo mtakuwa mnawachosha funs wenu kwani wao wanategemea matokeo mazuri na sivinginevyo.
  13. Suley2019

    FIFA kuruhusu timu kuwa na wachezaji 26 Kombe la Dunia

    Shirikisho la Kandanda duniani Fifa limepitisha mpango wa kila timu kutumia kikosi cha majina 26 kwenye fainali za Kombe la Dunia Qatar 2022. Itakumbukwa ongezeko hilo linakuja baada ya hapo awali kila timu ilitakiwa kuthibitisha majina ya wachezaji 23 kwenye kikosi chake lakini sasa kutokana...
  14. kavulata

    Simba wanaonesha utoto kwa Morrison na wachezaji wa kigeni

    Simba haionyeshi ukomavu kwenye soka hata baada ya kufikisha miaka zaidi ya 80 tangu kuanzishwa kwake. Kila mtu waliwasikia viongozi wa Simba wakimuaga na kumtakia kheri Morrison huko aendako wakimaanisha kuwa aende mbele kwa mbele huko hata kabla ya msimu kumalizika kuonyesha kuwa hawana kazi...
  15. Suley2019

    CAF itaruhusu kila klabu kusajili wachezaji 40 badala ya 30

    Kuelekea msimu mpya wa michuano ya CAF yaani Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho. Shirikisho la Mprira Barani Afrika (CAF) limeweka bayana mambo kadhaa. 1. CAF itaruhusu kila klabu kusajili wachezaji 40 badala ya 30 2. Kuanzia sasa wachezaji 9 watakaa kwenye benchi badala ya 7ilivyokuwa...
  16. msovero

    Kumbe hawa wachezaji wa Simba ni ndugu halafu hamsemi?

    Kumbe Israel Patrick Mwenda (Israh) na Pape Osmane Sakho ni ndugu halafu hamsemi?
  17. mdukuzi

    Starehe za jiji la Dar es salaam linavyoshusha viwango vya wachezaji wa Simba na Yanga

    Hili jiji lisikie tu kwenye radio,ila Dar kuna starehe jamani,nimetembelea mikoa mingi nchini na nchi nyingi kidogo si haba,nyingine kwa kwenda phyisically nyingine kwa kusoma,kusikia,movies na mitandao .ila Dar bado ni kinara wa starehe,Jonas Mkude huwa anakula starehe mpaka anazima kesho yake...
  18. B

    Simba tuondoe wachezaji kwa heshima

    Katika Miaka Minne ya Simba Imefanya makubwa kwa hiyo hata kama tunawaondoa wachezaji tuwaondoe kwa heshima. Wamefanya makubwa lakini pia viongozi wa Simba anzisheni mambo ya kusajili wanachama online kama CCM wanavyofanya kwa kiingilio cha 10,000 na kila mwaka tulipe 20,000 na mapato na...
  19. Mr Dudumizi

    Kwangu mimi hawa ndio wachezaji bora wa muda wote kwa timu za Yanga na Simba na Taifa Stars miaka ya 90s, wewe je?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam, sasa ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF kabla ya kuandika list ya wachezaji bora wa muda wote wa timu za Yanga na Simba, ningependa kwanza nijitambulishe kuwa mimi ni mshabiki mkubwa sana wa timu ya Yanga. Nimeanza...
  20. NostradamusEstrademe

    Tuwaenzi wachezaji wa soka wa zamani na sasa

    Majina ya wachezaji wa zamani na sasa.Je walichezea timu gani na wako wapi kwa sasa? Moderator naomba uzi huu usiuhamishie kule kwenye michezo kwanza nimeona niuweke ukurasa huu unaosomwa na wengi unaweza peleka kule baadaye Nimeweka picha ya Daudi Salum Bruce Lee kama muwakilishi wa wachezaje...
Back
Top Bottom