wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Mmoja wa wachezaji hawa wa Yanga SC ndiyo atavaa hirizi ya timu leo

    1. Farid Musa 2. Bakari Mwamnyeto 3. Feisal Salum Fei Toto Hivyo nawaomba wachezaji wa Simba SC kama ikiwezekana wafukizwe sana moshi wa .... au wapakae mafuta ya nguruwe. Na kwa wale wa benchi la ufundi (siyo wachezaji) nawaomba muda mwingi wawe wameshika au wameweka ndimu au malimao karibu...
  2. chongoe

    naombeni mnipe orodha nzima ya majina ya wachezaji wa Yanga

    nina jambo nataka fanya kabla sijaondoka Mafia!
  3. T

    Kasi ya wachezaji wa Yanga uwanjani bado ni kitendawili?

    Amani iwe nanyi Sitoi pole kwa Yanga kwa kufungwa na Al hilal licha ya kumiliki sana mpira!! Natoa pole kwa wachezaji wa ligi nzima ya bongo kwa kushindwa kuwa na kasi kiwanjani pindi wanapokuwa na mpira ama wasipokuwa na mpira. Nitaendelea sana kuongelea kasi/pace/speed ya wachezaji wetu...
  4. A

    Uongozi wa uto waazimia kumuonyesha mlango wa kutokea kocha wao. Wachezaji wakongomani nao kuwekwa kitimoto

    Jana baada ya uto meza kuwapindukia kwa kupigwa kimoja bila majibu na Al Hilal na hivyo kuangukia Kombe la Losers, uongozi chini ya Injinia wa mchongo wameazimia yafuatayo: 1. Kocha ajieleze na aoneshe hiyo meza aliyowaaminisha wana Yanga ataipingua Khartoum ni meza ya aina gani? 2. Kwa nini...
  5. CAPO DELGADO

    Simba na mihela ya CAF na uhalisia wa wachezaji

    Hivi ndivyo CAF walivyoitajirisha Simba, wajazwa bilioni 6.7 kwa siku 1,460 Kuanzia 2018 hadi sasa, Simba imepitia katika kipindi cha neema kutokana na mafanikio makubwa iliyoyapata katika mashindano ya kimataifa na yale ya ndani, ikitwaa mataji matatu ya Ligi Kuu, mawili ya Kombe la Shirikisho...
  6. N

    Ahadi ya billioni moja kwa wachezaji Yanga yawatisha Al Hilal, ya Vipers yawapa wazimu

    Ingawa ilifanywa siri kutokana na hali mbaya ya kiuchumi waliyonayo wanuka jasho wa Tanzania, fununu mchomoko ni kwamba yule tajiri wa kiukweliukweli asiye na ubahili hata kidogo, yaani yeye kumwaga mapesa hafikirii mara mbili wala hachungulii daftari, KATENGA BILLION MOJA Al Hilal apasuke kwao...
  7. aka2030

    Hii tabia ya hovyo kuwapa wachezaji majina ya wachezaji na makocha wakubwa kutoka nje inakera

    Huu ni upuuzi mkubwa sana tunauendekeza, unakuta mtu akiwika ama akifanya vizuri basi anapewa jina la mtu mwingine mpaka linafifisha jina lake. Utasikia Kelvin John Mbape, mara Juma Mgunda Pep Guardiola Mnene, hebu waacheni watengeneze utambulisho wao.
  8. Chizi Maarifa

    Hersi hizo pesa ambazo unatumia kuwasaidia waandishi wa Habari si tungewekeza kwa Wachezaji wetu?

    Ni ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza. Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na team vizuri. Wanashindwa ikosoa tunaona ipo perfect. Kumbe kuna sehemu tunapaswa kujiweka...
  9. Akilindogosana

    Kwanini wachezaji wa Tanzania wana spidi ndogo uwanjani?

    Kuna changamoto kubwa kwa wachezaji wa Tanzania. Wanakuwa na spidi ndogo sana uwanjani pia wana spidi ndogo ya maamuzi. Bila kusahau makosa katika kukaba, kutoa pasi/cross na kumalizia magoli. Je, kuna suluhisho?
  10. T

    Haya sasa twende kwenye klabu bingwa ya Africa tukimtegemea Phiri, Bocco na Kyombo kutuvusha. Nadhani wachezaji na mashabiki wamefurahi sasa.

    Moja kwa moja kwenye mada!! Nimekaa natafakari na kuwaza kuwa tunaelekea kwenye Champions league round ya kwanza tukitegemea uwezo wa strikers kama Phiri,Bocco na Kyombo kutuvusha huku tukimwacha Striker wa kiwango cha juu ndugu Dejan Georgijevich kuondoka!! Hivi Bocco na Kyombo ndio wa...
  11. T

    Wachezaji wa Simba punguzeni ubinafsi ,acheni kumtengenezea majungu Mzungu Dejan Georgijevic

    Tukio lililotokea majuzi kwa mchezaji Okrah kumfanyia fujo striker mzungu, Dejan Georgindowski, linaonesha kuwa kuna mgawanyiko wa wachezaji katika dressing room na kocha Juma Mgunda hana uwezo wa kuwa manage maastaa hawa wenye majina makubwa. Kuna kundi la wachezaji linahakikisha kuwa huyu...
  12. JanguKamaJangu

    Wachezaji Man United waumwa tumbo, yadaiwa wamekula chakula chenye sumu

    Wachezaji 12 na wafanyakazi wa Klabu ya Manchester United, walipata maumivu ya tumbo Ijumaa iliyopita ambayo inadaiwa yalisababishwa na kula chakula chenye sumu wakati wa mchezo wao dhidi ya Sheriff Tiraspol katika UEFA Europa League. United ilisafiri kwenda Nchini Moldovan kucheza mchezo huo...
  13. D

    Kwani Ihefu shida ni wachezaji au kocha?

    Je ujio wa Juma Mwambusi katika klabu ya Ihefu utabadili chochote?
  14. kavulata

    Yanga inachukia wachezaji walioumia kazini?

    Sera ya Yanga ya kuachana na wachezaji wake walioumia viwanjani inaidhoofisha yanga. Mwenzako akinyolewa tia zako maji ndicho kinachoendelea kwenye akili za wachezaji. Wachezaji Yanga wameingiwa na hofu ya kucheza kwa kujituma kwa kuhofia kupata majeraha mabaya, na hii ndio sababu wachezaji wa...
  15. Nobunaga

    Wachezaji wanaovuta mkwanja mrefu Yanga SC

    WACHEZAJI WANAOVUTA MKWANJA MREFU YANGA SC: 1.Aziz Ki -Sh 23.2M 2.Morrison -Sh 23.2M 3.Aucho - Sh 16.2M 4.Mayele - Sh 16.2M 5.Diara-Sh 9.2M
  16. C

    SoC02 Mjadala wa wachezaji 12 wa kigeni kwenye ligi kuu Tanzania bara; bado hatui tulipojikwaa?

    Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya klabu,kuonyesha mpira,vituo vya runinga vinalipa fedha ili kupata haki za kurusha matangazo,udhamini mbalimbali...
  17. M

    St George v/s Al Hilal naona Al hilal wanayo quality ya wachezaji lakini hawana timu, washakula 2 bila mpaka sasa

    Nafikiri kwa timu yoyote itayovuka kati ya hizi kukutana na yanga basi itatakiwa ifanye kazi ya ziada mara 2 kuizuia yanga, naangalia mechi yao hapa inayoendelea sijaona timu ya kuisumbua yanga, Al Hilal wanao wachezaji wazuri lakini wanakosa muunganiko kila mchezaji anacheza kwa uwezo binafsi...
  18. D

    Wacha mvua inyeshe tuone panapovuja

    Pira la leo litatoa majibu ya viwango vya wachezaji pamoja na makocha kati ya simba na yanga.
  19. Allen Kilewella

    Wachezaji wengi Ligi Kuu hawana Adabu, wana kiburi sana!!

    Inawezekana wanaamini kuwa mpira ni kusukuma tu gozi uwanjani ama makocha wao hawawafundishi kuwa mpira ni sayansi na ni sanaa pia. Labda pia wanadekezwa na udhaifu wa Marefa wetu katika kusimamia sheria za Mpira uwanjani. Zaidi inawezekana wanatiwa ujinga kwa utetezi wa matendo yao ya kihuni...
  20. N

    BM 3 alikuwa sahihi, posho zimepunguzwa Simba, wachezaji hawana fighting spirit

    BM 3 kwenye madai yake alipohojiwa na saleh jembe alisema aliitwa ofisini na CEO na kuambiwa posho na mshahara wake utapunguzwa kama anataka kusaini mkataba mpya Inasemekana posho zimepunguzwa ili kubalance mahesabu yapendeze kwenye vitabu, so what you pay is what you get MSISHANGAZWE KUONA...
Back
Top Bottom