Kumekucha kumekucha,Gamondi ametema cheche,adai kuna baadhi ya wachexaji wake wanakesha klabu ya usiku pamoja na baa ya kitambaa cheupe na kesho yaje wakija mazoezini wamechoka ,huku uongozi ukilifumbia macho suala hilo.
Amedai wengine usiku kucha wapo mtandaoni wakichat na kupata muda kidogo...
Hii ni Rai kwa wanywa 'thupu' Yanga kuwakemea baadhi ya Wachezaji kwani nidhamu inaonekana ni Tatizo
Hili ni angalizo La Mapema kwa Yanga. Eneo La nidhamu Limeonekana kulegalega katika Michezo ya hivi karibuni kwa baadhi ya Wachezaji wameonyesha Kiwango cha chini Sana cha Nidhamu.
Jambo hilo...
Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kumekuwa na tabia ya mashabiki hoya hoya wa Yanga ambao wengine tunapojaribu kutoa ushauri nini kifanyike wamekuwa wakitishambulia!
Ni shabiki mjinga na mwehu pekee ambaye anaona Yanga ya Msimu huu inacheza vizuri kuliko ya msimu uliopita!
Binafsi...
NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........
Tunataka mechi halali zisizo na hila!
NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........
Tunataka mechi halali zisizo na hila!
Unasikia mwamba anaitwa Rodri baasi. Unajua hii mashine, jina tu linambeba. Mara unasikia Zico, Pele, Garincha, Kaka, Socrates, Romario, Ronaldinho, Bebeto. Jina moja tu umemaliza kazi, unajua unazungumzia nani. Unaweza ukaishi maisha yako yote haujui jina lao lingine na hautakutana na mwingine...
Kikosi cha timu ya soka ya JKT Tanzania, kimepata ajali baada ya basi lililowabeba kuacha njia na kuanguka mtaroni majira ya saa 1:00 asubuhi leo na kusababisha maumivu kwa baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wengine.
Basi hilo limepata ajali likiwa linatokea jijini Dodoma kucheza mechi ya NBC...
Nimeutizama mpira jana safu yetu ya ushambuliaji ukimtoa Ateba hakuna mwingine aliyekuwa anaelewa nini timu inatakiwa kufanya.
Nikiri tu kusema Simba tumepata kocha mzuri sana ila tatizo lipo kwenye magarasa aliyoletewa na yale aliyoyakuta.
Najiuliza aliyemleta Mutale na Ahoua alifikiria nini...
Hapa ndio simba wanafeli
Na hapa ndipo viongoz wanapiga hela
Wenzenu wanapiga misumari kina ateba na wenzie
Amjiuulizi kila mechi mnajadili hivi ndio hiyu kweli wa u tube
Watu wanamalizaba na wachezaji myie mnaenda kuloga mshinde
Mwisho mtalia tena na tena na dis time mnapigwa 3 nk
Hivi umewahi kuona wachezaji wanatoka kwenda kujisajidia?ndani mchezo ukiwa unaendelea iwe dakika 45 za mchezo ama zile 45 za kipindi cha pili.
Toka nijue mpira sijaona hata aliepata haja akaomba atoke kujisaidia
Nawaza tu wanakulaga dawa wasioate haja ama!
Tumeshuhudia timu kubwa barani Afrika kama Al ahly, Wydad AC nk. zikiwatoza faini wachezaji wake na wengine kunyimwa mishahara pindi wanapofanya vibaya hususan katika michezo ambayo ilikuwa ndani ya uwezo wao. Mfano baada ya CR Belouizdad kupoteza kwa mabao 4 - 0 dhidi ya Yanga, wachezaji wote...
Yaani nchi imekaa kimchongo Sana hii
Tukishinda Nani Kama Mama
Tukifungwa tatizo Samata
Tukifungwa Mara mzinze sijui kafanyaje!!
Sometime Bora tubondwe tu!!
Tanganyika na Zanzibar tunashindwa nini kuunda timu Moja imara ya kushinda makombe Africa na duniani. Shida ni vipaji hakuna, makocha hakuna, mashabiki haukuna na uongozi wa nchi?
tumerogwa?
Kuna utamaduni wenzetu wanao, mchezaji akifikisha umri au stage fulani anatangaza mwenyewe kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa mwisho kutumikia timu ya taifa.
Hii ina faida kubwa sana kwa mchezaji. Kama umecheza kwa muda mrefu, watu watataka waweke kumbukumbu zako za mwisho ukichezea timu ya...
Napenda kuandika ujumbe uu wa wazi kwa wanchezaji watakao ingia uwanjani leo dhidi ya DRC congo,
Ni ukweli usiopingika kama kongo hatuwawezi sio kwa mchezaji mmoja mmoja au kwa team play. Ila naandika ujumbe ukaguse mioyo na wakavae damu ya kizalendo zidi ya taifa leo.
Kwenye mpila kuna muda...
Beki wa zamani wa Manchester City Benjamin Mendy anasema alikopeshwa pesa na wachezaji wenzake wakati huo Raheem Sterling, Bernardo Silva na Riyad Mahrez wakati klabu hiyo ilipoacha kumlipa baada ya kushtakiwa kwa ubakaji na unyanyasaji wa kingono, aliiambia mahakama ya ajira.
Beki huyo wa...
Libya kama kawaida yao, wamewalaza wachezaji wa timu ya taifa, Nigeria Uwanja wa Ndege kwa zaidi ya saa 12 bila chakula wala vinywaji, wakaona haitoshi wamewapa Hiace (basi dogo) kuchukua timu nzima kuwapeleka Hotelini.
Wachezaji wa Super Eagles wamejawa hasira kutokana na hali hii, wakitishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.