Siku hizi ni rahisi kuona timu ngeni zikija na mapipa yake kwaajili ya kuweka maji yenye barafu (maji baridi sana) kwaajili ya wachezaji. Faida hizi ya maji baridi sana sio TU kwa wwchezaji lakini ni kwa watu wote wanaooga maji baridi sana.
Ili mwili ufanyekazi zake vizuri unahitaji nguvu...
1.Djuma Shabani wakati anasajiliwa Yanga tuliambiwa alikuwa akihitajika Real Madrid sasa yupo Namungo
2.Obrey Chirwa.,akivyotoka Yanga tukaaambiwa ameeenda Al Ahly ya Misri.
3.Tshishimbi,walisema ni zaido ya De Bruyne
...inaendelea
Kwahiyo imetafutwa kila namna mwisho wa Siku Yanga iwe imeita Wachezaji Watano Taifa Stars na Simba ibakie na Wachezaji Wanne walioitwa? Ndiyo maana kuna muda huwa naichukia Taifa Stars kwani imejaa mno Usimba na Uyanga wakati kumbe katika Vilabu vingine kuna Wachezaji wazuri sana wa kuipigania...
Hii ndio sentence pekee naweza kuitumia kuelezea kile nachokiona kwa team ya Yanga
Kwa Sasa Kuna wachezaji lakini hakuna team Kila mmoja anataka kufanya kile anachotaka kufanya sio kwa ajili ya team Bali kwa ajili yake
Naamini Kuna hata wachezaji husikia uchungu pale mmoja wao anapofunga...
Ni mimi wako: UWESU TANZANIA 🧠
Kwa tafiti fupi niliyoifanya nimegundua kuwa ni vigumu sana wachezaji washiriki wa CCL (CAF champion ligue) kusajiliwa kwenye timu shiriki za EPL (England premier ligue)?
Michuano ya vilabu bingwa vya Afrika vimekuwa vikiibua vipaji vya vijana wengi wa kiafrika...
Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan
Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba
Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno
Kituo kinachofwata
Fredinhoooooo
Tunataka kuwaprove wrong....
Zipo kila dalili mechi ijayo dhidi ya Walibya ikaisha kwa sare tasa..
Naomba nimkumbushe Mwalimu kwamba, Simba siku hizi imekuwa haina record nzuri pale inapotokea mechi zake kuamuliwa kwa matuta na timu za nje.
Hii ni kwasabu makocha wamekuwa wakitoa zero priority kwny ku train timu kwa...
Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo.
Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka...
Baada ya dakika 90 kumalizika kwa mechi kati ya Simba na Ahly Tripol,Mashabiki walianza fujo kwa kurusha makopo na vitu vizito uwanjani huku wakiwalenga wachezaji wa Simba na marefaree na huku Aishi Manula akijeruhiwa na polisi na kuanza kupewa matibabu na madaktari wa timu ya Simba SC.
Soma...
Hongereni shirikisho la soka la Zanzibar kwa kuzalisha vipaji vinavyokuja kulikomboa taifa la kichwa cha mwenda wazimu (hayati Ali Hassan Mwinyi).
Uzi tayari.
Guinea 1-2 Kizimkazi
FT
Habari za jioni wakuu?
Kwa jinsi wachezaji wa Taiga Stars wanavyocheza ni kana kwamba wamelazimishwa kushiriki mashindano haya,wanamgomo wa chini kwa chini dhidi ya uongozi.
Team haina maelewano,wachezaji hawana stamina,poor physic.
Feisal Salum anafunga goli lakini binafsi haamini kama...
Struggling star is Man United's highest earner as transfer flop makes the top five - but key midfielder is the LOWEST-paid player in Erik ten Hag's squad
Manchester United's wages for the 2024-25 season have been revealed with three players currently earning more than £300,000 a week.
Captain...
Huwa naona timu za mpira ulaya wanahamasisha kampeni za mambo mbalimbali kama vile upingaji ubaguzi wa rangi au kuwanyanyapaa mashoga. Hii ni kutokana na nguvu ya michezo.
Marekani pia timu za mpira wa basketball huwa na harakati mbalimbali dhidi ya mauaji ya bunduki.
Huu ni wakati sahihi wa...
Maoni ya mashabiki baada ya Timu yao kutoka sare na timu ya Ethiopia katika mchezo wa kufuzu Afcon 2025
Pia soma:FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024
Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo.
Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana.
Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na...
Nimeangalia mapokezi ya wachezaji wa Yanga bukoba ni makubwa sana tena sana pale airport na watu wameacha shughuli zao kwenda kuwapokea ila namna wachezaji wanawapita mashabiki ni kama paka na panya wengi wamefunika vichwa na kofia miwani kubwa earphones mwendo wa ngiri
Angalau Dube kuonesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.