Wazee tumekwisha rasmi. End of the game.
Bado ardhi tu, tubaki kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe.
China inalalamikiwa kote Duniani Kwa kufanya miradi inayowaumiza wazawa, sasa zamu yetu imefika rasmi.
Walau kwa hili, Magufuli tutamkumbuka mno. Hii bandari ina maslahi makubwa sana kwa...
Wakenya ni majirani zetu na ndio nchi pekee duniani ambayo naweza kusema tunachangia vitu vingi sana. Kwa mfano, tunaongea lugha moja, chakula chetu kinafanana na kuna makabila mengi ambayo yapo Kenya na Tanzania.
Pamoja na ujirani wetu na mila na tamaduni kufanana lakini pia kuna tofauti kubwa...
Hamjamboni wanangu jamvini?
Nina suala linanisumbua hasa kwa wale ambao bado ni vijana. Kwa sasa, mamlaka nchini China zimeruhusu wachina kuzaa watoto watatu kila familia. Kabla ya hatua hii, walikuwa wanaruhusiwa kuzaa watoto wawili baada ya kuwa na sera ya mtoto mmoja kwa miongo mingi...
MAENDELEO YANAENDANA NA MAHITAJI,MAHITAJI HAYO NDIYO YANAFANYA WAZUNGU NA WACHINA WAJE AFRIKA.
Leo 19:30hrs 21/05/2021
Tangu 1st hadi sasa 4th industrial revolution, maendeleo ya ubunifu wa viwanda yamekuwa yakiendana na mahitaji maalum ya matumizi ya “Materials” kuzalisha mashine...
Hivi karibuni chuo kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing BEWAI kilifanya mashindano makubwa yaliyowashirikisha wanafunzi wanaosomea lugha mbambali za Afrika katika vyuo vikuu mbalimbali nchini China, zikiwemo Kiswahili, Kihausa na Kiamhara. Lengo la mashindano haya ni kukuza uelewa wa Wachina...
Duniani kuna dini zaidi ya 99 na madhehebu ya dini mengi yasiyo na idadi. Wakristo wana madhehebu zaidi ya 43,000.
Takwimu zzinaonyesha angalau nusu 54% ya wakazi wa Dunia hii wanaamini kwenye miungu ya mashariki ya kati, yaani miungo ya waarabu na wayahudi, sehemu nyingine wanaamini miungo wao...
Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko SHINYANGA chafunguliwa kuendelea na uzalishaji.
Source: Taarifa ya habari CHANNEL 10
Tuendelee kupeleka punda kwa wingi
Hii ndio Taarifa ambayo Mwekezaji Mzalendo Ndugu Mbilinyi ameisambaza kwa vyombo vya habari vya ndani na Nje ya Nchi , wakati akitia Saini Mkataba huo wa kusimamia masuala ya Logistics mbele ya jopo la Wanasheria wake wa Kimataifa na washauri wake wa masuala ya biashara Mjini Iringa
Sugu...
Mimi nina wasiwasi wa huyu Spika wetu na China. China wamekuwa wakinunua viongozi wa Africa kwa manufaa yao.
Leo hii baada ya Rais Magufuli kufariki huyu spika sasa anataka kumburuza Rais Mama Samia kwenye mtataba wa kuuza bandari ya Bagamoyo kwa China.
Lengo la China liko wazi na walishasema...
Naam.
Tangu mwaka 2018 pale spika Ndugai alipolipiwa kila kitu na wachina kwenda kuonyeshwa presentation ya namna bandari ya Bagamoyo itakavyokuwa ikijengwa, basi amegeuka mpiga debe wao!
Ndugai akiulizwa kwani bandari zilizopo zina kasoro gani hadi upigie debe Wachina kiasi hiki? Ndugai hana...
Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na wachina kwa mkopo.
Wanajenga mali yao wenyewe.
Mali ya china ndani ya tanzania kwa miaka 99.
Hakuna mtanzania ataruhusiwa kuingia pale kufanya lolote pale mbeganizhou ya Bagamoyo.
Nilichogundua huo mradi wa bandari ya Bagamoyo ni do or die project kwa...
Tuna sababu moja kubwa ya kuukata Mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo nayo ni historia mbaya ya China kona mbalimbali za dunia walipotekeleza miradi ya aina hii au walipozikopesha nchi mikopo mikubwa ya miondombinu. Wamechukua bandari Sri Lanka, Pakistan, Australia na Djibouti kupitia...
Binafsi naona Serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika kukamilisha miradi mikubwa ya awamu ya tano kama ule wa Bwawa la Umeme wa mto Rufiji na ule wa ujenzi wa...
Je, kuna hujuma za muda wa kukamilika mradi unaofanywa na makandarasi?
Reli ya TAZARA ilipitia njia ngumu Sana yenye milima na mabonde mengi. Lakini mradi ulichukua muda mchache Sana.
Ilijengwa kwa miaka tokea '70 mpaka '75 tu. Yenye taaluma za zege Kama hii ya kisasa.
Kilomita zaidi ya 1800...
Mradi wa bandari ya bagamoyo ambao ulikuwa mbaya sana haujafutwa kwa ujumla wake. Kuna watu wengi serikalini wamekaa mkao wa kula wakisubiri Magufuli aondoke ili warudishe mradi kwa manufaa yao binafsi. Kuna watu wengi sana walikuwa wameshawekwa mfukoni.
China watahakikisha wanatumia kila namna...
Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu, ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile, iliwezekanaje?
Watumwa ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.