Ndugu zangu
Poleni kwa tatizo la maji na umeme lililopo nchini kwa sasa.
Wachina ni marafiki ZETU wa siku nyingi tangu enzi za baba wa taifa.
Tuwatumie KWENYE hii teknolojia yao ya cloud seeding tuanze KWA mikoa yenye changamoto ya maji kama Dar es salaam baadae ienee Tanzania nzima...
Hili ni tatizo linalomea matawi, na linatapakaa kila kona ya nchi. Janga la Kamari (Betting). Kila kona ya jiji la Dar-es-Salaam, Mwanza na Arusha, Mashine za kamari zimewekwa.
Majuzi kati nilikuwa Shinyanga vijijini, watoto waodogo umri wa shule wamejazana ndani ya kachumba kadogo wanacheza...
Kipchumba Murkomen kafanya kweli huko Kenya.
Sasa watu wanajiuliza, ule upigaji mkubwa uliokuwa ukisemwa kuhusu unyongaji wa mikataba ya kichina upo wapi?
Bandari ya Mombasa iliyodaiwa kuwekwa rehani haionekani popote.
Na kama kuna chembechembe zozote za upigaji, ni dhahiri kabisa kwamba ni...
Hayo ndiyo yalikuwa maneno ya mwisho kupewa mama pale airport wakati anaagwa na wenyeji wake na kutakiwa safari njema na viongozi wa juu wa chama cha kikomunisti na serikali ya China.
Bila shaka Wachina wanapata taarifa za uchapakazi wa Ridhiwani katika nafasi yake ya ubunge.
Kampuni ya Japan ya Association of African Economic Development (AFRECO) imeonesha nia ya kujenga chuo cha uhandisi wa tiba (School of Medical Engineering) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kupunguza tatizo la wataalamu wa tiba na vifaatiba nchini.
Rais wa kampuni hiyo, Bwn...
Wataalamu wa kichina kwenye jimbo la Hubei huko China wakirusha Roketi yenye Kemikali zenye uwezo wa kusababisha mawingu ya Mvua kwa lengo la kuchochea unyeshaji wa mvua kutokana na ukame unaoyakabili maeneo mengi ya nchi hiyo. Tukio hilo limefanywa tarehe 16/08/2022.
Mwaka 2007 Lowassa...
Tarehe 8 Agosti ni Siku ya Kufanya Mazoezi nchini China. Siku hiyo, rafiki yangu kutoka Afrika Duncan Likok alisema, “Sasa najua kwa nini China inaweza kupata mafanikio makubwa, kwani ina serikali yenye uwezo mkubwa, na imefanya vizuri kazi kubwa nyingi ikiwemo kutokomeza umaskini pamoja na...
Kampuni ya kichina ya CHICCO yatekeleza agizo la RC Kafulila, tayari imekamilisha marudio ya barabara yenye urefu wa kilometa 10 zenye thamani ya tzs15bl.
==
Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57, ilianza ujenzi tangu mwaka...
Habari za muda,
Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona wanaongea billa kupepeza macho Wal kuongea kwa chini chini alisema kwa lafudhi ya kihindi " hey rfk hyo...
Tarehe 28 Juni huko Yuxi mkoani Yunnan China watu waliingia katika Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang ili kuchunguza asili ya maisha na kujionea mwujiza na mvuto wa viumbe wa kale.
Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang linahifadhi zaidi...
Mgombea wa Urais Nchini Kenya, William Ruto ameahidi kuwafukuza Wachina wote wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na wazawa, iwapo atashinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, 2022.
Amesema kuna Wachina wanaouza mahindi ya kuchoma na simu mtaani nchini humo.
"Kuna wachina wanauza...
Nimeona hiki kichwa cha habari kidogo kikanistua, yaani Nchi ya China ijenge Chuo kwa vyama tawala kufundisha siasa ya uongozi wa kikommunist? Sasa hapa upinzani upo wapi? Democracy si ndiyo inakufa? Ukoloni wa pili?
Hivi position ya Afrika kujitawala yenyewe bado ipo?
China’s political party...
Wahisani wachina wanaendelea kuwapa matumaini wanafunzi vijana wanaosoma kwenye shule ya Mcedo Beijing iliyopo kwenye eneo la makazi ya mabandaduni la Mathare mjini Nairobi.
Watoto hao wanaotoka kwenye mazingira magumu wamejiunga na shule hiyo kutokana na hisani ya wachina na sasa wanaweza...
Hii ipo sehemu nyingi sana, nimepigwa na butwaa imefika mpaka marekani kwa sasa ambako wamarekani weusi wanalalamika wanaijeria wanaiba kazi zao, cha kushangaza wamarekani weusi wengi hata elimu za kuajiriwa kwenye kazi wanazoomba wanaijeria hawana.
Unakuta mtu analalamika mnaijeria anaiba...
Nikiwa na mamlaka ya kutoa tenda, sitatoa tenda ya ujenzi kwa niaba ya taifa kwa kampuni yoyote ya Kichina. Hata kama pesa zinatoka kwao, nitawaambia warudi nazo kwao.
Katika thread hii nitatoa mifano mingi sana ya ujenzi unaofanywa na Wachina ambao unahatarisha maisha ya watu; kwa bahati nzuri...
Wakuu hebu leo tuongelee hili swala. Katika mitandao ya kijamii tunaweza ona anti China movement ni nyingi kuliko anti west movements. Au ni kwa sababu wachina wako simple. Kwanini tuna attack sana wachina japokua wote tunajua historia na tunajua ni nini tulifanyiwa, nani alitufanyia na...
Wawekezaji wa kichina wamekuwa Wakiwatesa sana Wafanyakazi Wao wa kiafrika.
.
Kwenye hii video inaonesha mchina akimpiga mfanyakazi wake huku akisaidiwa na Mtu mweusi.
.
Inasemekana mchina na Huyo Msaidizi wake wamekula mvua na mahakama ya Rwanda.
.
Unyanyasaji Huu uko sehemu kubwa sana barani...
kwa wale wapenzi wa kungfu movies watakuwa wameona sana hizi nyumba. Hili neno Siheyuan maana yake nyumba iliyojengwa pande nne, ikiwa na courtyard katikati.
Nyumba kubwa inakuwa ya baba mwenye nyumba. Nyuma yake nyumba za wasichana. Pembeni, nyumba za watoto wa kiume. kwa mbele ni nyumba za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.