Jana nilipita maeneo ya Kigamboni, nikaingia uchochoroni sehemu moja karibu na msikiti wa Feri upande wa Kigamboni nikaona mashine moja ya Kamari uchochoroni kabisa, katika kibanda kisicho na hadhi hata kidogo, kimefichwa ndanindani.
Mchina mmoja akaifungua, akatoa machenji kibao ya shilingi...
Wananchi wengi kwa sasa wanatumia vigae vinavyotengenezwa na viwanda vya Wachina hapa nchini lakini jinsi inavyoonekana vigae hivi havina ubora unaohitajika na havidumu kwa muda mrefu tofauti na vigae vinavyotoka Spain, Uturuki na Italy.
Ni vyema sasa Tanzania Bureau of Standards(TBS)...
Shirika kubwa zaidi la mahusiano ya umma duniani la Edelman, hivi karibuni limetoa ripoti ya mwaka 2022 ya “Edelman Trust Barometer”, ikionesha kuwa imani ya Wachina kwa serikali yao imefikia 91%, na kushika nafasi ya kwanza duniani.
Katika miaka ya karibuni, nchi za Magharibi zimekuwa...
Wakuu, salaam.
Naomba kujuzwa ubora na ufanisi wa kazi za Springs city garage (Wachina) kwenye unyoshaaji wa bodi ya gari. Jijini Mwanza.
Kwa mwenye uzoefu nao, please share nasi hapa.
N.B: nahitaji contact number ya springs city garage (wachina) in Mwanza.
Habari zinazotembea hivi sasa ni kuwa punde hivi Uchina itaiomba Tanzania (kama bado haijafanya hivyo) iwapatie kituo cha kijeshi (military base). Kama ilivyoomba nchi kadhaa ikiwemo UAE, Pakistan, Tajikistan (UAE imekwishawapa).
Najua ombi hilo likifika Tanzania kuna wale watakaosema 'lakini...
The second colonization of Africa:
CHINA'S EVIL PLAN FOR AFRICA
By the year 2050, according to the metrics of continental geopolitical ethnography, Africa will become a Chinese continent. African leaders, instead of setting up a "sinking fund" are just happy to revel in their own batty.
Fact...
Kwa huzuni kubwa Serikali ya Uganda imeshindwa kulipa deni kiasi cha dola kilioni 207 na kupelekea kutaifishwa uwanja wao wa ndege walioweka bondi. Iwanja wa Entebe sio mali ya Ugamda tena. Wachina wawetwaa uwanja wa ndege wa Uganda hii ni wazi watu weusi uwezo wetu ni mdogo sana.
Walianza...
Kwema job seekers wenzangu?
Kuna mchina kani-check somewhere, kaniambia nimtumie CV yangu kuna kazi za sales zinahitaji watu, nimemtumia cv yangu fresh,In return akanitumia job description ya kazi husika ndio nikaona huo mshahara anaotaka kunilipa.
Ofcoz nina uhitaji wa kazi ila nimemjibu...
Na Tom Wanjala
Tofu inayotengenezwa kutokana na maharagwe ya soya inapendwa sana na wachina, ni chakula kinachopatikana kwa rahisi na chenye faida nyingi za kiafya mwilini, na upendo huo wa wachina unaifanya China kuingiza kwa wingi maharagwe ya soya kutoka mataifa ya duniani.
Jua la utosini...
China imekuwa sehemu kubwa ya vitu vingi vinavyo zalishwa na kusambazwa duniani ila hawa watu washukuru bila nchi za ulaya na mataifa makubwa kuogopa ujila wa mishaara mikubwa kwa ajili ya viwanda vyao, ndio wakapeleka china ili kuweza kupata urahisi wa uzalishaji.
Mwisho wa siku tafiti nyingi...
Baraza la serikali ya China limetoa waraka wenye kichwa “Safari ya China kutoka umasikini hadi kwenye neema” ukitaja maendeleo yaliyopatikana nchini China kuanzia mwaka 1952, hadi mwaka 2020. Baadhi ya takwimu zilizotajwa kwenye waraka huo, ni kuwa katika kipindi hicho pato la taifa la China...
Wa Denish ... Hawa ni moja ya Wazungu wastaarabu sana. Nmekaa kwao, nmefanya nao kazi katika Miradi yao Mbalimbali. Sikuwahi Baguliwa, Dharauliwa au Kubagazwa.
Ingawa sisemi kuwa wanakosekana kabisa wabaguzi katikati yao. Ni binadamu. Sisi wenyewe waafrika tunabaguana.
Nasikitika sana...
Kama ni mla K Vant na Moet, basi hii ni kwa ajili yako. Yasemekana hao mabwana kutoka Asia ya Mashariki wamekamatwa jijini Dar wakiwa kwenye ‘karakana’ yao la kufyatua kopi za vinywaji hivi murua.
Hivi huwa wanapataje vifungashio visivyotia shaka?
Kwa uchafu wa hayo madumu, huenda yanahifadhia...
ukipita barabara ya Tunduma Nakonde kuelekea Lusaka utakutana na wachina waliojazana Zambia wakiishi kama raia wa kawaida
opposition walisema watashughulika na hawa watu walioletwa na serikali ya PF.
Africa tuna kazi sana kwa kweli
Baada ya Mwigulu kutembelea China akiwa waziri ndogo alikuja akiwa kameza na kushiba siasa za kikomunisti.
Alianza kuvaa kofia yenye nyota nyekundu inayovaliwa na wachina. Na kunawakati alianza kuvaa nguo karibu sawa na za kijeshi. Kuonesha ameshiba Imani za kikomunist Kama akina Fidel castor...
Ongezeko la wachina katika Afrika linatokana na kwamba wanatupenda sana, na wanataka kutuendeleza?
Bila shaka kila mtu anajua wachina wanawachukia sana Waafrika. Kwa nini wanavamia kwa bidii sana bara la Africa?
Magufuli aliona wanachokiona wachina ambacho watu wa kawaida hawakioni...
Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.
Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.
Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi.
Tunataka siku mkianza kulia tulie...
Huenda ikawa baada ya miaka 100 ijayo ngozi nyeusi ikapatikana kwa nadra hapa Tanzania kama ilivyo kwa Madagascar na Mauritius. Kupata mtu mweusi wa asili itabidi labda uende ndani kabisa mashambani huko vijijini. Majina ya asili yatachanganyikana na ya kichina kwa hiyo yatapotea kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.