Kwanini tumedumaa sana na kujitengenezea mentality yakufanyiwa? Tunashindwa nini kuweka kwenye sera zetu kwamba ujenzi wa majengo Tanzania utafanywa na makampuni ya wazawa? Hata kama watataka kutafuta wageni kama engineer iwe ruksa ila tenda wapewe kampuni za ndani.
Kweli tunakwenda kukopa nje...
Ukitazama kitu ambacho Dubai wanafanya ni mtego ambao umbumbu wa waafrika tunashindwa kukiona.
Hoja siyo kuleta mwekezaji bali umlete nani na kwa maslahi gani yanayotoka wai.
Dubai wamekamata bandari zote kwenye ukanda wa mashariki mwa Afrika, kuanzia embe ya Afrika huko Djibout maka kusini...
.Happy Sunday to you all
Bas bwana, Enzi hizo nipo shule ya msingi walikuwa wanatoa zawadi kwa mtu wa kwanza hadi wa tatu, na mnasomwa kwa majina siku ya kufunga shule, so ni full maujiko kuitwa shule nzima inakuona, mpaka kufika darasa la nne mm nilikuwa sijawahi pata zawadi yeyote 😂😂
Si...
Baada ya kudodosa dodosa mikataba ya makampuni ambayo yamejikita katika uwekezaji wa Bandari, nimeona na nimejiridhisha kabisa kwamba, masharti ya Wachina kwa Bandari ya Bagamoyo, yalikuwa nafuu kuliko hawa jamaa wa DP World.
Zifuatazo ni baadhi ya sababu zilizonifanya nifikie maamuzi haya:
1...
"Sisi sote ni wachina" hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Rais wa Taiwan Ma Jing-jeou aliyo zungumza wakati wa ziara yake China bara.
Rais huyo alisisitiza kwamba,
"People on both sides of the Taiwan Strait are Chinese people, and are both descendants of the Yan and Yellow Emperors," Ma said, in...
Katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani imekuwa ni ada na desturi kwa Waislamu na wasiokuwa Waislamu kuendeleza moyo wa kuchangia na kuwasaidia watu wa makundi mbalimbali. Na hii ni pamoja na kufutarisha mayatima, watu wenye maisha duni, waumini wa misikitini ama hata watu kawaida...
Habari za asubuhi Wana JF,
Leo ni malalamiko kidogo kwa Hawa ndugu zetu wachina. Mzee ana nyumba mkoa X hii ni nyumba ya kupangisha nyumba kubwa ya kisasa na ina fensi ipo mazingira mazuri kupata mpangaji sio shida.
Kuna wachina tuliwapangisha Wana Kama miezi mitano, kwenye pango wako vizuri...
Kwa kuwa bado sisi watu weusi maarufu kama Waafrika hatuja pata akili ni vyema basi swala zima la uongozi tuachie wazungu na watu jamii za mashariki mwa asia ya mbali (wachina, wajapan, wakorea .........)
Sisi kama watu weusi cha kufanya sasa kuanzisha mpango kabambe wa kukopa watu kutoka...
Ni muda mrefu sasa nchi za Magharibi hasa Marekani zimekuwa zikiichokoza China ama hata kufikia kuirushia maneno makali kwa sababu tu ya suala la kisiwa cha Taiwan. Uchokozi huu mara nyingi huwa wanafanya kwa kuichochea ama kuihamasisha Taiwan ijitenge na China huku nchi hizo zikisahau kwamba...
Kuna mada niliongolea kuhusu wachina wanaweza kukutajirisha naona ikapokelewa kufumbwa na watu wasio taka mjue mwanga unachomokea wapi.
Watu wengi hususani hapa bongo si rahisi mtu kukupa code kuhusu biashara za bara la asia zilivyo ili kuendelea kuwa mteja wake usisanuke.
Wachina wamejikuta...
Maandamano yametokea Mitaa ya Dubois, Gikomba na Nyamakima Jijini Nairobi wahusika wakidai uwekezaji unaofanywa na Wafanyabiashara raia wa China kuuza vitu kwa bei ya chini ni hatari kwa biashara ya wazawa.
Wakiwa na mabango yenye ujumbe tofauti ikiwemo kudai 'Kuna uvamizi wa Wachina', wamefika...
Sisi wapare kutokana na kuchapa kazi sana na kutengeneza barabara kubwa nzuri pana mpaka milimani nyerere alifanya ziara ya kikazi miaka ya 70 na akawaita wapare ni wachina wa Tanzania. Mpaka leo hii wapare wanajulikana kama wachina wa Tanzania.
JF
Nimeona tangazo la Mh.Waziri kuhusiana na Sanamu ya baba wa Taifa ambayo wamesema watajitolea kugharamia na ambayo itawekwa Makumbusho ya Taifa.
Najiuliza kwa sauti kubwa sana
1. Hivi nchi yetu haiwezi kugharamia hili? how much?
2. Ile ni Sanamu nyeti mno na ni nembo kwa Taifa letu...
Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.
Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa...
Mkesha wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China ulifanyika tarehe 21 Januari mwaka huu, ambapo wanafamilia kutoka sehemu mbalimbali walikusanyika pamoja na kukaribisha Mwaka Mpya wa Sungura.
Sikukuu hiyo kwa mwaka huu ilikuwa ni ya kwanza kufanyika baada ya China kutangaza mapema Januari kuwa, inapunguza...
Wiki mbili zilizopita, ghafla nilipata homa kali na maumivu makali mwili mzima. Mke wangu alikwenda katika maduka mbalimbali ya dawa karibu na nyumbani kwetu ili kutafuta dawa, lakini alirudi mikono mitupu. Siku mbili baadaye, mimi, mke wangu pamoja na mtoto wetu sote tulipatwa na virusi vya...
Kama nchi ningeshauri tujifunze kushughulika na kero hata kama hazina madhara ya moja kwa moja!
Huko ulaya wenzetu huwa wanafanya oparesheni ya kuondoa paka, mbwa na ndege wasio natija!
Hata hapa kwetu sioni kama inashindikana kuwaondoa kitaalam hawa kunguru weusi!
Historia inasemekana wazo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.