Kuna imani ilianzia Marekani huko miaka ya 1960s, imesambaa hadi Tanzania, Arusha nimeona wapo na pia DSM na maeneo mengine ya nchi, hii ni imani ya Branhamites, wafuasi wa mtumishi mmoja wa Mungu mkubwa sana aliyeitwa William Marrion Branham. Wengi mtakuwa mmeshawafahamu, wengine wanabandika...