Naomba kuongea na wachungaji wa kilokole hapa, nadhani hii itapunguza na makelele ya watu kulalamika kuwa mnapiga mno kelele kwenye makanisa yenu. kuna tabia mnazifumbia macho ila sio za Kimungu zimeenea sana makanisani. Mimi ninayeongea ni mlokole, sio wa mitume na manabii, hao huwa nawahesabu...
Habarini ndugu katika jukwaa, Hongereni kwa uvumilivu kuelekea kuumaliza mwaka na tumshukuru Allah kwa kuturehem sisi.
Hawa wenzetu manabii na mitume plus wachungaji katika majukum yao hututabiria baraka kem kem ilihali wao wenyewe hawajua chochote kuhusu kesho, utasikia huu kwaka ni wako...
Sababu ya kukataza.
1Timotheo 2:12 >> Simruhusu mwanamke yeyote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume (ibadani). Mwanamke anapaswa kukaa kimya.
Wasabato hawaruhusu mwanamke kufundisha kanisani au kuwa mchungaji cha ajabu wanatumia mafundisho ya moja wa waanzilishi wa kanisa hilo Hellen...
Huyu ni Oscar Oscar wa wasafi media! Akishakaa kwenye mic za WCB! Anaona anaweza kukanyaga kitu chochote! Maandiko yanasema ONDOA kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo utazame boriti kwenye jicho la mwenzako, Osca analalamika kwamba sadaka zimekuwa sehemu ya utapeli makanisani, kama ni hivyo...
Kuna makosa mengi watu wanafanya.
1: Kutumia kitabu cha biblia kama ulinzi dhidi ya wachawi au majini ni kuifanya kama irizi.
2: Kukariri mafungu alafu uyatumie kutetea dini, kubishania au kuonyeshq umwamba wako wa kukariri haisaidii.
UFANYE NINI SASA
Soma biblia, weka kwenye kumbukumbu...
Kwema Wakuu!
Nikishasikia kiongozi wa kisiasa hataki viongozi wa dini wakemee Maovu hasa ya haohao watawala na kuingiza neno isichanganywe dini na Siasa, hapo napatwa na harufu ya uovu.
Hakuna haja ya uwepo wa dini ikiwa manabii, mitume, maaskofu, wachungaji na wote wanaohudumu kwenye...
Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu zangu katika nchi yetu kuna watu wamekuwa wakisabishiwa, au kusababisha wenyewe vifo vya ndugu zao bila wenyewe kujijua kutokana na imani zao, au mawazo yao. Hapo chini ni matukio mawili kati ya mengi ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe.
1. Mnamo mwishoni...
Kama kichwaccha habari kinavyojìleza, wote tunaokunywa pombe za ķujificha tukutane huku tusingoje yatukute yaĺiyomkuta mzee wa upako, najua wengì tunatamani kuacha pombe lakini tumenaswa mahali.
Tumeishia tu kusema hii ndio chupa yangu ya mwisho, kesho sinywi tena, na akili źikiturudia...
Lema ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema aliwaonya Wananchi kuhusu Fedha wanazopeleka kwa manabii.
Mchungaji Msigwa naye akasema Baadhi ya wachungajj hugeuza makanisa yao kuwa vitega Uchumi hivyo Serikali iwachunguze na kuwachuja.
Leo huko Kenya ambako Mchungaji Msigwa alikuwepo juzikati...
Wachungaji wawili wa dhehebu la kidini wamekamatwa na Maafisa wa Huduma ya Upelelezi wa Jinai (SIC) wakiwa wamevaa sare nyekundu zinazofanana na zile zinazovaliwa na Majenerali wa Jeshi.
Msemaji wa SIC, Manuel Halaiwa amenukuliwa akisema wawili hao watashtakiwa kwa matumizi haramu ya sare za...
Sijui kama ni mimi tu, hivi kuna tatizo gani kila mhubiri anayehubiri upendo TV, awe Mchaga, Mhaya, Mndengereko, Msukuma au mnyakusa nakadhalika, anaiga sauti ya Mwakasege? au ndio wanaamini kuhubiri ni kutumia sauti ya Mwakasege?
Yule mwenzenu ile sauti ni ya kinyakyusa, pamoja na kuishi...
Habari za muda huu Wana JF
Kuna kipindi nilikuwa Arusha baada ya mihangaiko ya maisha Kuna siku moja, nilikuwa matembezi ili niujue mji wa Arusha vzuri ilikuwa Mara ya Kwanza kufika.
Wakati nipo kwenye mizunguko nilipita mitaa flani siikumbuki vizuri jina lake.kuna kanisa la walokole mchungaji...
Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao.
Huu nao ni ukoloni mambo Leo kanisani yaani waamini...
Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam limeweka msimamo kuhusu utoaji huduma za kiroho kwa waumini wake, ambapo kuanzia sasa watakaohudumiwa ni wale wanaoshiriki ibada za jumuiya na kanisani.
Hayo yamebainishwa leo Jumamosi Februari 11, 2023 wakati wa kikao cha Achidikonary ya Kibaha...
Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu, Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani.
Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa...
Nimeona mahubiri Ya Askofu Malasusa akiwashambulia watumishi wa Mungu ambao kwa madai yake yeye, waanaminiwa sana na waumini wao.
Askofu Malasusa anadai wachungaji hao wanaamini sana na watu kuliko Yesu.
Mahubiri haya yanayoonesha chuki ya Askofu Malasusa kwa watu kama Kimaro (wengine kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.