wachungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mmawia

    Mchungaji Jackson Senyonga asherekea kifo cha TB Joshua, adai alikuwa Nabii wa uongo

    Tangu nizaliwe na kujitambua nilikuta kuna madhehebu makuu matatu au manne ya kikristu. 1:waroma. 2:Waprotestanti Hiyo ni miaka ya 70 lkn kufikia miaka ya 90 hadi 2000 kumezaliwa makanisa chungu tele hapa Tanzania. Ukifuatilia kwa ukaribu utagundua kila anaye anzisha kanisa lake lazima kwanza...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wachungaji wanaohamasisha uzinzi sio Nabii Tito peke yake, na Masanja Mkandamizaji yumo

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Masanja Mkandamizaji anamsisitiza Diamond awape mimba wanawake kutoka nchi zote Africa Mashariki. Huyu mchungaji chenga sana, anaacha kuhubiri toba na kuacha dhambi yeye anasisitiza Diamond awape mimba haraka huko nchi ambazo Bado Kisha aoe. Dini imevamiwa
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Wachungaji na Masheikh wa mishahara wanaoshindwa kukemea wanasiasa waovu, ndio wanaofanya watu waidharau dini

    WACHUNGAJI NA MASHEIKHE WA MISHAHARA WANAOSHINDWA KUKEMEA WANASIASA WAOVU, NDIO WANAOFANYA DINI IDHARAULIKE. Kwa Mkono wa Robert Heriel. Kazi hudhaulika pale uasi unapotamalaki, hata ile kazi iliyonjema na halali hudharaulika na kuwa ya aibu pale waovu wanaposhika kazi hizo. Zama hizi, kazi...
  4. TODAYS

    VIDEO: Hii ya kutandika Biblia chini ili marehemu apite imekaaje, Mwenye uelewa na hili pitia hapa

    Sijapata jibu la moja kwa moja angalia hii clip ni fupi sana 00.42mins ukubwa wa 3.4mb so haiwezi kumaliza MB's zako.
  5. Sky Eclat

    Wachungaji mnaosema tukiwapa sadaka tutabarikiwa kuwa wateja wa kwenye ma Mall, mnajiona mko sawa?

    Mchungaji anasema toa upate baraka, utanyeshewa baraka za kukuinua, hutakua mtu wa magengeni tena, hutakua mtu wa kununua mitumba tena utanunua nguo kwenye ma shoping mall na mahitaji yako yatatoka supermarket. Hizi hela tulizonazo tungeamua kuwa watu wa manunuzi ya supermarket na shopping...
  6. M

    Hivi kwanini Wabunge wa Vyama vya Upinzani wasiwe na kinga ya kubaki Bungeni kama sisi watu wa Kanisa kwani tunafanana sana kwa mambo mengi?

    Kwa upande wa kanisa kunavituko vingi sana vya ajabu makanisani lakini hakuna mahara pa kusemea kwa sisi waumini labda kubadilisha kanisa lakini kwa wanasiasa na taifa kwa ujumla kila baada ya miaka 5 kuna sehemu ya kusemea hivi kwanini na hawa wanasiasa wa upinzani nao wapewe kinga kama ya...
  7. Nazjaz

    Wanawake tuna nini lakini?

    Hi haijakawa sawa hata kidogo. Una masumbuko yako, unaamua kwenda kuombewa. Unamkuta mchungaji ofisini kwake, unalia, unamuelezea matatizo yako weeee. Gafla unaanguka miguuni pake namna hi... Halafu hicho kinguo kilivyo chepesi, kinaangaza, ndani hujavaa kitu. Mchungaji wa watu unamuweka...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wachungaji na walokole, tunagongewa sana wake zetu

    Shalom walokole wenzangu na wana JamiiForums wote kwa ujumla. Sisi walokole wengi tumekuwa kama manyumbu, Nadhani wengi mliona ile video iliyo leak ya baba askofu, ambayo baadae kitengo cha Forensic cha Polisi na UDOM vikatutonya kuwa eti sio video halisi ila fabricated. Askofu alipiga show...
Back
Top Bottom