wachungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pang Fung Mi

    Hivi mbona wachungaji wanajifanya wanajua kila kitu?

    Mbona madhabahu na injili inavamiwa na washamba sana, yaani akili ya kusoma vifungu vya bible, na hizo lukutu lakata leketee feki ndio wanajifanya na kujikuta wanajua kila kitu, mahusiano wanajua sana, heshima wanajua wao, sifa za kuoa wao, sifa za kuolewa wao, namna ya kutongoza wao namna ya...
  2. kidonto

    Nina swali kwenu Wachungaji wenye ujuzi na Biblia (Imani)

    Shalom! Nataka tu kujifunza na kuongeza Imani yangu! Nimekua nikishuhudia Watu wengi wakifunguliwa Makanisani kwa Macho yangu! Nimeshuhudia Baadhi ya watu wakifunguliwa kwa namna tofauti, katika kisa kimoja, mwanaume wa Makamo alikua Mgonjwa akiamini Kalogwa, alihangaika kutafuta Tiba toka kwa...
  3. KANYEGELO

    Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

    Wakuu habarini Mimi ni muumini wa kanisa la mahali pamoja ambalo ni T.A.G(X) Jana nimepokea ujumbe wa kunikwaza kunifedhehesha na kunifanya nione kama natwaga maji kwenye kitu Jana mchungaji kanitumia msg akiniuliza mbona sijahudhuria jana kanisani? Au na mpango wa kuhama kanisa !! Nami...
  4. Nakadori

    Wachungaji hadi lini mtavunja ndoa za watu?

    Joseph Moses ambaye ni dereva bodaboda mkazi wa Mbeya anakabiliwa na shtaka la kumtishia kumuua kwa maneno mkewe Irene Mwaikana huku chanzo cha ugomvi huo ni tabia ya mkewe ya kutoa chakula nyumbani na kupeleka kwa mchungaji. “Mheshimiwa hakimu huyu mwanamke anakera sana, tukichinja kuku...
  5. msukule mzembe

    Wachungaji wa kibongo wanazingua

    Juzi jumapili nikasema ngoja niende kanisani kwanza japo nikashiriki na watu katika ibada ya hapa na pale nikachukua kagari kangu ka ist kabovu nikatoka magetoni kipati mbagala hadi keko kanisa la universal. Ile kutimba ndani kanisanu muhuni sina hili wala lile nikatafuta siti nzuri ya mbele...
  6. MamaSamia2025

    Wachungaji msitumie maneno ya kudhalilisha utu wakati wa mahubiri au semina zenu

    Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi. Naandika huu uzi nikiwa na hasira kali sana dhidi ya baadhi ya wachungaji, manabii, Motivational speakers na wengine wote wanaotoa mahubiri au semina mbalimbali. Hii ni kwa sababu ya wengi kuanza kudhalilisha watu kwa kisingizio cha ushauri. Mara...
  7. luangalila

    USHAURI: Serikali ifuatilie mahubiri yanayotolewa na baadhi ya wachungaji majira ya usiku na alfajiri

    Kuna mchungaji fulani yupo BUZA kwalulenge huwa ana ruka hewani kupitia redio fulani Usiku majira ya saa 4 alfajiri. Tarehe 7/4/2022 ulitoa mahubiri ya ovyo sana yaliyo ashiria kuzalilisha jinsia KE, niko na audio ya hayo mahubiri. Lugha uliyotumia ilikuwa ni ya uzalilishaji sanaa.
  8. S

    Matumizi ya pombe na dawa za kulevya

    Shalom wapendwa Kumekwa na ongezeeko kubwa la Watoto wa wachungaji na maaskofu kuharibikiwa kutokana na utumiaji wa mihadarati na ulevi wa kupindukia. Hii inatokana na vita kali ya Shetani ili kudhoofisha nguvu ya Kanisa. Utumiaji wa dawa za kulevya na Pombe kupita kiasi huja na dalili...
  9. Introver

    Tofauti ya Mitume, Manabii, Wainjilisti, Wachungaji na Walimu ni ipi?

    TOFAUTI YA MITUME, MANABII, WAINJILISTI, WACHUNGAJI NA WAALIMU NI IPI? Huduma hizi 5 tunazisoma katika kitabu cha Waefeso. Na madhumuni ya Bwana Yesu kuziweka huduma hizi tano (5), kama huduma za Uongozi katika kanisa ni kama mstari wa 12, unavyosema. Tusome tena.. Kumbe lengo la kwanza ni...
  10. matunduizi

    Sababu tatu kwanini Wachungaji wengi wanasumbuliwa na Zinaa

    Utangulizi Kaka watatu huko kusini mwa afrika wameapa kumpiga Mchungaji kila jumapili hadi atakapokubali Mimba aliyoikana ya Dada...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Baada ya kuwakemea wachungaji, mitume na manabii wa kihuni, sasa zamu yenu Masheikh na Maustadhi wahuni

    Habari! Binafsi Mimi ni Mkristo, charismatic christian, situmbishwi na ninachokiamini kwakuwa nimekithibitisha. Kwasababu ya ukosefu wa ajira, kufukuzwa kazi, uvuvi , tamaa ya pesa na sifa basi watu wengi wamefungua huduma au wameingia kwenye huduma za Kichungaji, kinabii, kitume, kiinjilisti...
  12. chiembe

    Askofu Shoo na Bagonza waanza mkakati wa kuwaondoa maaskofu, wachungaji wasiojihusisha na siasa. Wavunja Katiba kumuondoa Dk. Mwakitali Jimbo la Konde

    Askofu Dk Shoo na Bagonza wanajitambulisha kama vinara wa kupenda haki na kutii katiba, katika Jimbo la Konde, wamedhihirisha rangi yao, wamevunja katiba ya kanisa ili kumuondoa Askofu Dk. Mwakitali. Dk Mwakitali ni moja ya maaskofu wa KKKT ambao wamejikita katika kazi ya kichungaji zaidi na...
  13. aka2030

    Wachungaji/Maaskofu/Manabii 10 matajiri sana Tanzania

    1. Josephat Mwingira Utajiri wake unakadiriwa kufikia Tsh bilioni 20 Anamiliki Mashamba zaidi ya hekari 20,000 huko Katavi Kiwanda cha maji Kibaha Mashule Na bank Nyumba yake inakadiriwa kuwa na thamani ya tsh 2.5bilion 2. Geo Darvie Anamiliki magari ya kifahari Nyumba ya thamani ya 1.8 bilion...
  14. Kasiano Muyenzi

    Kwanini Wachungaji wengi siku hizi wanahubiri mafanikio ya pesa na sio wokovu wa roho?

    Shalom wapendwa, nataka kujua kuhusu hawa Wachungaji wa michongo inakuwaje wajikite kuhubiri mafanikio ya pesa na mali na sio mafanikio ya kiroho. Leo hii vijana wengi wamekimbilia kuanzisha makanisa huku wakijiita mitume, manabii, maaskofu nk lakini nimejaribu kusikiliza mafundisho yao yapo...
  15. sky soldier

    Kati ya walimu wa vyuoni (Lecturers) na wachungaji / matabibu / ustadh rapa, ni yupi anaelemewa zaidi na vishawishi vya ngono.

    Ma lecturer Katika elimu ya juu vyuoni huwa kuna mabinti wengi kuanzia miaka 18 hadi 24 hawana hatari kama wale wa sekondari mvua miaka 30 , wote hawa hatma yao kwa kiasi kikubwa huamuliwa na lecturer, inaweza kutokea binti kafeli somo hivyo yeye mwenyewe anaweza kumfata lecturer kuomba...
  16. sky soldier

    Kwanini wachungaji wengi wa kisabato wana hali za kawaida kifedha

    Nimepata kuona makanisa mengi kukiwa na wachungaji wenye ukwasi mkubwa sana wa mali na fedha. Kwa upande wa wasabato naona wachungaji wana hali za kawaida sana kiuchumi, Nmefanya ka research kidogo ikitokea mchungaji ana pesa nyingi basi ujue kwamba ana ajira inayomlipa vizuri au biashara...
  17. Song of Solomon

    Waafrika tumefikia kwenye hatua mbaya sana. Baadhi ya wachungaji wa kilokole wamejipa uungu mtu, wanapenda kutukuzwa, kuabudiwa na kusujudiwa

    Makala hii iliandikwa kwa kiingereza na Mwandishi Kay Musonda na kuchapishwa na jarida la Modern Ghana, toleo no.215 la April 1 mwaka huu. Nimefanya tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili pengine tutapata la kujifunza. ____________ Afrika kwa sasa inashuhudia aina mpya ya utumwa kupitia Ukristo...
  18. Kurunzi

    AIBU: Wachungaji KKKT wampinga Dk Shoo

    Mambo mengine ni kushangaza sana inakuwaje Kanisa lenye waumini wengi kujiendesha kama klabu ya pombe hukuna maelewano ni vurugu, tamaa ya mali hakuna uungu hapo. Siku chache baada ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, (KKKT), Dk Fredrick Shoo kuagiza kiti cha Askofu Dk...
  19. exalioth

    Wachungaji nendeni Shinyanga mkawaombee wananchi

    Baadhi ya maeneo Shinyanga wachungaji wa makanisa muende mkasimame kuombea wananchi wamwamini Mungu, kuliko wanaamini nguvu za giza uganga ushirikina. Nisipoteze muda moja kwa moja kwenye maada,, baadhi ya maeneo[emoji116] Nm'angu, Solwa, Salawe , Mwamashimba Mimi nimehudhulia misiba baadhi...
  20. Jasusi Mbobezi

    Wachungaji wa Kisabato Wachana mashairi ya Hip Hop kanisani

    Jamaa ni wakali sana, msikilize huyo wapili alivyo flow na biti. Anaweza fanya collabo na nani?
Back
Top Bottom