Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.
Siku moja niliamua kuingia mtaani kushangaa shangaa uumbaji wa Mungu katika hii dunia.
Baada ya kuchoka kuzurura, nikaamua niingie kiwanja fulani kilichotulia ili niweze kutafakari yote niliyoweza kuyaona katika hii dunia.
Katika kuangaza angaza macho, ndipo nilipoweza kumuona mrembo mmoja...
Kila siku wafanyakazi wanatafutwa kutoka mikoa mingine na kwenda Dar Es Salaam. Hilo jiji halina watu wenye wanaoihitaji hizo kazi?
Kitakwimu ndio jiji lenye watu wengi nchini? Mbona kila kutwa ninyi ndio wakuletewa wafanya kazi wa ndani na wasaidizi wa kazi kutoka mikoani?
Sio kijana wa...
Unakuta mdada ana smartphone imeisha kioo kina cracks mpaka unaona aibu, halafu mdada ni mzuri haswa, shape na sura ipo, mpaka najiuliza ina maana boyfriend wa huyu mdada, haoni thamani ya huyu mdada?
Au sometimes nakutana na pisi ila amevaa nguo zimechoka, simu anatumia kiswasawadu...
Utakuta unamu-approach mdada kistaarabu uanzishe naye mahusiano ya kimapenzi, ambayo pengine yataishia kwenye ndoa, sometimes unachukua namba yake unachat nae kistaarabu, aloo majibu anayojibu unajiuliza sababu ya kukujibu hivyo huoni, useme labda alikukataa halafu unaendelea kumsumbua hakuna...
Wengi wao.....
1. Wana Hasira (Usununu)
2. Wakali
3. Wajeuri (Ngumi Mkononi)
4. Wana PhD"s za Matusi
5. Hawajui Kutabasamu
6. Wana Stress na Frustrations
7. Mabingwa wa Kugongea Misosi ya Watu na Kulazimisha kupewa Lifti nyakati za Jioni / Usiku
Kuna Mmoja nimekutana nae mahala nimemchanganyia...
Eti wadada wanapenda wanaume wa namna hii. Sisi wenye vifua kama chaga za kitanda hawatutaki, kisingizio eti hatuwezi kupambana na adui pale atakapotokea.
Habarini.
Leo 8 March Siku ya Wanawake Duniani jamani wanawake wa Dar es Salaam mmetisha sana. Nyie Watu wapendeza jamani, kila aina ya kitenge kilikuwa hapa leo, Wakinga wa Kariakoo hakika watakuwa wamefurahi sana.
Wanawake wamevaa wenyewe vitenge vyao vya sare kwa makundi makundi hiyo...
Mambo zenu jamani.
Nimeona tukumbushane tu madiva wa Dslam kuhusu Visigino vyetu jamani. Sio Siri Dar panaongoza wadada kuwa na miguu michafu yaani hadi unashangaa huyu katoka kwenye vanga wapi? hii yote ni sababu ya kusingizia joto na kuendekeza hivi visendo vya kichina .Yaani mtu muda wote...
Habari wadau.
Wadada wameamua kuleta ubishi kwenye biashara za Bar na wanakimbiza kweli kweli mifano hai ni jesca kikumbi mmiliki wa kitambaa cheupe former cabin crew wa fast jet na mwenzie Lilian Gumbo mmiliki wa Liquid Bar former police officer.
Hawa wadada waliamua kujiajiri kwenye biashara...
Kufuatia ongezeko la madanguro katika maeneo ya Kinondoni, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amefika kwenye maeneo ya kunapodaiwa kufanyika kwa biashara ya kuuza mwili maeneo ya Mwananyamala na kuahidi kuchukua hatua dhidi ya wamiliki wa nyumba zinazotumiwa katika biashara...
Kuna hii kadhia ya kwenye daladala zetu, inanikera sana, ya abiria kusimama mistari miwili wakielekezana migongo. Makondakta wana ujuzi wa kupanga abiria, huoni hata nafasi imeachwa.
Msongamano huu upo pia kwenye Mabasi yetu ya Mwendokasi, ingawa kule utaratibu si kama we kwenye daladala...
Hawa viumbe wamenishinda tabia kabisa! Eti kazi Gani unafanya? Inakuhusu Nini? Taarifa zangu za kazi anazijua mke wangu na watoto wangu labda na wazazi !!wewe husna wa tabata na ashura wa tandale ambae tumekutana bar unataka kazi yangu Yanini? Embu tupumzisheni!
Na maswali yenu ya kipuuzi...
😝😝😝😝😝🎉🎉🎉🎉 ukitaka uishi Kwa Amani mwanaume ujue haya :
1.ujue kumuandaa mwanamke na apewe haki yake aridhike
2.Apewe kadi ya manunuzi , apendeze anunue atakachoo, akupikie ule akuandae kwenda kazini .
3.ukirudi akupokee Kwa tabasamu zuri nawewe mwanaume urudishe tabasamu kuonyesha unamjali...
Wazazi na walezi wenye watoto hiki kinawahusu,baadhi ya wadada wanaotusaidia kazi nyumbani(house girls) wamekuwa na tabia za kufukuza bila kusubiri mwezi uishe kwa namna inavyo kera.
Nilikuja kukagua shughuli za mradi Geita,baada ya kumaliza siku tatu nikampigia simu rafiki yangu anayeishi...
Mimi nawaza humu sijui nani anawaambia eti wanawake wa JF ni wana sura ya kutisha?
Niambieni. Wanaume wa humu mliojificha kwenye avatar mie tokea niwafahamu watu wa humu wanaume wa JF wanasura mbaya hadi kero wamepauka?
Sasa nyie mlitaka mtu kama Beyonce utampataje tuambie tu .
Sema kama...
Jamani kelele za hawa wadada et tunabambiwa ila sometime wanayatakaga wenyewe
Nimekaa zangu kwenye siti mtu anakuletea kalio mpaka puani hata hajistukiii mbaya zaidi limewamba
Sikutakiana lawama huku ikabidi nizuge nimelala maana sipendagi ujinga kibisa
Hapa panawahusu wadada so naomba nijibiwe na wadada.
Mie sio mtaalam sana wa vitu vya kike vilivyo kwenye trend. Ila nataka kumnunulia wifi yenu zawadi kwa ajili ya valentine so ninataka kununua kidogo kidogo mpaka siku hiyo maana mwaka jana sikumnunulia zawadi alipoa mpaka nikakosa raha...
Jana wana JF kadhaa wenye club yetu fulani hivi amazing tulikuwa tumekutana The Wine Coutry kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.
Wanawake tulikuwa wawili tu, mimi na bidada mwingine na wanaume idadi yao ilikuwa kumi na kitu.
Jamani miongoni mwa mambo ambayo wanaume wanayaona ni kero...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.