Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.
Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa kwa kuvaa mavazi ya "aibu" anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela kwa kuvaa “uchafu hadharani” Wendesha mashtaka wameomba azuiwe rumande kwa siku 30
Liliane Mugabekazi alikamatwa Agosti 7 baada ya kuhudhuria tamasha la mwanamuziki maarufu...
Mtanisamehe kama kuna mtu dada yake ni mlengwa ila hapa tupo kupeana uzoefu.
Iko sawa kabisa siku ukishikwa na ashki naunataka kuosha rungu chap kwa haraka wewe chukua contact za hawa wadada, ukimtext akuletee mihogo ya buku mbili nazi na karanga hamalizi dk 3 keshafka.
Muungishe hata ya buku...
Leo nimetoka zangu kutafuta mkate wa kila siku maeneo ya kisesa, nikasema nishuke kwa rafiki yangu hapo kanyama huwa namuita kaka kwa jinsi tunavyoishi.
Nikamkuta shemeji kama kawaida tukasalimiana na kutaka kujua mtoto na dda wa kazi hali zao maana sikuwaona.
Kumbe ndio nawasha moto. Shem...
Habari wanaJF,
Katika harakati zozote za binadamu changamoto hazikosekani katika maisha, nimesema hivyo kwasababu kuna mdada mmoja jirani hapa nimefamiana naye kidogo sana. Siku moja akanifuata akaniomba nimsaidie chochote nilichonacho akaniambia yeye anadaiwa kodi na mwenyumba wake na pia hana...
Yaani ukipita huko Instagram ndio utajua matatizo ya ajira pamoja na afya ya akili ni makubwa sana.
Wadada wa mjini a.k.a Maslay Queen wameibuka na kamtindo ka kwenda airport na mabegi makubwa kupiga picha na kupost Instagram ili kutafuta attention na aonekane yeye ni wa hadhi ya juu ili...
Hello Wadau!!
Huu ujumbe kwa waleee wanajijua wenyewe nasubiri comments zenu za makasiriko.
Yani mpo kwa relationship Toka upo chuo ulivyokuwa na 22 Hadi Leo uko na 32 na eti wamsubiria mtu.
Ikifika weekend huyoo kwenda kupika, kufua nguo na kusafisha mazingira ya kwa msela Ili uonekane wife...
Habari wanajf
Kumekuwa na tatizo kubwa la wadada wengi kupiga vizinga wanaume nakushauri ndugu zangu usikubali hii hali hata kidogo inaweza kuharibu mipango yako maisha maana hapo inakuwa sio mapenzi Tena kwamaana nyingine unageuzwa wewe mwanaume kuwa sponsor.
Kuna demu fulani hivi niliwahi...
Wanajamvi habarini za majukumu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Hivi karibuni nilifanya utafiti wangu mdogo na katika utafiti wangu niligundua asimilia 50% au 60% ya Wadada mitandaoni wanauza papuchi. Ingawa baadhi yao ni vigumu kuwagundua kirahisi.
Picha zao zimekuwa...
Kwema ndugu zangu?
Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.
Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao?
Wanaolewa kweli hawa wadada?
Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza kwa huduma ya penzi lenu mwanana hakika mna mahala penu mbinguni.
Ushauri niliowaitia hapa ni kuwa dada zangu mnajisahau sana:
1. Unapokuwa mchepuko tambua kuwa wewe ni wa mda mfupi kwa msela, hivyo kaa kijanja ,uwezekano wa mchepuko kuzidi miaka mitano...
Kupitia dating site moja popualr sana hapa Afrika mashariki imenikutanisha na mdada mmoja toka kaskazin mwa Uganda toka, mji unaitwa LIRA ila anaishi Kampala coz anafanya kazi hapo Kampala.
Dada huyu yupo serious sanaa, ktk mipango yetu ya kuonana face to face ndipo nikaropoka mm ntakuwa wa...
Kwema humu...
naombeni ushauri nichague yupi kati ya hawa wadada wawili,,,wa kwanza nilikutana nae mwaka 2010 kipindi hicho bado nilikua mdogo but tulianzisha mazoea na yeye mpaka sasa bado tunawasiliana vizuri tu japo tupo mikoa tofauti,,wa pili nimeonana nae mwaka huu mwanzoni kanivutia sanaa...
Unakuta haamini Kama kaolewa?
Anajua anaenda kulala uchi (popo) kila usiku?
Anajua msela atabandua papuchi Bila malipo?
Au Huwa nimaigizo?
Maana nimeshindwa kuelewa machozi yanahusikaje pale
Huyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. So we went there...
Watanzania wengi hawana utamaduni wa kutunza pesa, Wazungu wanaita saving, imefika wakati Yani mtu akisimama kazi ndani ya wiki mbili anaanza kuomba msaada wakati amefanya kazi kwa muda mrefu sana.
Ni vema kila unapopata mshahara basi angalau asilimia 30 kafiche mahali, watumishi wa umma Wana...
Nimeona video ya dokii YouTube alipelekwa na mzee Mengi hadi south Afrika kusomeshwa akapewa na u$d 8500 (tshs million 17) ya ada na matumizi achilia $2000(tshs milioni 4) au $4000(tshs milioni 8) zingine alizopewa kabla ya kupewa ada, baada ya kupewa izo hela dokii alisema mzee mengi alimsahau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.