Kuna hii kadhia ya kwenye daladala zetu, inanikera sana, ya abiria kusimama mistari miwili wakielekezana migongo. Makondakta wana ujuzi wa kupanga abiria, huoni hata nafasi imeachwa.
Msongamano huu upo pia kwenye Mabasi yetu ya Mwendokasi, ingawa kule utaratibu si kama we kwenye daladala...