wadada

Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Jermain Defoe kiboko ya wanawake wote wapenda kitonga au mteremko

    Salaam wakuu, leo nimeona niwajuze kuhusiana na kisa cha kushangaza kinachomuhusu mchezaji wa mpira Jermain Defoe. Jermain defoe huyu ni mchezaji wa zamani wa soka katika timu za Sunderland,toronto,rangers na Bournemouth. Huyu bwana ameushangaza ulimwengu kwa ujumla baada ya kuthibitika kuwa...
  2. Hawa ndo wadada wazuri Duniani

    Kuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii...
  3. Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

    Wakuu kwema, Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani? Sihitaji Hadithi au andiko...
  4. Kwanini wanawake na mabinti wengi wana vipelepele na makovu mwilini hasa kwenye makalio?

    Hii kero imezidi sijui ni mimi nakutana nao wa aina hii au ni mnyumbuliko kwa ujumla wake, ni aibu sana unakuta mdada au binti kasura kazuri kana kishepu, salale ikija kwenye kiota cha mnyanduo vipele na makovu kama yote, kwenye makalio ndio usiseme ni hatari. Mimi na kinyaa changu naahirisha...
  5. Wadada wenzangu hii sio poa

    Humu wadada wengi Wana avatar mia Moja za kiume na zakike nimetafakari sana nanimeona kuwa huu sio ustaarabu umchafua mwanamke mwenzako Kisa mwanaume ambaye ni mume wa mtu ambaye ni amepiga umri wa kutosha . Kala chumvi nyingi sana na bado anafamilia inamsumbua because yupo kwenye kitengo...
  6. Kitambi kimeharibu muonekano wangu, wadada hawanitaki tena

    Mimi ni handsome sana, mitaani kote wananisifu. Hata wanawake wananiambiaga. Lakini hawaachi kunikosoa tumbo langu hadi nimeanza kujichukia. Kwa kweli nakosa sana raha, namtongoza msichana ananiambia na huo mtumbo wako kama umemeza kifaru cha jeshi ntakupeleka wapi mimi? Six pack sio kwamba...
  7. Kijana wa hovyo Ibu aliyemaliza wadada wa mtaa wote kisa alikuwa anavaa shanga na kukatika viuno kwenye tendo

    Ni miaka ya 2000/2001 huko wilayani kwetu jamaa mmoja aliyeitwa Ibu aliibua taharuki mtaani baada ya kubuni style ya kuwavutia wadada. Alikuwa akivaa shanga na kukatika viuno vya kiwango cha SGR. Sasa kila dada akipitiwa anaweza kusimulia kuwa Ibu ni moto wa kuotea mbali. Basi wakawa wao ndio...
  8. Sababu ya Harmonize na Kajala kuachana (Hii ni fundisho kwa wadada na wamama wengine pia wenye tabia kama hizi)

    Kwanza kabisa picha linaanza Harmonize alimpa Kajala password za simu zake na account zake za social media. Yani Kajala alikuwa na access ya every communication ya Harmo na Kajala alifanya same thing, alimpa Harmo password zake zote yani kulikuwa hakuna siri kati yako. Hapo mwishoni ndiyo Harmo...
  9. Kwanini wadada wengi hampendagi kutuunganisha Kimapenzi, sisi wakaka na rafiki zenu wa kike?

    Utakuta nimekutongoza umenikataa ukasema tuwe marafiki na nikakubali, au hata sijawahi kukutongoza ila sisi Ni mabesti, una rafiki wa kike uko karibu naye kuliko mimi nilivo karibu nae, hivyo mm kukutana nae kumtongoza inakua sio rahisi Kutokana na ugumu wa kimazingira, kwanini tukiwaomba...
  10. Wadada kwanini mnajiweka cheap kiasi hiki?

    Mambo vipi, imefika hatua nimeona leo nifunguke kwenu wadada, lengo la uzi huu sio kudhalilisha mtu bali kuwaelimisha tuu. Mimi nina mdada ambaye ni rafiki yangu toka Facebook basi nikatumiwa request akawa analike post na picha zangu. Nisiende mbali basi badae akawa anakuja inbox tunachat...
  11. Wadada wamezidi kuomba pesa

    Kiukweli hali ni mbaya, dada zetu wanaomba pesa kupitiliza. Hebu fikiria mtu hujamtongoza, ni yale mazoea tu ya kawaida lakini kila muda kwako ujumbe unaingia wa kuombwa pesa tu. Mwengine hujamtongoza na anataka umlipie kodi na hapo hapo simu yake Oppo imevunjika kioo inatakiwa 100k. Hivyo...
  12. Wadada ni marangapi kwenye huu mwezi umetamkiwa u mzuri?

    Tuambie wanadada basi mwezi huu umeambiwa mara ngapi u mzuri? Tuambie😃🥰
  13. P

    Wadada bwana

    Kuna dada mmoja alikuwa rafiki ila nilikuwa namwelewa. Nilivyompa mistari akasema atajifikiria. Baadae akasema hana hisia nami badala yake ana mtu mwingine. Ingawa iliniuma inakubidi nipotezee. Baada kipindi cha uponyaji kupita nikapata bonge la pisi kali. Yaani ningepata rafiki yangu hii...
  14. Wadada mnavotukataaga tukiwatongoza, ina maana mnatuona tuna sura mbaya kihivyo?

    Kwa sababu kwa sisi wanaume, mdada akijipendekeza kwetu, hata kama kimuonekano tunamuona ni wa kawaida, sisi tutafanya naye ngono tu halafu tunapita hivi, tunakula hadi wadada vichaa Waokota makopo, yani kwa sisi wanaume mara nyingi mpaka tumkatae mwanamke kimapenzi, ujue huyo mdada tunamuona...
  15. K

    Kwa wadada zangu ambao waume zenu wakimya/wapole msiwafanye na kuwaona wajinga

    Hii kitu nimeiona hasa kwa wanaume ambao ni wakimya/wapole, mara nyingi huwa hawana bahati ya kupata wanawake wazuri, huwa wanawapata wale machakaramu ambao huwafanya kama wajinga. Japo jamaa huwa wanawapenda sana wake zao. Nishashuhudia kuna wengine wanavumilia na kuamua kuacha wake zao...
  16. K

    Kipi kimewafanya wadada kuwa tayari kuolewa upesi upesi?

    Unaweza fikiria kuwa natania lakini hii ndio hali halisi kwa sasa, wadada wamekuwa wepesi sana wa kukubali ofa za kuolewa tofauti na hapo awali Sasa hivi kama geto kwako una kitanda, godoro, jiko gesi na henka za kutundikia nguo hukataliwi kabisa kuoa /kuwoa tena na pisi kali kinoma ambazo...
  17. Kero za nyumba za kupanga: Wamama wanaoshinda vibarazani/ makoridoni kwenye mikeka wanakosesha amani wapangaji wengine

    Jamani nyumba za kupanga zina shida sana. Shida ni hawa wamama ambao hawana shughuli ya kufanya, kutwa nzima kushinda majumbani kwenye mikeka, sehemu wazipendazo ni vibarazani na makoridoni Yaani usiwe na tumbo la kuhara, au kuingiza Totoz, Utakoma.
  18. Wadada wa Iran wametuzidi akili Watanzania?

    Inakuwaje wadada wameongoza maandamano kwenye nchi yenye sheria, msimamo mkali? Imekuwaje hadi sasa wameendelea na hayo maandamano bila kujali nani atakufa au madhara gani yatatokea? Je, kupitia maandamano wataweza fanikisha lengo lao? Watanzania twashindwa nini? Sent from my M2006C3LG using...
  19. Nyie wadada, tupatieni namba zenu za simu

    Wengi katika mahusiano, huanza kwa kupeana namba za simu, na baadaye kuanza kuwasiliana, na hatimaye kuelewana katika mahusiano wanayotaka kuyaanzisha. Wakati mwingine kupewa namba ya simu imekuwa changamoto; unaweza ukaomba, na ukaishia kuzungushwa tu, na baadaye kutokuendelea kumsumbua...
  20. S

    Wadada mnaotaka kuolewa. Chondechonde msiolewe na wanaume wanaoshabikia mpira. 98% hufa masikini kabisa

    Dada unayetafuta mchumba wa kukuoa waepuke kama ukoma wanaume ambao ni mashabiki wa mpira. Hawana ndoto kubwa maishani, hawana mipango, na kwa hulka yao muda wao wote huwaza orodha ya vikosi vya timu za mpira. Kama mtu anaweza kukariri wachezaji 11 wa timu 10 tofauti tofauti na walikotoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…