Hi haijakawa sawa hata kidogo.
Una masumbuko yako, unaamua kwenda kuombewa.
Unamkuta mchungaji ofisini kwake, unalia, unamuelezea matatizo yako weeee.
Gafla unaanguka miguuni pake namna hi...
Halafu hicho kinguo kilivyo chepesi, kinaangaza, ndani hujavaa kitu.
Mchungaji wa watu unamuweka...