Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe!
Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni wakasema na Ligue ya waarabu kwa kina Ronaldo ..
Ajabu Leo hii nimeona tena kesho wanaonyesha ligi...
Napata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye file la subshare inakuwa kinyume chake wanakupeleka kwenye mabeting mara mdundo na ma ads mengine ya...
Hello nawasalimu kwa bashasha za ubaharia.
Kama rejea ya kichwa Cha habari ilivyo karibu tuseme machache kuhusu mazuri na maswahibu ya mzamo katika wilaya maarufu sana kwenye UGA wa mahaba wilaya pendwa ya Uvinza.
Binafsi Mimi nyakati za mazingira masafi huwa nainjoy matembezi ya eneo lote la...
Mkutano wa kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu 2025
===
Demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania ilianzishwa mwezi Julai 1992. Tangu wakati huo, serikali imejitahidi kukuza utawala wa...
Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara.
1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury
2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza.
3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara
4. Hotel gani nzuri na yenye...
NCHI za Afrika zimeshauriwa kuwekeza katika utafiti wa mbegu asili kwa kuwa zina lishe bora, uhakika wa chakula na salama kwa afya ya mtumiaji.
Ushauri huo umetolewa na wadau mbegu asili kutoka nchi 25 za Bara la Afrika, Marekani na Ulaya ambao wanakutana jijini Dar es Salaam kwa siku tatu...
Habari za asubuh .
Kuelekea msimu wa kiangazi ni msimu ambao sisi wakulima tunauita msimu wa kukosa kutokana uhaba wa maji ,
Ila mm Kuna kitu namefikiria kukifanya kwenye sector ya umwagiaji katika kupungaza kutegemea maji ya mvua(kilimo Cha mvua) , nataka nichimbe bwawa kwa ajili ya kuvunia...
Kufuatia changamoto ya huduma ya msaada wa kisheria kwenye maeneo mbalimbali nchini baadhi ya wadau wamedai kuwa kuna athari ambazo zinaweza kuwa zinatokea kwenye jamii kutokana na huduma hiyo kukosekana hivyo wamesisisitiza umuhimu wa wadau pamoja na Serikali kuendeleza jitihada za kuwezesha...
KAMPUNI ya Silverlands inayoshughulika na uzalishaji wa vifaranga na chakula cha kuku imesema inaanzisha mpango mahususi utakaoishirikiana na Programu ya BBT Mifugo kuunga mkono jitihada za Mheshimwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwawezesha vijana na akinamama katika sekta ya ufugaji ili kukuza...
Hello JF,
Mvua ni chagizo la veto ya mapenzi, kila wito imo!
Neema ya mvua za vuli imeanza maeneo baadhi ya Nchi ya mahaba, natoa Rai Kwa mabaharia wote tuendelee kuyaanda Maghetto yetu.
Kwa maana imeandikwa waacheni watoto wazuri, warembo, pisi kali waje kwetu sisi mabaharia kwa maana...
Kwanza moderator naomba usiupeleke uzi huu kule kwingine maana kule sijapata msaada
Wimbo wenyewe unaimbwa...
"Nalia woo wooo, nalia sana woo wooo ×2
Nataka kuwa mimi milionea, uwezo sina woo wooo
Nataka gari ya kutembelea, uwezo sina woo wooo
Masikini nadharaulika hapa duniani woo wooo
Sina...

Nimeikuta maharishi
Kikao cha dharura kati EWURA na waagizaji wa mafuta hakijafua dafu baada ya kutawaliwa na shutuma dhidi ya mkurugenzi wa EWURA na waziri wa nishati na jinsi wanavyojaribu mfumo mzima wa bulk procurement na upendeleo na rushwa zinazofanywa kuwapa watu vibali...
Siasa zetu na nyomi huwa haziachani. Wataalamu wa mambo wanadai chama kinachojaza nyomi kwenye mikutano yake ndio chenye uwezekano mkubwa wa kushinda kwenye uchaguzi.
Sasa hivi nyomi si la uchaguzi tena bali ni pro ubinafsishaji bandari (CCM) dhidi ya anti ubinafsishaji (CHADEMA).
Siku tatu...
Wakuu hamjamboni nyote?
Naomba kufahamu hiyo gari pichani ni aina gani na inagharimu kiasi gani ukiamua kuinunua kwa fedha za Kitanzania ikiwa mpya kabisa
Naomba pia kujua kiwango cha matumizi ya mafuts pet kilometa
Aksanteni niwatakie usiku mwema
Habari za siku wadau wa JF,
Moja kwa moja kwenye mada,
Katika pita zangu huko mtandaoni katika masoko mtandao kama AliExpress na Alibaba nimekutana na hii bidhaa, bidhaa nauhitaji nayo lakini namna na taratibu za kuiagiza ndio naona kipengele ukizingatia ni mara ya kwanza kwenye hizi mambo za...
Wananchi na wadau wanaotembelea maonesho ya Sabasaba wamekaribishwa kupata taarifa kuhusu namna ya kushiriki katika Jukwaa la Kimataifa la Sekta ya Madini kwa kujisajili katika tovuti maalum ya mkutano.
Mratibu wa Jukwaa la Mkutano wa Kimataifa kutoka Wizara ya Madini Bi. Jacqueline Aloyce...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.