NATAMANI KIKOSI KAZI KILICHOUNDWA NA WAZIRI MKUU,TRA na SERIKALI WANGEWEZA KUTATUA TATIZO LA PENATI KWA KUTO KUFANYA FILING ZA P.A.YE,SDL,VAT, MAKADIRIO, NA RITANI ZA MWAKA KWA KAMPUNI/BIASHARA ZENYE MTAJI CHINI YA BILIONI MOJA
Awali ya yote, mimi ni mdau na mfanyabiashara ndogondogo wa sector...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limefanya kikao na wadau mbalimbali kujadili kuhusu udhibiti wa uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele.
Katika kikao hicho cha Mei 17, 2023 NEMC ilishirikisha wajumbe kutoka Wizara ya Afya, Wizara ya Ardhi, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), leo Tar. 15/05/2023, imetoa semina kwa wadau wenye vituo vya kujaza gesi asilia iliyokandamizwa (CNG) kwenye magari, karakana za kuweka mifumo ya gesi kwenye magari, waidhinishaji na wakaguzi wa mifumo ya gesiz hiyo na kuwataka...
Mpira ni uwekeaji, uongozi wa vijana na usajili wa vijana wenye vipaji. Mpira unachezwa na vijana hivyo huwezi kuwa na viongozi wa mpira wazee waongoze mpira.
Mpira sio ulozi na mizengwe bali sayansi ya mpira kama kama waliyonayo Nabi na kaze.
Mpira ni coordination ya wadau wengi, sio mtu...
Jamani ashampoo nilikuwa mshua fulani nilianza kuingiza hela toka nikiwa chuo huko sasa hela zilikuwa zinaingia sana kwa siku milioni kwanza kawaida .hapo nikiwa chuo mwaka wa pili tayari bank nina 50 millions kiukweli maisha yalikuwa mazuri sana
Biashara niilikuwa nafanya gadgets...
Nitoe shukrani zangu zote kwa wadau wote wa jukwaa hili.
Kupitia elimu ya humu nilizingatia maoni ya wadau jinsi kutoboa au kupata kazi serikalin kupitia utumishi.
Hatimae leo naenda kuchukua barua utumishi Dodoma nikaripoti kazini mungu awabariki sana.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Dk. Philip Daninga, alisema Rais Dk. Samia, kuwa, anaishi anazidi kuonyesha misingi ya utawala bora na anatekeleza kwa vitendo yale anayoahidi.
Dk. Daninga alisema maelekezo ya Rais Dk. Samia kwa Jaji Mutungi inaonyesha yeye ni...
Salama humu.
Kwenye hizi simu janja msg inapoingia inaonekana juu kwenye bar.Ukislide chini inaonekana kidogo siyo yote then kuna option pale ya 'mark as read'
Swali lifuatalo ni je hakuna simu janja yenye option ya delete.
Unajua huwezi kuzuia hii mitandao ya simu kutuma msg zao maana nao...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete licha ya shughuli zake kubwa za kitaifa kama Naibu Waziri lakini kamwe hasahau Jimbo lake na amekuwa mstari wa mbele kila siku kusukuma na...
Salaam kwenu.
Naulizia hiyo movie hapo juu kwa mwenye direct link au hata torrent ambayo sio CAMRip au WebCam iwe HD naomba anijuze please.
Natanguliza shukran.
Mimi na wadau wengine wa mazingira ikiwemo taasisi ya TREE OF LIFE FOUNDATION tuna mpango madhubuti wa kwenda kuwapokea mashujaa wetu waliokaa ughaibuni kwa miongo miwili.
Hii nchi ina longolongo nyingi sana huenda hao chura walikufa miaka mingi sana ila wajanja wazito wamewafanya ni mtaji wa...
RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma uliobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Rais Samia...
Bunge la Tanzania limetunga Kanuni mpya za mwaka 2023, ambazo zimeweka adhabu kwa waandishi wa habari na masharti ya namna ya kupiga picha ndani ya ukumbi wa Bunge.
Kanuni hizo ambazo zimechapishwa katika Gazeti la Serikali (GN) ya Machi 21, 2023 zimeeleza maeneo yanayoruhusiwa kupiga picha na...
Chuo kikuu cha St. Augustine kimebatilisha shahada ilizotoa kwa madaktari 162 waliohitimu chuo cha udaktari cha St. Franscis kuanzia mwaka 2015-2019.
St. Augustine imechapisha tangazo kwenye gazeti la Daily news ikitoa notisi kubatilisha shahada za wanafunzi hao 162 ambao inadai wamegoma...
Wikiendi iliyopita yaani tarehe 18 na 19 Machi, lilifanyika Kongamano kubwa visiwani Zanzibar nchini Tanzania ambalo limeshirikisha vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi vinavyotangaza kwa lugha ya Kiswahili.
Kongamano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.