wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 44mg44

    Mshahara umetoka wadau?

    Mwenye taarifa naomba anijuze,maana sna hata NMB mobile,Ila nmefulia vya kutosha. Karibun watumish wa umma
  2. W

    Kufinyia kwake kwa ndani huenda sambamba na utoaji wa shuzi, tatizo nini hapa wadau?

    Salaam waungwana! Nina kamchepuko kangu ambako tunapendana vizuri tu (kwa hali zetu, ananivumilia, namvumilia). Huu mchepuko ni mmoja kati ya wale wa kina dada wa kileo wanaoamini katika ufinyiaji kisawasawa wa ndani ili kumsatisha mwenza. Tukikutana, ndani ya dakika tatu zangu za kulast (rejea...
  3. Stephano Mgendanyi

    Stephen Byabato awahamasisha wadau wa nishati kushiriki mkutano na maonesho ya petroli ya Afrika Mashariki

    MHE. STEPHEN BYABATO AWAHAMASISHWA WADAU WA NISHATI KUSHIRIKI MKUTANO NA MAONESHO YA PETROLI YA AFRIKA MASHARIKI Wadau mbalimbali katika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia nchini wamehamasishwa kushiriki katika Mkutano na Maonesho ya 10 Petroli yanayotarajiwa kufanyika nchini Uganda mwezi Mei mwaka...
  4. kavulata

    Fatma Karume (shangazi) anapotosha wadau wa mpira

    Huyu mama ni mwanasheria nguli kabisa nchini anaeheshimika lakini kwenye hili la Faisal anakaribia kuipoteza heshima yake. Anadai kuwa Faisal sio mtumwa hivyo hawezi kulazimishwa kufanya kazi Yanga. Kauli hii imewachefua wengi sana. Faisal ni mzanzibar, alifikaje Yanga? Je Yanga Kuna soko la...
  5. W

    Anayefahamu mzigo huu unaishia wapi na matumizi yake ni nini?

    Mabibi na mabwana, nazungumzia mzigo huu hapa! Pia naomba nijue kama huyu mwenye mzigo anaona au kujua anakoelekea. Ahsanteni.
  6. L

    Wadau ninampenda sana Zumaridi

    Wadau ninavutiwa sana na Zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu Zumaridi, I 💕 you Zumaridi
  7. ndege JOHN

    Niko na wadau wa THIS wananipa stori, hali ya UKIMWI inatisha

    Aisee hali inatisha wakuu vijijini kiasi cha maambukizi kinatisha kinazidi kuongezeka takwimu zitatoka mtaona. Shida ni hawa machangudoa wa kutoka Dar wanaleta vimelea mikoani, mfano msimu wa mavuno siku hizi mikoa ya Lindi Na Mtwara na wilaya ya Tunduru kwa sasa hali sio nzuri uchafu wa kila...
  8. B

    TCDC yawakaribia wadau Sekta ya Ushirika kujadili na kuweka mikakati ya kukuza Sekta hiyo

    Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) wameandaa mkutano maalum wa wadau wa sekta ya ushirika unaotarajiwa kufanyika Februari 27, 2023, katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya Benki ya CRDB. Taarifa hiyo imetolewa na...
  9. Scaboma

    Wapi naweza kupata mkopo niboreshe biashara yangu?

    Habari za majukumu wadau, Mie ni mjasiriamali mdogo wa nafaka, natoa mikoani nazileta mjini nauza kwa jumla, Sina fremu ya kufikishia biashara yangu hivyo nikifika madalali hunidaka na kunidalalia kwa wanaouza kwa jumla nami nageuza zangu shamba. Hii hali nimejikuta kama nawatajirisha madalali...
  10. benzemah

    Nafasi ya wananchi/wadau kuwasilisha mapendekezo ya jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai

    Kwa muda sasa kumekuwa na malalamiko kuhusu wananchi kutoridhishwa na utekelezaji wa majukumu ya Taasisi zinazosimamia haki Jinai nchini kuanzia kwenye ukamataji wa mtuhumiwa, upelelezi,utoaji wa dhamana, uendeshaji wa mashtaka, kesi na eneo ambalo aliyehukumiwa anatumikia kifungu chake...
  11. H

    Wadau wa kanuni na sheria za fedha na bajeti za wizara bungeni,suala la matumizi ya fedha nje ya bajeti ya wizara limekaaje?

    Kazi iendelee kwema jamani. Jana nimemsikia waziri wa wizara mmoja bungeni akijibu swali kuhusu matumizi ya fedha nje ya bajeti.Amejibu majibu rahisi as if anawajibu watu wa gani sijui na kinachonishangaza wabunge wameridhika na kukaa kimya. Kitu kingine kinachonisikitisha ni kuwa sheria na...
  12. R

    Reinstall new version of Epson easy phot print module nifanyeje msaada wadau natumia windows 10 64bit

    Reinstall new version of Epson easy phot print module nifanyeje msaada wadau natumia windows 10 64bit
  13. D

    Hukumu zenye utata kama hii ya Askari Morogoro huwa zinasababishwa na nini?

    Kuna kesi ya askari magereza aliyekuwa na tuhuma za kubaka mtoto huko Morogoro. Alipelekwa mahakamani na ikathibitika pasi na shaka kwamba alitenda kosa hilo na hakimu msomi akaitolea hukumu ile kutumikia kifungo cha maisha jela. Hiki ni kifungo cha kikatili ambacho lazima kusiwe na chembe ya...
  14. Valencia_UPV

    Sera mpya ya Elimu inayoandaliwa haishiriki Wadau Muhimu (Walimu, Wazazi, wanafunzi)

    Tunataarifiwa kwa sasa SERA mpya ya Elimu inaandaliwa lakini inafanyika kisiri siri huko Dodoma, 1. Wataalamu wachache wamejifungia sehemu wanapata Per diem zao safi (zaidi ya miezi sasa) huku wadau muhimu (wazazi, walimu na Wanafunzi) katika sekta wakiachwa nje. Mfano, Mwaka jana 2022...
  15. Roving Journalist

    Rais Samia akizungumza na Wawekezaji, Wadau wa Maendeleo na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 18 Januari, 2023. Katika mkutano huo...
  16. Kilangi masanja

    Msaada wa haraka wadau

    Mdogo wangu amekwama stend ya magu (Mbezi)akitokea bukoba anakuja Nachingwea .Gari nyingi zimemuacha na hajui afanye nini kwani anauhitaji wa kufika kusini leo hii na ni mgeni sana anaogopa kwenda kijichi (mfukoni pia kabakiwa na 40k). Mbadala wake nimemwambia abeti kwa tashrif ya kutoka...
  17. Gulio Tanzania

    Mchumba hahudumiwi vijana

    Miaka ya nyuma wanaume wengi walisalitiwa na wachumba baada ya kuwasomesha shule kwa gharama kubwa wakiwa na tegemeo la kuwa wenza wao wa maisha hapa ikaibuka kauli "mchumba hasomeshwi" somo hili watu wengi walilielewa jambo hili likakoma Sasa kutokana Tabia ya utapeli baadhi wa hawa dada zetu...
  18. Girland

    Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

    Itoshe kusema kwamba, Waswedish wanatengeneza vyombo vyenye uhakika katika mabasi na Malori kuna SCANIA NA VOLVO hawana mpinzani. kwenye SUV tunajua Japs na Germans wanachuana vikali lakini tunamuunderestimate huyu mnyama VOLVO XC 90 watakuja watu wa Subaru na Toyota, nataka muangalie hii video...
  19. LIKUD

    Kiroho zaidi: Huenda hii ndio sababu ya kiroho kwanini wadau wa mpira walikuwa wanasema Feisal ana takiwa kucheza Barcelona

    Feisal ndio mchezaji anae ongoza kwa kupewa sifa ambazo hana.. Mashabiki wa Yanga= Feisal hawezi cheza timu yoyote nje ya Yanga akitoka Yanga anaenda Madrid. Manara = Feisal sio mchezaji wa nchi hii. Amunike = Feisal anatakiwa kuchezea Barcelona. But ndio uhalisia huo? Sio kweli. Ukweli ni...
  20. 44mg44

    Naomba msaada wa solution za haya maswali wadau

    Kheri ya mwaka mpya wanajukwaa la elimu? Naomba mnisaidie haya maswali ya: 1. The Rydberg constant for hydrogen is 1.09678×107m-1 and that for singly ionized helium is 1.09722.Given that the mass of the helium nucleus is four times that of the hydrogen nucleus.Calculate the ratio of the...
Back
Top Bottom