Kesho Tarehe 23 September naaza safari ya kweda Dar. kwa ajili ya matibabu ya mtoto wangu aliyezaliwa na tatizo la mdomo sungura, nawashukuru sana wadau kunipa ushauri, maoni na kunipatia namba za mawasiliano ya moja kwa moja na CCBRT naaza safari kesho mimi na mke wangu bure kabsa kwa mama na...
1. Wimbo wa Mbaraka Mwishehe- ntamtuma mshenga, akinikuta nasikiliza huu wimbo huwa ananichukia Sana Tena huwa hataki hata kuniongelesha, yaani siku hiyo nitaishi kwa shida sana
2. Mpenzi Luta by Mutombo, pia na yenyewe anachukia,
Wajuzi wa Mambo naomba ufafanuzi juu ya Hili niwe na amani na...
Wale wadau wa IT em tusaidiane mawazo jana nilifanikiwa kufanya mtihani wa TA information systems IFM lakini cha kunishangaza nilikutana na pepa ya system administrator...mpaka kuna swali 1 linasema as system administrator ......je hili ni sahihi? Au ni uhuni wa utumishi ktk kuendesha michakato...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imepanga kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022.
Mkutano wa kupokea na kusiikiliza maoni ya wadau utafanyika siku ya Jumanne tarehe 20 Septemba, 2022 saa 4:00 asubuhi katika ukumbi wa Pius...
Habarini!
Tusameheane kwa michango yetu inayotofautiana katika mada zingine, lakini sina jinsi lazima niendelee kuwepo jf....nalipenda mno hili jukwaa!
Kwenye hoja;
Ni huyu mngazaji wa star TV, aloyce nyanda, namuona leo akiwa na balozi (kama sikosei) wa Ethiopia katika kipindi chake...
Habari wadau wa JF, Hope mnaendelea vyema na majukumu. Bila kuwachosha niende direct kwenye mada kama kichwa cha andiko.
Naomba kujua tofauti Kati ya hizi kozi mbili za bachelor's degree Kati ya hii inayoitwa BACHELOR OF CIVIL AND HIGHWAY ENGINEERING inayotolewa pale Arusha Technical college...
Kikao hiki kimefanyika kwa siku mbili ambapo jana Septemba 15, 2022 wadau walilalamikia baadhi ya sheria kuminya uwanja wa ubunifu na utengenezaji wa maudhui shindani.
kwa upande mwingine, wadau wa maudhui walieleza kutokuwa na uwezo wa kulinda kazi zao, kutafuta vyanzo vya mapato na kuziweka...
Yanayoendelea huko Ukraine na Russia nilifikiri ni mihemko na ujuaji mwingi tu wa wabongo.......kumbe ni kweli mzee mzima putin anakutana na wakati mgumu;
Vyombo vyote ninavyoangalia sasa, hata vile visivyo rafiki wa marekani, vinatangaza tu sasa kuyumba kwa urusi.
Nikikumbuka jinsi dunia...
Habari, wadau nnaomba kuwasilisha hapa jukwaani, kuna aina mbalimbali za trekta hapa bongo, nimeona watu wanazungumzia sana Holland, Ford, Sonalika, Swaraj na mengineyo lakini sijaona sehemu wanayozungumzia Mahindra wakati nikiangalia kwenye mitandao wanasema ndo ya kwanza kwa mauzo.
Maswali...
Mjadala mkali kabisa ktk kituo cha televisheni cha ITV Tanzania
======
Katika mjadala mpana na wa wazi wadau waonesha wasiwasi kuhusu serikali kutochukua hatua za haraka kupata ufumbuzi wa kusitisha tozo inayolenga chanzo kimoja tu cha mapato kukatwa mara kadhaa.
Mfano mishahara ipitayo...
Kuna hii biashara ya kununua vitu vilivyotumika,kwa mfano vitanda,masofa viti ndoo,milango ya aluminium, mbao, mazulia, na zingine kibao hii imekaaje, kuna waliokwisha ifanya, mtaji kiasi gani kwa kuanza, wenye uzoefu wowote naomba anijulishe
TCRA imeendesha kikao Kazi na Wadau wa sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari, ameongoza kikao kazi baina ya TCRA na Wadau wa Sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati, kilichofanyika Mkoani Tabora, katika ukumbi wa Isike...
Tumeshuhudia Simba ikimgomea Karia udhamini wa GSM bila kufanya chochote, tumemsikia mwenyekiti wa Simba ngugu Mangungu akibwabwaja na kuibwatukia TFF bila Karia kuchukua hatua, tulimuona Barbara akiifyatukia TFF bila kuchukua hatua yoyote.
Ila wadau wa Yanga wakitenda jambo wanaambiwa...
KUOSHWA KWA NYOTA ILIYOCHAFUKA..!
Ayubu 25:5-6
Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake;Siuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu!
Andiko hili linatuonesha nyota ya Mtu inaweza Ikachafuliwa na kuonekana si safi machoni Pake katika Ulimwengu wa roho!! Hapa biblia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza, aliitaka Tanzania kujiandaa na matumizi ya sarafu za mtandaoni au Cryptocurrency.
Ambapo alitoa wito kwa Benki kuu ni vema waanze kufanya kazi za maendeleo...
Wadau heshima kwenu, naomba kujua jina la huu wimbo Unaitwaje.
Nimejaribu kuimba melody yake unavyoenda natumai ukiuskia kama unaujua utaufahamu tu.
Naomba mnisaidie jina lake tafadhali.
Thanks a lot...!
Katika pekua pekua pamoja na simulizi za hapa na pale nimeambiwa kwamba Dunia nzima ma-Field Marshall hawazidi kumi akiwemo hayati Fidel Castro na Ally Zaqawi .
Je, ni kweli kuwa mafied marshall hawafiki kumi Dunia nzima ?
Je, cheo hiki hutumikaje katika majeshi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.