Nipo kwenye hatua za kufunik nyumbani hapa Kilimanjaro ila sasa nimekuwa mdogo sana kwenye ujuzi na usahihi wa bati gani itanifaa au ni bora mbali na ALAF.
Naomba ushauri kwa wazoefu.
Asante
Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030.
Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)
Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
Nimeona member mmoja anajiita Robert Heriel Mtibeli anaungana na RC chalamila na kusema kuna bima ya Elfu 40 ina cover mpaka uzazi , Ultrasound,X ray ...etc
Naipataje mnaoijua ?
Nashangaa naona ni siku Moja tu imepita tangu movie itoke lakini naona kimya kabisaaaa. Hata wale haters wa Mama yetu ambao mara tu baada ya bi mdada kutangaza kutoka kwa movie yake walikimbilia mitandaoni fasta ambako walianza kushusha mamia ya viapo kwamba movie ni true kabisa. Aidha, haters...
Kwa miezi kadhaa sasa Site za Dramacool hazipatikani. tafadhali wadau nipeni chimbo jingine la kudownload series za kikorea kwa wepesi kama ilivyokuwa Dramacool.
Ahsanteni....🙏🙏
Poleni sana,
ni muhimu kujifunza kujali afya kwanza kabala ya starehe.
Tazama sasa maumivu unayopitia, gharama na muda unaotumia kujitibu kwasababu tu ya starehe ya muda mfupi.
Jifunze kutumia kinga na kuepuka kufanya ngono zembe kiholela.
Baki njia kuu. Kunywa pombe kupita kiasi ni hatatari...
Nimepata vijisenti vya kuniwezesha kufunga lenta sasa naona hali ya hewa imekunja sana mvua zimeanza vipi nikifunga itakuwa poa? maana kukaa na pesa nako ni kipaji
Wadau hamjamboni nyote?
Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump
Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka
Mungu ibariki Israel
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Biden administration prepping $8 billion arms package...
Kama ilivyo hapo juu, Mimi ninachimba Mwime ya Kahama Shinyanga.
Nimechimba shimo ambalo limefikia kwenye uzalishaji ila lina changamoto kwenye mtaji. At least mtaji wa nyongeza wa mil 5 and above. Ila kwa changamoto zilizopo mil 5 zinatoboa.
Mdau atakayekuwa interested nitampa hisa kwa taratibu...
Mi nina wito sana wa kuwa nun ila baba yangu mzazi ni padre na hataki ajurikane kama yeye ndo baba yangu. Sasa nikituma maombi si lazima details zangu zote wazijue? Na je itakuwaje
Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua,
Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza...
Nashangazwa sana ndoto nazoota,kuna wakati nawaota watu ambao nawajua,lani kuna wakati nawaota watu ambao sijawahi kuwaona hata siku moja,na sina uhusiano wowote nao.Wajuzi hebu nitoeni tongotongo,ndoto ni nini?
Habari za asubuhi waku, Niende moja kwa moja kwenye hoja.
Tuna mradi wa ubunifu wa kufuga wadudu kwa lengo la kubadilisha taka hai kuwa bidhaa zenye thamani kama mbolea na chakula cha mifugo. Mpango wetu ni kupanua shughuli hizi kwenye moja ya dampo kubwa na la kisasa nchini, ambapo tunalenga...
Habari za wakati huu ndugu wana jf na wadau wa sports naomba kujuzwa namna ya kufanikisha kujiunga na course za ukocha na uamuzi wa mchezo wa soka kwa hapa kwetu Tanzania.
Kwa sasa ambao tunataka kuitumikia football katika nyanja hizo mbili.
Kwa mwenye atakuwa na connection ya kufanikisha hayo...
Chanzo gazeti la Mwananchi la leo
Nini maoni yako
Mimi maoni yangu hata wabunge wangekuwa na ukomo wa miaka 10.Hii itaondoa dhana kuwa bila flani mambo hayawezi kwenda kumbe mwingine utajiri wake na pesa zake ndio zinamfanya awe na kiburi.
Hakuna mtu aliyezaliwa kutawala milele watu wanazaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.