Kero yangu kubwa ni kuhusu hizi taa za barabarani (road sign) hapa maeneo ya Tegeta Kibaoni huu ni mwezi wa tatu hivi hazifanyi kazi na wahusika wanaona lakini kimya.
Hapa tusipokuwa makini kuna ajali itakuja kutokea muda si mrefu maana ni hatari mno.
Naomba wahusika warekebishe hizi taa mapema
https://www.youtube.com/watch?v=-yZfMNUBE8U
Mkutano wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji jijini Dar es Salaam.
Gerson Msigwa: Kuna Vyombo vya Habari 1,023 vilivyosajiliwa Nchini
Katibu Mkuu Wizara ya Habari...
Mm nikijana nina miaka 28 ivi nina mke na mtoto mmoja mwanangu anaitwa Rose.
Sasa hiki kituu ni kitambo na kinaniumiza sana.
Iko hivii siku moja nimeamka niko hovyo sana akiba sina Rose alitoka kuumwaa so nikawa sina hata ile sent moja hata wa kumkopa sina.
Nilimpigia bimkubwa hana masista...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Karibuni
Jim reeves:
•Seno Santa Claus
•Jingle bells
•Silent night
•Mary's boy child
SILVER BELLS:
"City sidewalks, busy sidewalks
Dressed in holiday style
In the air
There's a feeling
Of Christmas
Children laughing
People passing
Meeting...
Kuweni wastahimilivu na wenye subra ikiwa hoja, mitazamo, maoni na fikra tunduizi za wadau kwenye masuala mbalimbali ni nzito, za maana na muhimu zaidi ya mawazo, maoni au mitazamo yenu ambayo labda ni dhaifu na yasiyo na mashiko kwa wakati huo.
Ikiwa umefikia ukomo wako wa mwisho wa mawazo...
Heshima kwenu nyote.
Kuna movie moja ya Kizungu niliwahi kuona jina lake humu ndani ila ni miaka zaidi ya mitatu nyuma nimesahau jina.
Hiyo movie Starring hajui kupigana, yupo na mke wake na watoto na anawaokoa kwenye matukio kibahati bahati tu ila ni movie flani nzuri tu.
Mwenye kufahamu...
Habarin wadau wa JF
Mimi nikijana mwenye ujuzi wa taaluma ya welding yaan uchomeleaji mageti madirisha kupauwa kenchi za chuma nk.
Nina vifaa vyote lakini sina ofisi naombeni connection wadau potepote pale mikoani naenda nipo mwanza
phone number
0614853457
0756557949
Kuna mambo yanashangaza na kustajabisha, Israel inapopigana vita na upande mwingine sikumbuki ni lini aliomba mazungumzo ya kusitisha vita.
Ila ikitokea mapambano yanahamia upande wao ni wepesi sana kuomba kusitisha vita, sijaelewa kwanini wanakuwa wepesi kuomba mazungumzo??
Mfano turudi...
Kwa wale wote tutakao shiriki uchaguzi muhimu mno na wa maana sana wa serikali za mitaa,
Nawatakia nyote matumizi sahihi uhuru na haki ya kikatiba, kwa kuchagua viongozi makini na watakao saidia kuchochea mageuzi na maendeleo katika mtaa au kijiji unachoishi.
Hongera kwa uchaguzi wa...
Unaweza ukanunia simu ya bei ndefu bado usifurahie vizuri na mwingine akanunua simu ya bei rahisi akapata vingi, we kama mdau unadhani kipi cha muhimu kwenye simu kulingana na mahitajio kama kasi ya mtandao,kamera,memory,housing nk.?
Ukiondoa mpira mguu, mchezo wa draft ndio mchezo ambazo unachezwa katika wilaya zote nchini, hakuna wilaya hapa nchini utaenda utakosa wachezaji wa mchezo huu, nenda wilaya yoyote draft lipo na wachezaji wapo, Dar es salaam ndio balaa, kule manzese, mbagala, kinondoni ndio kuna mafundi wakubwa...
Nimerejea Tena rasmi kuungana na wadau baada ya kupata msiba Wa Binti YANGU,Ili nipate kuchangamka nisiwe mnyonge zaidi,mnipokee Tena ndugu zangu maisha mengine yaendeleee🙏🏽
Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya mazingira kama ukame na mafuriko.
Wanawake, hasa kutoka jamii zenye kipato cha chini na zile zilizo...
Kwakuwa mamlaka husika zimeshindwa, basi nataka vijana wapigania maendeleo tuziondoe hizi app za kitapeli.
Niliwapigia Simu TCRA wakasema hawahusiki niende polisi.
Njia za kuziondoa hizi app ni simple tu, kama una nyumba hujamalizia basi watahusika kumalizia, kama huna boda boda basi...
Nimeshangazwa na hii style ya hiki chama
Wanahamasisha sana watu kupiga kura Hali inayowafanya tuwaone kuwa wanataka kushindanishwa kwenye sanduku la kura
Lakini ajabu ni kuwa wanawaengua washindani wao Tena kwa dhuluma tuu
Sasa mie najiuliza na jibu nalitaka
Hivi CCM wanataka...
Wakuu kama ilivo ainishwa hapo juu,
MSAADA ninao hitaji nikwamba Jana KWENYE harakati za kwny 1 na 2 nmejikuta nimelifuta file la Xender kwenye simu yangu lakini Cha kushangaza sasa zile MIZIKI nilizokuwa nmezihamishia kwenye hii cm KUPITIA hii Xender kuja kwenye simu yangu nilioifuta ki...
Hivi yule kiongozi wa BAWACHA Aliedai alitekwa, akateswa na kudhalilishwa huko kwenye misitu kibiti anaendeleaje kwasasa makamanda?
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi apone haraka.
Nimewiwa kumjulia hali tu kwakweli, my friends, ladies and gentlemen 🐒
Mungu ibariki Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.