wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Nimeshangaa kuona kahawa ya ubuyu. Je kahawa hii ina ubora kiasi gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeona kahawa iliyotengenezwa na ubuyu rafiki yangu aliitumia Ni mara ya kwanza kuona na nimeshangaa Mwenye uzoefu atujuze ubora au madhara yake kiafya kama yapo Nimeweka na kielelezo Dominika njema
  2. navigator msomi

    Wadau mimba ya tarehe 17 mwezi wa 12 mtoto anazaliwa lini?

    Tarehe 17 mwezi wa 12 ndio siku ya kukutana na mwanaume, ila mpaka sasa hivi hajazaa yuko timamu au ni kawaida. NB-habari ya kliniki sizijui kwahyo usiniulizee
  3. P

    Salamu kutoka Marekani: Nimejiona mnyonge kuona wadau wanavyotambulisha wapenzi wao

    Wakuu kama kawaida katika harakati tunakutana na wadau kwenye event mbalimbali. Nami leo nikashiriki tukio fulani hivyo lilikuwa na watu wengi sana. Mwisho ikawa utambulisho. Basi mtu anasimama anajitambulisha halafu unakuta anasema "Yule mrembo pale ni mke wangu nina miaka 20 tangu tuoane"...
  4. E

    Msaada: Napata discomfort upande wangu wa kushoto

    Naomba mnisaidie wadau, Mwaka jana nilipatwa na tatizo la shinikizo la juu la damu lakini wauguzi walinishauri na kuniambia ni tatizo la kupita hamna haja ya kutumia dawa za presa lakini kwa sasa ni takribani mwaka sasa kuna maumivu kwenye upande wangu wa kushoto. Maumivu hayo huwa nayasikia...
  5. Roving Journalist

    PPAA yatoa elimu kuhusu majukumu, malengo na mafanikio yake kwa Umma kwa Wadau zaidi ya 1,000

    Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeshiriki katika Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki Jijini Arusha. Kongamano hilo lilianza tarehe 9 – 12 Septemba 2024. PPAA imeshiriki pia kufanya maonesho ya kutoa elimu kuhusu majukumu, malengo na mafanikio yake kwa umma na...
  6. navigator msomi

    Wadau hapa sijapigwa na kitu kizito kweli?

    Iko hivi, mwaka jana mwezi wa 12 nilienda mkoani nikakutana na mama wa mwanangu ambaye naweza kusema kama mahusiano ya kimapenzi yalikuwa yameshaisha tulibaki kulea mtoto... Sasa, nilifikia lodge na yeye akamleta mtoto nimuone hapo lodge katika moja na mbili tukajikuta tumekumbushia ya enzi...
  7. Paroko2024

    Msongo wa mawazo kwa watumishi waliopo mbali na wenzi kwa sababu ya Utumishi wa Umma

    Wakuu mbalimbali JF imekuwa msaada sana kutafta changamoto kiwasemea wasokuwa na sauti. Kuna hii hapa, " bunge lililopita Mhe waziri wa utumishi Simbachawene, aliona kilio cha maelfu ya watumishi ambao wapo mikoa tofauti na wenzi wao, na akafafanua imechangia kuzorota Kwa usitawi wa jamii...
  8. Mad Max

    Happy Birthday wadau. Muishi maisha marefu na yenye Mafanikio!

    Heri ya kuzaliwa wadau wa JF mliozaliwa tarehe ya leo. Mungu awatangulie katika mishe zenu. Happy Birthday 28/August mwilongo Aron mr xuma Inspector Jws Gilbert Julius Alex Fredrick amonbiner anonymous_blue Lobaraki Joyeuse SISTY DENIS MUSHI saliel Sanga Imma Mr Stoic Edna kahema Na...
  9. T

    Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma he zimetoka au bado

    Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma zimetoka au bado
  10. E

    Computer Science inaongoza kutoa wadau wengi waliofanikiwa duniani

    Orodha ya Watu Waliosoma Computer Science na Wamefanikiwa 1. Elon Musk - Mwanzilishi wa SpaceX na Tesla(Japo alisoma physics na economics lakini Computer science imemtoa) 2. Mark Zuckerberg - Mwanzilishi wa Facebook (Meta). 3. Bill Gates - Mwanzilishi wa Microsoft. 4. Larry Page - Mwanzilishi...
  11. U

    Breaking News Kiongozi Mkuu upinzani Lebanon ataka Hezbollah wapokonywe silaha kuepusha majanga zaidi, magaidi hawezi ishinda Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kutokea Lebanon Wenye nchi yao sasa wamecharuka wanataka Hezbollah wafurushwe nchini mwao na Serikali yao iwe na mamlaka kamili ya kutawala Kwa nchi yote ya Lebanon Madhara ya Hezbollah kuendesha shughuli zao ni makubwa sana hivyo ni wakati muafaka kikundi...
  12. Ofisho mlinzi

    Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambazo mkataba wake sio wa kudumu

    Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambao mikataba yao haizidi mwaka m1
  13. Juice world

    Wakuu hivi kuna msanii anemzidi kipaji Rod Wave

    Katika wasanii ambao nikisikiliza ngoma zao nazielewa namba Moja duniani ni rod wave nataka nijue Kuna msanii anaemzidi kipaji huyu jamaa duniani Sasa hivi nazungumzia kipaji a.k.a mziki mzuri sio umaarufu.
  14. Stephano Mgendanyi

    TRA Kukutana na Wadau wa Sekta ya Madini Kujadiliana Maboresho Sekta ya Madini

    TRA KUKUTANA NA WADAU WA SEKTA YA MADINI KUJADILIANA MABORESHO YA SEKTA YA MADINI -Kuhusisha Watoa huduma,Wachimbaji wakubwa na wadogo -Waziri Mavunde aipongeza Wizara ya Fedha kwa ushirikiano -Wizara ya Madini yajipanga kukusanya Trilioni 1 mwaka 2024/25 Dar es salaam Mamlaka ya Mapato...
  15. U

    Fahamu Sifa kuu za Muislamu ni pamoja na kujizuia, uvumilivu, kusamehe, huruma na hawana woga wa kusema ukweli tuifate dini ya mwenyezi Mungu

    Wadau hamjamboni nyote? Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini na dini kwa kutumia akili. (al-Mumin, 40/54; az-Zumar, 39/18) Ni wenye kupambana kiakili kwa nguvu...
  16. Stephano Mgendanyi

    Wadau Waitikia Wito wa Rais Dkt. Samia wa Kuongeza Thamani Madini Nchini

    WADAU WAITIKIA WITO WA RAIS DKT. SAMIA WA KUONGEZA THAMANI MADINI NCHINI -_Waziri Mavunde aweka jiwe la msingi la ujenzi wa kiwanda cha kuchakata madini Kinywe(Graphite) -Zaidi ya Ajira 300 za moja kwa moja kupatikana -Tanzania kuwa mmoja ya wazalishaji wakubwa wa madini kinywe Afrika...
  17. Aramun

    Tetesi: NMB, CRDB, TRA, TANESCO, TPA na wadau wengine wa "Executive Category" kujitoa NHIF.

    Baada ya hospitali ya Agakhan kujitoa kwenye kuwahudumia wateja "Executive" wa NHIF, mashirika makubwa ya umma yanayotumia NHIF nayo yanajiandaa kutoongeza mkataba wao na NHIF. Kama ilivyokuwa zamani haya mashirika yalikuwa yanatumia mifuko mingine ya bima za afya kama Strategis na...
  18. Yesu Anakuja

    Wadau waomba Tundu Lisu & others waanzishe chama kipya!

    Ukizunguka mitandaoni, watu wanaamini Tundu anastahili kuwa katika chama kingine, imagine yeye, mwabukusi na wanasheria wangekuwa na chama, hawatapata kuungwa mkono kweli? au wanaogopa kuongeza kundi la maadui, au wanaogopa watanyimwa usajili? wao si wanasheria, wakinyimwa wanaenda mahakamani.
  19. B

    Hili linawezekanaje Wadau?

    Marehemu alifariki akiwa ktk ajali ya Gari. Kwa mujibu wa ataarifa zilizosambaa mitandaoni aliokena aakiwa katika gari la Kifahari aina ya Jeep. Gari lile pekee linakosti milioni zaidi ya 100. Hiki kituko kinatoka wapi? Sio maigizo haya?
  20. Roving Journalist

    Wadau mbalimbali wakutana Arusha katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) kujadili Mbinu za Kisasa za Ununuzi ili Kudhibiti Rushwa

    https://www.youtube.com/watch?v=Ii1HHXakCro Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) ulioanza Agosti 6, 2024 jijini Arusha unaendelea ambapo unajadili kuhusu Matumizi ya Mbinu za Kisasa kwenye Ununuzi wa Umma ili Kudhibiti Rushwa na Ubadhirigu, Kuhuisha Ununuzi wa Kielektroniki, Ubia...
Back
Top Bottom