wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Ndugu zangu nimeanza kujifunza kuhesabu kwa lugha ya kiarabu, tujifunze pamoja tuache kung'ang'ania kiingereza

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeanza jifunza kuhesabu kwa kiarabu Nimeona niwe tofauti na Wakristo wenzangu wanaoamini kuwa kiingereza ndiyo lugha sahihi zaidi kwao kuliko lugha nyingine Kiarabu ni mojawapo ya lugha bora Duniani tena iliyotumika kushushia kitabu kitakatifu Asubuhi ya leo...
  2. M

    QUALITY MUSIC CLASS, tunakuletea darasa la kujifunza vyombo vya muziki; Piano,guiters,na Drums

    QUALITY MUSIC CLASS, tunakuletea darasa la kujifunza vyombo vya muziki; Piano,guiters,na Drums tunapatikana mbagala, kwa wale ambao wapo mbali na Dar es salaam tunafundisha kwanjia ya whatsapp na masomo tutakutumia kwanjia hiyo unaweza wasiliana nasi kupitia namba hii 0687 458 202
  3. D

    Wadau tujadili na kujifunza, ni kweli wanawake wa Kingoni wana hulka ya umalaya hata kama ni msomi?

    Wanabodi, najua humu kuna wajuzi wengi sana kwa heshima ya JamiiForums. Kuna jamaa yangu (si Mngoni) lakini alikuwa na demu wa Kingoni tena daktari kitaaluma lakini akiwa amevuka kidogo umri wa kuolewa yani over 31 years of age. Kwa madai ya huyu bwana (nihifadhi jina lake kwa hadhi ya umma)...
  4. Mhafidhina07

    Wanasheria na wadau wa sheria naomba mnieleweshe kifungu hichi cha katiba

    katiba ya jamhuri ya muungano ya mwaka 1977 yenye marekebisho madogo,nimeona katika kifungu namba 34 ibara ndogo ya sheria 4 na 5 yenye kipengele a na b,nimepata ugumu kufahamu naomba nifahamishwe. (4) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya...
  5. W

    Wadau tujadili hapa kidogo

    Nakumbuka nikiwa nakua kila nikiosha vyombo bibi alikuwa anasisitiza nianze na vikombe na glass za maji ili visiwe na harufu ya mafuta au michuzi. Ila sasa hivi naweza anza hata na sufuria nikamaliza na glass na fresh tu. Haya Ukiwa unaosha vyombo huwa unafuata mpangilio upi hapa?
  6. kajunjumele

    Wadau Mwenye hiki kitabu anisaidie"YOUR TWELVE POWERS by Dr.Murpy"

    Husika na kichwa hapo juu.Naombeni softcopy ya hicho kitabu tafadhari.
  7. U

    Wasabato mnadai wanaoabudu jumapili wamepotea, siku hiyo ni Alama ya Mnyama, Je wanaoabudu ijumaa badala ya jumamosi nao wamepotea?

    Wadau hamjamboni nyote? Niende kwenye hoja Huwezi ona msabato akimsema muislamu kuwa ati anafanya dhambi kuabudu siku ya ijumaa ila ni kawaida kumsikia akimuhesabia dhambi Mkatoliki kwa kuabudu jumapili badala ya jumamosi Kwa msabato siku ya jumapili ambayo ndiyo aliyofufuka Bwana yetu Yesu...
  8. African businesses

    Msaada wadau simu yangu inasumbua google pixel

    Jamani naombeni mwenye ujuzi na hizi simu za google pixel anisaidie, in short nina google pixel 5g a hii ilikua poa tu lakini ikaanza kuna wakati naichaji inaniandikia hili neno liquid debris then inaacha kuchaji nilichokua nakifanya nikuchomoa chaja na kuirudishia tena inaendelea kufanya kazi...
  9. Mchochezi

    Wadau wa Football: Hapa ni Goal au Sio Goal?

    Tumalize utata wadau
  10. U

    Orodha ya Mafundisho ya Wakatoliki ambayo awali Wasabato waliona hayafai, sasa wameyakubali kwa nguvu kubwa!

    Wadau hamjamboni nyote? Uzi maalumu wenye orodha ya mafundisho ambayo Wasabato hapo awali hawakuyakubali ila sasa wameyapokea kwa moyo mmoja Wakatoliki wanamwabudu Mungu Mmoja na wa Pekee, aliyeko katika nafsi tatu za kimungu zilizo sawa, za milele, na za upatano: Mungu Baba, Mungu Mwana...
  11. T

    SoC04 Jinsi Wizara ya Afya inavyo weza kushirikiana na Hospitali Binafsi na Wadau wa Afya kuleta ufanisi katika suala la Bima ya Afya

    Ni mara kadhaa sasa kipindi cha hivi karibuni kumeshuhudiwa sinto fahamu katika mfumo wa bima ya afya swala lililopelekea huduma kusuasua na kuleta sinto fahamu.Ifuatayo chini ni moja ya mfano dhahiri wa kuonesha kwamba kuna changamoto katika kuandaa mikakati ya kuboresha mfumo wa bima ya...
  12. Shabani mbilu

    Maumivu ya mgongo kwa mjamzito wa miezi 7 inaweza ikawa ni ishara mbaya?

    Habari wadau hivi maumivu ya mgongo kwa mjamzito wa miezi 7 inaweza ikawa ni ishara mbaya?
  13. 2v1

    Mawazo, ushauri, maoni yenu wadau

    Mathayo 24:9-14 9 Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu. 11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi. 14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda...
  14. M

    SoC04 Uhai wa asasi zisizo za kiraia: Wito kwa serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo

    Licha ya umuhimu wa kazi wanayofanya, watendaji wengi wa utawala wa kidemokrasia wanaofanya kazi na asasi za kiraia wanakabiliwa na udhaifu mkubwa wa uwezo wa ndani wa kuendesha ofisi kuwa endelevu katika kutatua matatizo yanayokabili maendeleo. Udhaifu huu unazidishwa na ukosefu wa njia za...
  15. U

    Wasabato mnadai Kanisa Katoliki ni alama ya mpinga kristo lakini bado mnaamini Biblia waliyoindaa Karne 16 zilizopita?!

    Wadau hamjamboni nyote? Nimekuja na mada kama ifuatavyo Mabaraza ya Makadinali wa Kanisa Katoliki kwenye Mtaguso wa Roma (382) na Trento (1546) walisimamia mchakato wa kuchambua, kupangilia pamoja na kuidhinisha vitabu 73 - 46 katika Agano la Kale na 27 katika Agano Jipya - ambayo...
  16. A

    Wadau samahani naomba kujua Njia ya kusafirisha Honda kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma

  17. M

    Title hii ya research ipo na dependent and independent variables na ni zipi pia kama title hii ipo researchable?

    Assessing the effectiveness of firewall Technology in prevention of network attacks in organization's infrastructure; The case of.........
  18. B

    UDSM Yawaalika wadau katika maonesho ya utafiti na ubunifu msimu wa 9 yatakayofanyika Juni 5-7, 2024

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam- UDSM kinakualika katika maonesho ya wiki ya Utafiti na Ubunifu msimu wa 9 - 2024 yatakayofanyika 5 -7, June 2024 katika ukumbi wa Maktaba Mpya. Akizungumza katika Ukaribisho huo, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo - Utafiti, Profesa Nelson Boniface amesema mwaka huu...
  19. M

    Mtu mwenye masters na hana degree ya hiyo kozi aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira?

    Habari wadau wa JF, Hivi mtu mwenye masters lakini hana undergraduate degree ya hiyo course aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira sekta binafsi au serikalini?
  20. Candela

    Hii imekaaje wadau wa tra

    Kuna gari inauzwa for 54,000+ USD lakini ukiangalia kikokotooo cha TRA wameandika CIF yake ni 33,744.72 USD. Swali langu ni kuwa ukiinunua kwa hiyo bei ya sokoni watatumia kikokotoo chao au watakula na wewe kwenye price yako. na wenye uzoefu mnafanyaje kuagiza cars bila kuathiri utaratibu wa...
Back
Top Bottom