Nafikiri sote tunakumbuka vyema kuna mjadala wa Elimu uliibuka mwaka jana na ulianza kabla ya hapo ila nafikiri uliimarika mwaka jana.
Hoja kuu ilikuwa ni Elimu yetu ya sasa haimnufaishi mwanafunzi na hata mzazi au jamii ilomsomesha. Kulikuwa na makongamano kadhaa. Lile la Mlimani City na...
Naomba kufahamishwa mitandao ambayo angalau unaweza kupunguza misongo ya mawazo.
Cartoon, vichekesho, nk.
Nimejaribu nimeona nyingi zinakuwa za matusimatusi. Hizo hapana.
Hivi ukimvumilia mpenzi wako madhaifu yke lakini akawa harekebishiki ukiongea ukimuelekeza anakubali kutii hawezi mkigombana anakuja juu na anakiburi anakuwa naroho yakutaka kukucontroll.
Utafanyaje wadau na unakuta unampenda sana kumuacha inaumiza ukifikiria kufanya hivyo pia naombeni...
Huwa nafanya Graphics lakini natumia simu na nishafanya na watu baadhi hususani wanaotengeneza products kama mafuta,unga lishe, album cover na vingine. Lakini kitu ambacho huwa nashindwa niombe Ajira vipi? Kwasababu
1) Sijasomea hii issue
2) Natumia mobile apps kufanya Hizo graphics Kama...
Habarini,
Nimelima tikiti zinatambaa sasa, nilishawahi kuli a mara kadhaa na nikavuna.
Changamoto iliyopo inayonifanya niombe ushauri kwenu ni kwamba tikiti zinapoanza kukomaa Kuna viumbe aina mbalimbali wanaofanana na mbea hung'ata tikiti, hungofoa tikiti na kulitoa penbeni na shamba na...
Habari ya usiku huu.
Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja.
Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika hayuko kama zamani (hapa najua wakubwa wenzangu mmenielewa kwamba kitu kidogo anakasirika na kukuza...
Deni la taifa limekuwa wimbo mpya hasa kwa ccm wenyewe na sasa sisi wapinzani wacha tuimbe chorus maana bila chorus nyimbo huwa hainogi.
Deni limefikia trilion 82 wakati watanzania kwa makadirio ya haraka ni milion 60. Ukipiga hesabu za haraka utagundua kila mtanzania anadaiwa trilion 1.3 na...
Itakuwa ni kujidanganya mchana kweupe, kudhani kuwa hali ya kisiasa nchini ni shwari na kuwa kazi inaendelea.
Taarifa rasmi kutokea katika mkutano huo wa kusaka tahfifu katika siasa kwa wadau ni kama ilivyo hapa chini:
Hiyo ndiyo habari yenyewe.
Kama vipi kuwafahamu wajumbe hawa zaidi...
Naomba GENTAMYCINE nianze Kwanza kwa kutoa Pongezi kwa wana Simba SC Wenzangu wote ( hasa tuliopo hapa JamiiForums ) ambao tokea Juzi nilipoanzisha Uzi wa Kuzuia Mshambuliaji Ousmane Papi Sakho ( Raia wa Senegal ) Kuachwa ( Kutemwa ) Kikosini Simba SC kwa pamoja tulipaza Sauti zetu za Kuzuia...
Naandika ujumbe huu nikiwa na loss ya Kama 50k+ hivi.
Aisee kuna hivi vi-pub ushenzi vimemiminika kila baada ya mlango mmoja wa flem, yaani ni mwendo wa duka la nguo, pub, duka la chakula pub... Hivyo hivyo kwa nguvu ya 5G hadi hatulali na pesa siku hizi.
Sasa basi wamiliki wengi wa vi-pub...
Ya msingi ni taslimu kama yalivyo elezwa kwa ufupi hapa:
Kwa majibu haya ya Mh. Zitto. Tunapiga hatua:
Kuvunjika kwa kile si mwisho wa uhunzi.
Kwa hakika maslahi ya taifa ni muhimu zaidi kuliko maslahi binafsi.
Tutafika tu.
Baada ya Chadema kuususia na kuonyesha msimamo Msajili kabadili gia angani, kwa hiyo Chadema walikuwa sahihi kwa vile wao waliandika barua ya kuonana na kuzungumza na Rais sio kuhutubiwa na rais.
======================
“Mkutano wa kesho ulioitishwa na Baraza la vyama vya siasa sio mkutano wa...
Wadau habari za majukumu
Napenda nianze kwa kumpongeza Rais wetu Samia kwa kuona changamoto ya upungufu wa madarasa nchini
Na ndiyo maana alipo pata pesa za IMF Kupambana na COVID-19 akazipeleka mashuleni kila wilaya kujenga madarasa mapya sasa maagizo ndo tatizo.
Madarasa hayo yameamuriwa...
Na Pili Mwinyi
Kiswahili ni lugha ambayo kwa sasa imejibebea umaarufu mkubwa sana duniani ikiwa ni mojawapo ya lugha zinazotumiwa zaidi na watu wa Afrika. Kwa makadirio kina wazungumzaji zaidi ya milioni 200 katika nchi nyingi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika na hata Mashariki ya Kati...
Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba.
Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba.
Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman...
Naomba kujua, Mtanzania mtu mzima ambae si mwanafunzi.
Daily Routine yake ikoje toka anapoamka mpaka anapoenda kulala?
Maana naona zaidi ya 85% ya watanzania hawako bize kabisa.
ikitokea tukio hata la mtu kuibiwa simu katikati ya Jiji, watu wanajaa kutazama zaidi ya saa nzima na wanakaa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.