Naona Makonda amechukua mwelekeo ambao utarahisisha kazi yake, mwelekeo wa kwenda pamoja na wadudu (masela,) wa Arusha.
Masela (aka wadudu) wa Arusha ni wababe hakuna mfano. Ndiyo maana RC kaamua kukaa nao na kufuata wanachotaka. Mkoa gani masela wamewahi kukaa na RC?
Wadudu hoyeeee!
Sasa...
Habari wakuu.
Mh. Makonda ujapo Arusha kuanza kazi rasmi tunaomba uanze na tatu mzuka. Hawa vijana wameharibu sifa ya mkoa wa Arusha. Mitaa ya uwanja wa ndege mpaka kisongo hakufai wanakupiga tukio mpaka mchana kweupe. Tafadhali sana nusuru sifa njema ya mkoa huu.
Nawasilisha.
Asante
Habari wana JF
Nimetoka kumtembelea ndugu yangu kwa bahati mbaya dari lake lina shambuliwa na mdudu ambaye anapiga kelele kama msumeno. Nilishtuka kidogo na huyo mdudu naambiwa anachoronga mbao within short time unakuta unga unga hivi. Je dawa ya huyo mdudu ni ipi, tafadhali hili ni jambo la...
Nimesoma thread kutoka 2016 ila zote sijapata jibu kwakua baadhi ya michango imekataliwa kua haifanyi kazi,
Naomba kama mtu alifanikiwa kuondoa hawa wadudu wala mbao ambazo tayari zimeshapigwa kwenye kenchi anisaidie .
Shukran
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲
anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men
na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya akielezea kuhusu tukio hilo
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Marietha Bosco Sagana (32) Mkazi wa Kitongoji cha Matarawe, Kijiji cha Marungu Kata ya Tingi Tarafa ya Mpepo, Wilaya ya Nyasa amefariki Dunia wakati anapatiwa matibabu...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekitaka Kiwanda cha Kuzalisha Bidhaa za Kibaolojia Tanzania (TBPL) kuzalisha kibiashara viuatilifu hai (Biopesticides) kwa kasi kwa ajili ya kupambana na wadudu waharibifu katika mazao ya kilimo wakati wa msimu wa mvua ujao...
Taa ya kuua Mbuu Na Wadudu mbalimbali
Ni Ya Kuchaji
Inaua Mbuu Na Wadudu mbali Kwa Shoti Maalumu
Haina madhara kwa binadamu,
Ikishachajiwa na kuwa full chaji inaweza tumika masaa 48
haina gharama ya ziada zaidi ya kuichaji
Pia Inatumika kama taa ya kawaida ili kupata mwanga
Battery 4000
BEI...
UKIPEWA SH.10000 UMFUKUZE KANGA KATAA, HUTAMPATA
Tanzania inatajwa kama taifa linaloongoza kwa kuwa na mbuga pamoja na wanyama wengi duniani.
Itapendeza iwapo tutakuwa tukizielewa tabia za wanyama tuliona pamoja na vituko vyao ambavyo huwa ni burudani kwa binadamu na watalii kutoka nje.Na vile...
Mwingine Huyu HAPA Anaitwa TenkSon Scratch
Nakuletea Mambo 10 Kuhusu Nyoka Huyu Anayeelekea Kupotea Duniani
👇
👇
(1) Nyoka Huyu Aligundulika Duniani Mnamo Mwaka 1624 Huko Nchini Congo BlazaVile Enzi Hizo Pakijulikana Kama Zaire
(2) NYOKA Huyu Uwa Anataga Yai Moja Tu Kwa Mwaka Mzima Yai Hilo...
1. Pua za Panya zipoje kwani nimetoka Kula Samaki na kwa Makusudi nimebakisha baadhi (tena Kufunga katika Mfuko usiopitisha Hewa) ili Kesho Asubuhi niwape Paka wanaojiandaa Kuniwangia na Kunilimisha Mzanaki Mimi Usiku huu nikilala ila nashangaa Panya wameshajua hadi nilipoficha na sasa wananilia...
Habari zenu wana jamvi.
Mimi ni mtafiti katika chuo cha kilimo. Ninaomba msaada kwa suala lifuatalo;
Kwa mkulima yeyote wa zao la choroko au kunde ambazo zimebunguliwa (kutobolewa) zikiwa pamoja na wadudu maarufu kama bungua (wawe wengi kidogo) kama wanavyo onekana kwenye picha chini.
Wadudu...
Bolivia. Kisa cha Jhonatan Acosta (30) kimewashangaza wengi baada ya kuishi kwa kula minyoo na wadudu kwa zaidi ya siku 30 tangu alivyopotea katika msitu wa Amazon.
Akifanya mahojiano na kituo cha televisheni cha Unitel alisema, "Ilinibidi kujifunza mbinu mpya za kuishi, nilijilazimu kutumia...
Salaam.
Kuna wadudu wako kama funza wakubwa wanaishi kwenye mbao, kwa Kizungu wanaitwa Powderpost beetles, wakila kama ni kochi au kiti utaona tu unga mlaini kama powder imedondoka chini na pia kuna wakati unasikia sauti yao jinsi wanavyotafuna kitu cha mbao.
Hawa wadudu wananitia wazimu, nina...
Wakuu kama kichwa cha habari.
Nina vimahindi vyangu kama robo heka hiv vina kama mwezi hivi.Ila wadudu wanavishambulia hatari sana.mwenye uzoefu wa daqa ya kutibu hili( kama kuna njia za asili za kutibu zisizo na athali za mazingira nitafurahi sana pia).pia namna ya kizuia hawa wadudu.yaani...
Babati. Wimbi la wadudu waharibifu wa mazao maarufu kama “mbirizi” limevamia mashamba ya mahindi ya wakulima katika kata ya Kiru na vijiji vya jirani wilayani Babati mkoani Manyara.
Mkulima wa mahindi kutoka kijiji cha Kiru, Six Salao akizungumza leo Jumanne Desemba 27, 2022, amesema makundi...
Wadau ni dawa gani naweza tumia kutomeza wadudu watambaao na warukao ndani ya nyumba.
Nataka dawa ambayo nikitumia Mara moja naweza kaa angalau kwa muda mrefu bila kutumia.
Sitaki dawa ya kutumia kila siku au kila wiki.
Nataka mende,sisimizi,siafu,mbu n.k viwe vitu adimu ndani ya nyumba.
Jamani, nyumba yangu inashambuliwa na wadudu walao mbao, wanatoa sauti kama msumeno.
Je, ni kitu gani nifanye kuwazuia ili wasilete madhara? Niko Dar Es salaam, kama kuna dawa labda niambieni inatwaje na inapatika wapi hapa Dar Es Salaam?!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Tunafanya shughuli ya kuuwa wadudu kwa dawa ambazo zimethibitishwa na mamlaka zote nchini Tanzania.
Wadudu aina zote tunapambana nao warukao,wanaotambaa .
Kazi yetu inaanza iwapo ukiwa unahitaji hilo,tunakuja kufanya survey na kukupa makadirio ya gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.