wadudu

  1. Wiwachu

    Ushauri: Mbao nilizotumia kupaua nyumba zinaliwa na wadudu, nipake dawa gani kuzinusuru?

    Habari za wakati huu ndugu na jamaa, mimi ni mhanga wa tatizo la mbao za nyumba yangu niliyopaua miezi 9 iliyopita toka mwezi wa 9 mwaka jana ila kufika leo hii nasikia juu kwenye dali kelele za wadudu kama wanakula mbao asubuhi pia nikiamka naona kuna uchafu wa mbao kuliwa kama unga unga...
  2. Gily Gru

    Ufugaji wa Vunjajungu (pamoja na wadudu wengine) na masoko yake

    Jumapili njema. Huu uzi umelenga kutoa fursa kwa wafugaji kuhusu ufugaji wa vunjajungu (PRAYING MANTIS) na masoko yake. Pia unajumuisha ufugaji wa wadudu wengine ambao pia hutumika kulisha wanyama. Sasa kupitia uzi huu tutahabarishana kuhusu masoko yake duniani ila mie nitaambatanisha soko la...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Video: Akojoa wadudu baada ya kutembea na mke wa mtu Kenya

    MK254 Hebu tumble huu uchawi wenu mmeupata wapi?
  4. L

    Wanyama na wadudu waamka kipindi cha tatu cha mwaka “Jing Zhe” kwa kalenda ya kichina

    Katika utamaduni wa China, watu hugawanya mwaka mzima kwa vipindi 24 kwa jumla, na tarehe 5 Machi itakuwa ni siku ya kuanza kwa kipindi cha wadudu kuamka, kwa kichina ni “Jing Zhe”, ambayo ni kipindi cha tatu katika mwaka mzima, ambapo mimea na wadudu wataanza kukua kwa kufuata mabadiliko ya...
  5. Faana

    Hawa ni Wadudu Gani

    Kama wanavyoonekana, kwa mbali utadhani ni mdudu mmoja ila kwa karibu utaona ni mnyororo wa ukoo Wana mchango gani katika kustawisha ekolojia na wana madhara gani katika ustawi wetu
  6. Victor Mlaki

    Ufugaji wa wadudu kama chakula cha mifugo na binadamu kilimo kilichokosa nafasi Tanzania

    Licha ya Nchi ya Tanzania kuwa katika ukanda wenye hali ya hewa inayoruhusu uwepo na ukuaji wa viumbe wengi wakiwemo wadudu na mimea bado uwekezaji kwenye kilimo cha ufugaji wa wadudu lishe unaonekana kuwa wa chini sana ukilinganisha na nchi nyingine Duniani. Tanzania inaonekana kuwa nyuma sana...
  7. Miss Zomboko

    Serikali yapiga marufuku Dawa za kuuliwa Nzi na Wadudu kupulizwa Buchani

    Bodi wa nyama nchini imepiga marufuku matumizi ya dawa za kuulia nzi na wadudu wengine kupulizwa kwenye mabucha wakati nyama ikiwemo ndani ,jambo ambalo linalohatarisha maisha na afya za wanunuzi wa kitoweo hicho. Dawa hizo ni sumu hatari zinafanya kazi taratibu ndani ya mwilini mwa binadamu...
  8. GENTAMYCINE

    Tujuzane Ishara za 'Kiuchawi' na "Kiuchuro' kutoka kwa Wanyama, Wadudu na Ndege kwa Binadamu (Mwanadamu)

    1. Nyumba unayokaa kama unafuga Njiwa na ukiwa Unauguza Mgonjwa ndani ukiona Njiwa Wote wanaondoka anza kuweka Oda ya Jeneza kwa Mgonjwa wako kwani utake usitake atakufa tu. 2. Nyumba unayoishi kama unafuga Mbwa kuanzia Saa 5 Usiku na Saa 11 Alfajiri ukisikia wanabweka sana jua Wachawi...
  9. M

    Afisa Masoko wa kampuni ya Usafi na viuwa wadudu

    Flydream Company Ltd ni kampuni iliyosajiliwa na BRELA kwaajili yakutoa huduma mbalimbali kupitia biashara zilizo chini yake. Kwasasa inawatangazia watu wote wenye sifa za kuomba nafasi zifuatazo kupitia kampuni tanzu ya Real Vision Cleaning & Fumigation services yenye ofisi zako Mabibo, jijini...
  10. M

    Tunatoa huduma ya Fumigation kuua wadudu

    Habari wadau. Natoa huduma za kuuwa wadudu/fumigation,kwa kupulizia madawa . Napatikana dar es salaam Tunafanya majumbani maofisi na sehemu zingine zozote, Kwa upande wa Bei zetu ,huwa tunaangalia na sehemu husika nna matatizo yaliyopo Kisha tunatoa Bei kulingana . Karibuni mniunge mkono.
  11. Nchi Kavu

    Kitanda kinamalizwa na wadudu. Mwenye kujua dawa tafadhali

    Wakuu za muda. Kuna hawa wadudu weupe hivi kama wale wa kahawa, wanakula mbao hatari. Sasa nawasikia kila leo wanakula kitanda na huwa nawachokona hadi kuwapata na kuwaangamiza ila bado wanazaliana. Mwenye kujua dawa anijulishe tafadhi
  12. donlucchese

    Msaada: Naomba kufahamishwa namna ya kuwadhibiti mende

    Straight to the point. When we were growing up, tulizoea kuona Yale ma mende makubwa makubwa flani ambayo in those times we thought they were originated from the lavatories. Ila kwa sasa kuna hivi vi periplaneta americana vidogovidogo hivi vinasumbua balaa. Ukichek chini ya sofa au sehemu...
  13. Analogia Malenga

    Viumbe, mimea na wadudu vamizi hugharimu Afrika dola trilioni 3.5 kwa mwaka

    Utafiti mpya unasema wadudu, minyoo, mimea vamizi ya magugu,zinagharimu Afrika zaidi ya $ 3.5tn (£ 2.5tn) kila mwaka. Watafiti walio Ghana, Kenya, Uingereza na Uswizi wameelezea athari mbaya za spishi zinazoletwa na shughuli za wanadamu. Nigeria, ambayo hasara yake inakadiriwa kuwa dola...
  14. Digital base

    Na ng'arisha masink,sofa na tiles zilizo na uchafu sugu pamoja na kuua wadudu kama kunguni na mende

    Habari ya leo wakuu, Mimi ni mjasiriamali nnaye jihusisha na usafi nimejikita zaidi katika uchafu sugu ulio shindikana mfano kung'arisha masink yaliyo na uchafu sugu,Tiles zilizo na uchafu sugu,sofa zilizo na uchafu sugu na vyote nang'arisha kurudi kuwa na muonekano mpya kabisa haijarishi aina...
  15. S

    WAZIRI wa KILIMO Zanzibar hili Lako, enhee Wadudu wanfurutu ada matunda hayaliki

    Kama Wazenji hapa wapo au humu wamo napenda wanifikishie Raisi wa Zanzibar Dr. Husein Bin Ali Bin Husein el Mwinyi ya kuwa sasa ni aibu kwa matunda ya Zanzibar, ulitafunalo lina ndudu aka funza. Hili sio la Raisi ni la Wizara ya Kilimo na waziri husika wa Zanzibar hapa Tanganyika sijawahi kula...
  16. W

    Usafi majumbani na maofisini pamoja na kupiliza dawa ya kuua wadudu wasumbufu

    Habari wadau, tunawapenda kuwaalika watu wote wanaohitaji huduma ya usafi majumbani, maofisini pamoja na kunyunyizia dawa wadudu wasumbufu kama vile mende, mchwa, kunguni, mbu, nyoka nk. Tunapatikana Dar es Salaam, wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0716806933 , 0765013776. Au tembelea...
  17. MK254

    Duh! shamba la bibi linaendelea kuchumwa, shehena lakamatwa Marekani lililojaa wadudu kutokea Tanzania

    Wenzetu kwenu huko kila kitu kinachumwa kwa kwenda mbele, vyote hivyo ni dili, inashangaza kizazi cha sasa mnaojiita "walioelimika" bado mnaliwa kama ilivyokua kwa mababu zenu japo sitashangaa maana maprofesa wenu ndio hao wanafuata vikombe vya maji ya tangawizi Madagascar na kutangaza eti...
  18. Aqua

    Dawa ya kuzuia wadudu baada ya kupruni miti ya matunda

    Habari wanajamvi, Naulizia ni dawa gani naweza kutumia baadaya kupruni miti ya matunda kupaka au kuspray sehemu niliyoikata lengo likiwa ni kuzuia wadudu au magonjwa yanayoweza kupitia sehemu hiyo iliyokatwa.Naomba niujulishwe jina la dawa ambayo hutumika kwa lengo hilo kutoka kwa mtu ambaye...
  19. fungi06

    Orodha ya wadudu walevi kupindukia

    Ndugu zangu nimekua niki tahamaki tabia za hawa wadudu yani kuna kabaar apa jirani kapo classic kiasi. Ila kila nikienda kugida bia zangu lazima awa wadudu waje mezani ata walambe japo kidogo bia kabla na wao awajalala sijui ni kwa nini!! Na mimi nimekua sio mchoyo nikiwaona tu mezani nawaekea...
Back
Top Bottom