Habari zenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema kabisa. Well, swali langu ni kutaka kufahamu mtu anapoenda kupima Virusi vya UKIMWI, huwa vinaonesha Idadi ya wadudu waliopo ndani ya mwili wakuu?
Na je, Idadi hiyo ikiwa kiasi gani ndio huwa na madhara zaidi kwa mwili na katika kupungua Idadi ya...
Salaam Wakuu,
kama mnavyojua kama binadaamu tuwapo hai basi kuna uwezekano wa kupata ajali au tatizo lolote muda wowote. Baadhi ya matatizo yanaweza kutupata kwa kutarajia na mengine yanaweza kutupata kwa bahati mbaya. Miongoni mwa ajali za kawaida tunazoweza kukutana nazo katika mazingira yetu...
Naomba niwasilishe kutaka kuelezwa zaidi juu ya kilimo cha Korosho kwa Mkoa wa Pwani. Naomba mwenye kuelewa atufahamishe mimi na wengine gharama toka awali za kupanda mikorosho katika shamba la ekari 20. Gharama na takwimu hadi kuvuna na kiasi cha mavuno kwa mwaka.
Natanguliza shukrani zangu...
Hello,
Natafuta mifuko/magunia maalumu ya kuhifadhia mahindi. Hiyo mifuko imekuwa maarufu kwa madai kuwa ina uwezo wa kuhifadhi mahindi na kuyazuia kubanguliwa na wadudu. Kama unafahamu naipata wapi Dar, nipe taarifa. Nataka nishuke nayo kijijini mara moja.
tf.
Kwa yeyoteanaesumbuliwa na wadudu mbali mbali tuwasiliane kupitia +255758899901. au tembelea tovuti yetu ya Xfrey kufanya booking ya huduma kutoka kwetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.