wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Wafanyakazi Mgodi wa CATA Mining Mara waandamana, wakidai Mishahara, NSSF, wamwangukia Rais Samia

    Waliokuwa wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa CATA MINE uliopo kijiji cha Kyabakari, Wilayani Butiama Mkoani Mara, jana wameandamana kwa mara nyingine kuelekea katika Ofisi za mgodi huo, kushinikiza mwekezaji kuwalipa malimbikizo ya mishahara yao pamoja na NSSF. Wakiwa na mabango yenye jumbe...
  2. Mad Max

    Hivi ni Taasisi yetu tu au Taasisi zote za Umma pesa imekua ngumu kwa Wafanyakazi?

    Wakuu, especially waajiriwa wa serikali. Hivi Na nyie ofisini kwenu pakavu kama kwetu au ofisi yetu ndio imekua mfano? Maana kusema kweli 2023 na 2024 hii miaka imekua migumu sana. Posho hazitoki yapo madeni tu tokea ya September 2023, safari imekua kitu hadimu, vikao vya hela hamna wala kazi...
  3. M

    Hii ni kwa waschana wafanyabiashara, wajasiriamali,au wafanyakazi.

    Kwa wanawake wote wajasiriamali wafanyabiashara na wengine walojipata ,mwanaume yeyote akija kukufata kukutongoza ukamuelewa ukaona kabisa maisha yako yanakwenda kubadilika kupitia huyo mwanaume, ukaona kabisa huyu ni mwanaume wa ndoto zako, ukaona unayo ahidiwa ni mengiii na makubwaa. Naomba...
  4. Archnemesis 2-0

    Wafanyakazi wa JKIA wagoma tena, wasafiri wakwama airport.

    Kwema Wadau, Kama mnakumbuka mwezi wa 8 hapa katikati wafanyakazi wa Jomo Kenyatta International Airport walifanya mgomo.. kwa kweli niliona ile ishu juu juu skufatilia zaidi. Sasa hapa nasikiliza D.W lunch time nasikia shughuli zote za usafiri JKIA zimesimamishwa na wafanyakazi wamegoma mgomo...
  5. J

    Gladness Kifaluka awaonya wanawake kuhusu wafanyakazi wa ndani baada ya tukio la wizi

    Msanii maarufu wa vichekesho nchini, Gladness Kifaluku amewataka wanawake kuwa makini zaidi na wafanyakazi wao wa ndani baada ya kukumbwa na tukio la kusikitisha. Gladness aligundua kuwa mfanyakazi wake wa ndani alikuwa akificha vitu vyenye ncha kali kwenye pochi na kumuibia fedha. Tukio hili...
  6. GENTAMYCINE

    Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura haya anza sasa kuaga wafanyakazi wako kwani ni suala la muda tu unaondoshwa, Sawa?

    Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
  7. A

    KERO Askari wanatukamata Wafanyakazi wa SGR kisa tumesema Mkandarasi hajaingiza malipo yetu ya NSSF

    Sisi Wafanyakazi wa Ujenzi wa SGR kwa hapa Lot 1 ambayo inahusisha Dar – Moro baada ya kulalamika kuhusu Mkandarasi Mkuu, Yapi Merkezi kuwaondoa watu kazini kwa gia ya likizo huku wakiwa hawatulipi stahiki zetu ikiwemo, malipo ya NSSF, kumeibuka baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi wanatukamata...
  8. Roving Journalist

    Wafanyakazi wa SGR (Lot 1) wafanya mgomo, washinikiza Mkandarasi awalipe stahiki zao ikiwemo NSSF

    Wafanyakazi wa SGR - Lot 1 wameamua kufanya mgomo wakishinikiza malipo yao ya NSSF kuingizwa kwenye akaunti Pia soma ~Yapi Merkezi: Hakuna Mfanyakazi wa SGR atakayefutwa kazi bila kulipwa stahiki zake ikiwemo NSSF ~ Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) anawaondoa Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa...
  9. Down To Earth

    Historia: Ukaguzi wa wafanyakazi katika mgodi wa Mwadui

    Mgodi wa Mwadui 🧐 Williams Diamond Limited (WDL) Wafanyakazi wa sorting(wanaochambua madini) wakimaliza kazi walikuwa wakikaguliwa bila nguo 😢 Shinyanga tumetoka mbali sana😢 Yaliyopita yanasikitisha mno🙌 Shinyanga 🇹🇿
  10. PAZIA 3

    Serikali Ione haja ya kufanya promotion kwa wafanyakazi wa Umma haswa wanaoonesha utofauti katika kazi zao kama ilivyo kwa wanajeshi na Polise

    Ni muda Sasa nimekuwa nikiona baadhi ya Askari wakipata promotion ya vyeo pale wanapoonesha utendakazi wa tofauti wenye tija maeneo ya kazi zao na kwa jamii. Kwanini tusifanye hivyo pia kwa watumishi wengine kama vile Madaktari, Manesi, watendaji wa kata na vijiji, maafisa wengine na walimu...
  11. S

    Je, ni wafanyakazi wote wa serikali wamelipwa mishahara mwezi huu wa August?

    Nauliza swali hili kwa lengo la kujiridhisha kuhusiana na taarifa fulani ila kwa sasa naona sio busara kuzitaja ila majibu yatanisaidfia kupata walau picha halisi. Naomba tujuzane kama kuna watumishi ambao bado hawapata mishahara mpaka leo hii.
  12. ndege JOHN

    Asilimia kubwa ya majanga maofisini wanasababishwa na madereva wa maboss na ma secretary

    Unaweza kuona kama nafasi hizo ni nafasi ndogo na hazina nafasi katika maamuzi ya mambo mengi ila amini usiamini makazini kwingi sekta za Umma na Sekta binafsi fitina na majungu chanzo chake ni uvujishaji wa siri pindi usengenyaji unapofanywa aidha na maboss kwenye gari. Mada nyingi wao ndiyo...
  13. Azniv Protingas

    Madalali TRA ni wafanyakazi wa TRA au vipi?

    Nimeenda ofisi za TRA kufuatilia leseni ya udereva lakini nilivyofika nimeshtuka kupokelewa na mtu kwenye korido ya ofisi ananiuliza unahitaji nini? Kwa upole nikamjibu nimekuja kukata leseni ya udereva, akaniambia njoo nikusaidie. Tukaingia ndani akaniambia una tin number nikamjibu ninayo...
  14. GenuineMan

    Tutaje Kampuni, Taasisi, au Mabosi ambao Wanajali Wafanyakazi

    Kuna uzi humu unaongelea makampuni ambayo hayajari wafanyakazi wake., wengine wananyanyasa kabisa wafanykazi. Upande mwingine kuna makampuni au Taasisi ambazo zinajari wafanyakazi au waajiriwa, nao wanastahiri kutambuliwa na kupewa pongezi hapa JF. Mimi naanza na Boss wa Tronic, kampuni ya...
  15. BigTall

    Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) anawaondoa Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa likizo ya lazima, pia hajaingiza malipo ya NSSF

    Sisi Watumishi wa SGR ambao tupo chini ya Mkandarasi Mkuu wa mradi huo, Yapi Merkezi tunasikitishwa na kitendo cha Muajiri wetu kupunguza Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa likizo ya lazima. Uongozi wa SGR Lot One inayoanzia Dar es Salaam kwanza ulitutaka kwenda likizo ya miezi minne, wengine...
  16. Yoda

    Chama cha wafanyakazi wa magari chawafungulia mashitaka Trump na Elon Musk

    Chama kikubwa cha umoja wa wafanyakazi wa sekta ya uzalishaji magari, ndege na mashine za mashambani wamewafungulia mashitaka Donald Trump na Elon Musk wakilalamika mazungumzo yao ya jana Twitter yalihusisha kauli za kudhalilisha, kutishia na kudhoofisha wafanyakazi wanaogoma kushinikiza...
  17. Mpwayungu Village

    KERO Wafanyakazi wa Elements Club (Masaki) kuweni na adabu. Mna madharau na kiburi

    Biashara huwa Kuna kupanda na kushuka, club element wasipofanya mapema reform ya wafanyakazi basi Ile club haishuki inaenda kudondoka na kufa kabisa Nimeamua niandikie leo japo ni tukio lililonitokea mwezi Jana. Sio mara yao ya kwanza kunitreat unfairly imekuwa ni tabia yao.. Tulienda pale na...
  18. Moto wa volcano

    Ukiwa Boss kazi inapotokea wafanyakazi hawana maelewano

    Ukiwa Boss kazi unakuta wafanyakazi wako hawapendani halafu wote wanaumuhimu kwako , ukiona mtu kaisimamisha biashara au kampuni ikasimama vizuri mpe ratings zake za kutosha . Inapotokea wafanyakazi wako hawapendani inakupa ugumu umuache nani ubaki na nani wakati wote...
  19. Mi mi

    Maana halisi ya wafanyakazi kwa bidii

    Hii jamii ya hawa watu ni wanafanya kazi kwa bidii kubwa unaweza jiuliza miili yao haina hali ya kuchoka. Ni nini shinikizo lililo nyuma yao katika ufanyaji kazi kwa bidii ya hali ya juu. Si ajabu kuona maendeleo ya kasi isiyoelezeka ya nchi yao hasa katika miundombinu. Wachina ni wafanya...
  20. DeMostAdmired

    Nakumbuka jinsi nilivyowanusuru wasaidizi wetu dhidi ya kifo

    Hello how are you all!!!!! Leo nimekumbuka hiki kisa. Ilikuwa mnamo mwaka 2012 nimemaliza darasa la 7. Ilikuwa mwezi wa 10 kama sijasahau, huko mkoa mashughuli kwa ulimaji wa tumbaku. Baba yangu ni mkulima pia wa tumbaku toka kitambo sana. Huwa tuna utaratibu wa kuendea wasaidizi wa kazi...
Back
Top Bottom