wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Nigeria: Wafanyakazi waanza Mgomo wa Kitaifa kudai nyongeza ya Kima cha Chini cha Mshahara kutoka Tsh. 58,400 hadi Tsh. 962,865

    NIGERIA: Wafanyakazi wa Taasisi za Umma na Binafsi wameanza Mgomo wa Kitaifa usio na kikomo nchini humo wakidai maboresho ya Maslahi ya Kazi ikiwemo nyongeza ya Mishahara Mgomo huo unfautia kukosekana kwa muafaka wa Mazungumzo kati ya Chama cha Wafanyakazi (NLC), Umoja wa Wafanyakazi (TUC) na...
  2. M

    Chanzo cha Umasikini kwa Wafanyakazi sio Mishahara midogo bali ni Ukosefu wa Elimu ya Kifedha

    Habari za Harakati za kiuchumi. Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo. Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira akipata 10millioni akiwa mtaani anaweza kuikuza na kuwa tajiri kuliko wewe. Ila wewe unaweza kupata mkopo...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Kwa Samia, Harmonize ni muhimu kuliko Wafanyakazi na Mei Mosi!

    Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀 Ndio maana hata katika...
  4. S

    Wanaume walio na wake wafanyakazi wana mapungufu. Mwanaume kamili mkewe ni mama wa nyumbani.

    Mwanaume anayetafuta mke mfanyakazi ili asaidiwe baadhi yamajukumu ya kuendesha familia kwa mshahara wa mkewe ni dhaifu. Ana mapungufu makubwa kwenye uanaume wake. Ndiyo maana wanadharaulika na kugongewa. Ushawahi kuwaona wake wa Mo, Bakhresa na mzee mengi (rip) wakiwa kwenye ajira? Hao ndiyo...
  5. Kidaya

    SoC04 Mabasi maalum kutatua changamoto za usafiri kwa wafanyakazi

    Kutokana na ukuaji wa miji na majiji, wafanyakazi wengi wanaishi (kujenga makazi au kupanga) maeneo ya mbali kidogo (zaidi ya kilomita kumi) kutoka maeneo wanayofanyia kazi hali inayowalazimu uhitaji wa usafiri wa kwenda kazini na kurudi nyumbani. Kwa mfano katika jiji la Mwanza, wafanyakazi...
  6. D

    Bajeti 2024/2025 serikali itoe ajira rasmi kwa wafanyakazi wa JKCI-Dar Group

    Ni muda sasa umepita tokea serikali kurudisha umiliki wa hospital ya Dar group na kuwa chini ya Jkci ingawa awali ilitegemewa baada ya serikali kuchukua rasimali zote za hospital hiyo ikiwemo majengo ,vifaa tiba na fedha ktk account ilitarajiwa kutoa ajira rasmi kwa rasilimali watu (watumishi...
  7. Molleli

    Kwanini baadhi ya wafanyakazi wanapenda kutoa 'last seen' za WhatsApp na kubaki jina pekee?

    Naombeni majibu wandewa. Kuna mmoja aliniambia wanafanya hivyo kwasababu ma boss wao huwa wanawasumbua. Je, kuna ukweli kwenye hili?
  8. T

    Uwajibikaji katika mahakama za masuala ya kazi (CMA) juu ya unyanyasaji kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Hii kero inaumiza sana hasa wafanyakazi kupata haki zao pamoja na kupotezewa muda. Kuna Kampuni ya madini Kahama mkoani Shinyanga inajihusisha na uchimbaji wa madini, imetelekeza wafanyakazi bila chochote si malimbikizo ya mishahara, barua za kuvunja mkataba wala hela za NSSF, pia makato mengi...
  9. copyright

    Kwanini Mh Rais hakutokea kwenye sherehe za siku ya wafanyakazi (Mei Mosi)

    Habari ya kazi wakuu!! Naomba kwenda moja kwa moja kwenye hoja. Hili nimekaa nalo sana tangu tarehe moja hadi leo na kila siku linaniumiza, nikikaa na wafanyakazi wenzangu naona wanahoja tofauti tofauti sasa leo nimeamua kuja mbele yenu wanajukwaa mnisaidie hili. Nimetonywa hapa kuwa katiba...
  10. GENTAMYCINE

    Chuo Kikuu Makerere chazindua mfumo wa kidigitali wa kufuatilia mahudhurio kwa wafanyakazi na wanafunzi

    Makerere University has launched a digital system that will enable it effectively monitor attendance of staff and students in order to limit the vice of dodging classes. The two systems the Biometric access and Student Attendance Management System (SAMS) were launched on Friday, May 3rd, 2024...
  11. Mama Edina

    Kwanini wafanyakazi wa Zanzibar wawekewe nauli za usafiri kwenda kazini na kurudi wa Tanzania bara wasipewe?

    Watanzania mjue jambo moja tu. Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo. Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo. Raisi Samia angalia hili
  12. Cute Wife

    Mei Mosi: Wafanyakazi Zanzibar kuongezewa Tsh. 50,000 kama posho ya nauli

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Wafanyakazi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wataongezewa posho ya shilingi elfu hamsini (50,000) ya nauli ili kuleta ufanisi katika kazi na kurahisisha masuala ya usafiri kwa ajili ya nauli za kwenda...
  13. Janeth Thomson Mwambije

    Heri ya sikukuu ya wafanyakazi, nyongeza za mishahara ni msingi wa mafao Bora

    Kulingana Na Historia Ndogo Kutoka Kwa Walimu Wetu wa Historia... Sikukuu Ya Wafanyakazi Ni Matunda Ya Mapinduzi Yaliyochochewa na Unyonywaji (Excessive Exploitation) Waliopitia Wafanyakazi Wakiwa Kazini, Mfano; Kufanya Kazi Kwa Saa Nyingi Na Kulipwa Kidogo, Kufanya Kazi Katika Mazingira...
  14. Roving Journalist

    Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

    Fuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024 https://www.youtube.com/live/ou5SjfKQdUs?si=ZGhP6q5GsAM4R5SS Maadhimisho haya yamehudhuriwa na Makamu wa Rais, Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge...
  15. R

    Kenya mishahara kupanda kwa asilimia sita kwa wafanyakazi wa kima cha chini, Tanzania vipi?

    Ukimsikiliza Rais wa Kenya anavyochambua uchumi na mipango ya kupanua ajira unabaini hotuba yake imeandikwa na wataalam kwa kuzingatia presha kubwa iliyopo kwenye vyama vya wafanyakazi. Pamoja na kwamba hakuna ahadi kubwa wanayopata wafanyakazi Kenya kulinganisha na Tanzania ila vyama vya...
  16. M

    Kwa rushwa wanazokula wafanyakazi wa nchi hii wasiongezewe mishahara kabisa

    Ukweli uko hivo. Anzia mahakamani, polisi, hospital na idara nyingine kote wanajilia rushwa kama wametumwa. Sasa hawa watu hawafai kuongezewa mishahara maana wanazoiba ni nyingi mno. Wafanyakazi waingie makubaliano na serikali wakiacha rushwa ndio waongezewe mishahara na marupurupu mengine...
  17. Msanii

    Pre GE2025 Wafanyakazi wa Tanzania badilikeni. Hakuna wa kuwasaidia zaidi ya kadi yako ya kura

    Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi. Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya...
  18. M

    Hivi kwanini wafanyakazi leo wamenuna na wana hasira balaa, nini kimewakuta

    Hii sio haki Hayo ni maneno ambayo walikuwa wanaongea wafanyakazi huku wakiwa makundi Kwa makundi, Hii sio haki na tunaonewa sana na hawatuthamini sasa nawauliza ndugu zetu mmepatwa na nini siku ya leo? Maisha ndio haya haya mmeongezwa au mmejiongeza wenyewe bila kujua. Nini kimewakuta kwenye...
  19. Kaka yake shetani

    sikukuu ya wafanyakazi ujumbe kwenu

    Hapa kuna ujumbe kuhusu wafanyakazi wote mda mwengine uzembe na mazoea umebebeka sana kwenu. Hii ni picha ya mfano mfanyakazi .
  20. ACT Wazalendo

    Dorothy Semu: Kikokotoo Kinawaumiza Wafanyakazi

    Tunasimama na Wafanyakazi Tanzania, Kikotoo cha mafao kinawaumiza wafanyakazi. Chama cha ACT Wazalendo kinaungana na wafanyakazi wote Duniani katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi. Siku hii ni muhimu sana katika kuwaleta pamoja wafanyakazi katika kutafakari hali yao, maslahi na stahiki zao...
Back
Top Bottom