Tunasimama na Wafanyakazi Tanzania, Kikotoo cha mafao kinawaumiza wafanyakazi.
Chama cha ACT Wazalendo kinaungana na wafanyakazi wote Duniani katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi. Siku hii ni muhimu sana katika kuwaleta pamoja wafanyakazi katika kutafakari hali yao, maslahi na stahiki zao...