Salam salam.
Kuna filamu za nje (Ulaya na Amerika) zenye maudhui ya wafungwa zingine zikijikita katika kuwahoji wafungwa, yaani maisha waliyoishi kabla, makosa waliyoyafanya,hukumu walizopewa,na maendeleo yao huko gerezani.
Napenda kuuliza kama hili la kufanya mahojiano na wafungwa haswa...