Nyota wa mchezo wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner amerejea nyumbani akitokea Urusi baada ya mabadiliko hayo huku Viktor Bout akirejea upande wa pili baada ya kuwa kifungoni kwa Miaka 12.
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Griner yupo salama na alikuwa njiani kurejea nyumbani akipitia...