28 July 2022
Ukerewe, Mwanza
MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA
Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao na kuachiwa huru. Mzizi wa Hii kesi ilitokea wakati wa kurudisha fomu za udiwani, walipigwa risasi...
Misri imewaachia huru wafungwa saba wakiwemo mwandishi wa habari Hisham Fouad pamoja na mtafiti wa masuala ya binadamu (anthropology) Ahmed Samir ambao walikuwa wakishtakiwa na makosa yanayohusiana na ugaidi.
Hatua hiyo imefanyika siku moja baada ya Serikali ya Rais Abdel Fattah el-Sissi kutoa...
Shirika la kutetea haki za binadamu nchini humo limetoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa maelfu ya watu wa Tigray wanaozuiliwa katika kambi mbili katika eneo la kaskazini-mashariki la Afar tokea Desemba 2021 kinyume cha sheria.
Inaelezwa kuwa ukosefu wa huduma za kimatibabu katika kambi hizo...
Takriban wafungwa 43 wameuawa kufuatia ghasia kati ya magenge hasimu ya Los Lobos na R7 kwenye gereza la Santo Domingo. Ecuador inapambana na wimbi la ghasia zinazohusisha magenge ya uhalifu, na hivi karibuni imeshuhudia vurugu mbaya zaidi katika historia
Mbali na vifo, Jeshi la Polisi limesema...
Kuanzia mwezi Mei, 2022, Mahakama itaanza utaratibu maalum wa kupokea maoni kwa wafungwa na mahabusu kwa kutumia mfumo wa dodoso kuhusu mwenendo wa utoaji haki.
Akizungumza jana na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa huduma kwenye kituo cha kupokea maoni ya wateja wa mahakama, Mtendaji...
Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi ametoa msamaha kwa mwanahabari aliyefungwa jela kwa madai ya “kusambaza habari za uongo”, msamaha ambao umeenda sambambana zaidi ya wafungwa 3,000.
Mwandishi huyo Hossam Moniss alihukumiwa kifungo cha miaka minne jela Novemba kwa shtaka la kusambaza habari za...
Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa wapatao 3,826 kwa masharti mbalimbali
Msamaha huo utahusisha Wafungwa wanaotumikia adhabu kwa makosa ya usafirishaji wa Dawa za Kulevya ambao wamekaa gerezani kuanzia miaka 20 na...
Yaani Mtu Kaiba na Kaua au amesababisha Hatari Kubwa ama katika Jamii au Nchi halafu akihukumiwa na Mahakama kwenda Jela Kisheria asiitwe tena Mfungwa na sasa aitwe Mwanafunzi?
Kwahiyo Mbakaji awe anaitwa Mwanafunzi Mbakaji, Muuaji nae awe anaitwa Mwanafunzi Muuaji huku Jambazi nae awe anaitwa...
Hapo vipi!
Jana nimesikia maombi ya viongozi wa dini kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kiukweli kinachoonekana hapo nikwamba baadhi ya viongozi wa dini ni wanasiasa wenye mrengo fulani, lakini namuona kiongozi mmoja wa dini ambaye ndio, aliyepanga huo makakati kwa lengo la kumuombea...
Muendesha Mshataka Mkuu wa Serikali ya Ukraine ametangaza kuwaachia wafungwa wote wenye uzoefu wa kijeshi ili wasaidie kuipigania nchi yao
Baadhi ya wafungwa wameshaanza kuachiwa. Ili kuweza kupambana na majeshi ya Urusi ambayo yameendelea kupiga nchi hiyo
Aidha wanawake wa nchi hiyo wamesema...
Takriban nusu ya wale waliotoroka kutoka jela nchini Ethiopia mapema asubuhi ya Jumatano bado hawajapatikana.
Kwa jumla, wafungwa 130 walitoroka jela katika mji wa Nefas Mewcha katika eneo la Amhara.
Walisaidiwa na wale wanaodai kuwa wanachama wa wanamgambo wa Fano ambao wamekuwa wakipigana...
Serikali ya Ethiopia imesema itawaachia Viongozi kadhaa wa Upinzani, ikiwa ni jitihada za kuleta maridhiano ya kitaifa na kuhamasisha amani.
Imeelezwa, Viongozi wa Tigrayan People's Liberation Front (TPLF) watakuwa miongoni mwa waliopata Msamaha huo. Vikosi vya Serikali vimekuwa vikipigana na...
Takriban wafungwa 68 wameuawa kwenye mapigano mapya katika gereza la Ecuador.
Ghasia katika gereza la Litoral katika mji wa Guayaquil inasemekana zilianza Ijumaa jioni.
Ripoti zinasema Polisi ambao wameingia kwenye majengo ya magereza wamekuta bunduki na vilipuzi.
Zaidi ya wafungwa 100...
Maafisa wa usalama wa Israel wasibitisha kuwakamata wafungwa wa 4 kati ya 6 hatari wa wanamgambo wa kipalestina waliotoroka kwenye gereza lenye ulinzi mkali la Gilboa.
Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa.
Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na...
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe Neema Gerald, amesema kuwa ili kuipunguzia serikali mzigo wa kununua magodoro kwa ajili ya wafungwa na mahabusu gerezani, basi ione haja ya wafungwa hao kuwa wanaenda na magodoro yao.
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe Neema Gerald
Mbunge huyo ametoa...
Mfungwa anapomaliza kifungo na kurudi uraiani anakuwa kama mtoto. Hana kazi, hana mali na wakati mwingine hata utu wake huonekana tofauti. Anaweza kuonekana kama mhalifu kama wengine wengi ambao wakitoka jela huwa na sura za kutisha.
Huonekana si kitu. Hana mbele wala nyuma na waswahili husema...
Mahabusu na wafungwa Wana haki ya kuishi Kama binadamu wengine. Tumeona mahabusu wakifikishwa mahakamani bila barakoa, tumesikia mahabusu waliopo vituo vya polisi na Magereza wakidai hawaruhusiwi kuvaa barakao Wala kuchukua tahadhari ya corona, je waziri wa mambo ya ndani na Waziri wa afya mna...
Kifungo ni moja ya hatua za kumuwajibisha mkosaji ili atambue kosa lake na aweze kujirekebisha kwa kutokufanya tena kosa hilo na hata makosa mengine.
Mtu anapofanya kosa na kupewa kifungo au kuwekwa kifungoni huitwa mfungwa. Kifungo hufanya watu kufuata sheria na hupunguza kwa kiasi fulani...