wagombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Naamini lengo la CCM ni zuri lakini hili la kuteua wagombea siku moja kabla ya uchaguzi linafikirisha

    Kidumu Chama cha mapinduzi, Pongezi na hongera kwa kila mmoja aliyefanikisha uchaguzi wa Chama na jumuiya kwa ngazi zote. Mmefanikisha kuitekeleza demokrasia kwa vitendo. Kesho tarehe 07/12/2022 Chama kinakwenda kuhitimisha uchaguzi kwa kuchagua viongozi wakuu wa chama na wajumbe wa NEC Taifa...
  2. and 300

    Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa

    Tutarajie 2025 Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa kama ilivyokua 2020? Babu Chalechale (a.k.a Build and construction) nae akapata ulaji kwao bila Kupingwa aisee! 2020 ilikua aibu ya Karne.
  3. Msanii

    Akaunti ya Instagram ya Serikali kutumika kuwanadi wagombea wa uchaguzi wa CCM

    Nimeliongea hili kwenye uzi wangu VYAMA VYA UPINZANI AZIENI HAPA... kuhusu ndoa ya CCM na Serikali ambapo hii akaunti inayojinasibisha kuwa ni ya serikali ikitumika kama eneo la kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za uongozi ndani ya chama dola Akaunti ya Instagtam kwenye bio yake Hivyo...
  4. F

    Neno la shukrani kwa Kamati kuu na NEC ya CCM kwa uteuzi bora wa wagombea

    Kwa mara nyingine tena siwezi kuficha hisia zangu za furaha kwa kazi nzuri iliyofanywa na kamati kuu na Halmashauri kuu ya CCM taifa kwa uteuzi bora wa wagombea. Nami pia nilikuwa ni moja ya watia nia kwa nafasi ya uenyekiti wa UVCCM Taifa lakini sijafanikiwa kupita lakini hilo haliachi...
  5. CM 1774858

    UTEUZI CCM JUMUIYA: Chama cha Mapinduzi chateua wagombea nafasi ya Taifa katika Jumuiya zake zote, hawa hapa walioteuliwa

  6. NetMaster

    Uchaguzi Marekani Midterms: 95% ya Wagombea waliopendekezwa na Trump washinda, Morali ya Trump kurudi 2024 imepanda zaidi

    System inamuogopa sana Trump, wanajua ana support kubwa sana ya wamarekani ukiachana na data zinazopikwa na cnn na ggogle aonekane hapendwi, kwa mara nyingine tena Trump kafumua mshono kajibu kwa vitendo baada ya asilimia 95% a wagombea aliowapendekeza kuchukua ushindi, Jeshi hili la wafuasi...
  7. BARD AI

    Wagombea Urais wa Azimio la Umoja wafungua kesi ya kupinga Urais wa Ruto Mahakama ya Afrika Mashariki

    Kiongozi wa chama cha Narc Kenya Martha Karua ambaye alikuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa Raila Odinga amehamia Mahakama ya Afrika Mashariki akiikashifu tume ya uchaguzi kwa kazi "mbaya" na Mahakama ya Juu zaidi kwa kutupilia mbali ombi la uchaguzi wa urais wa 2022 lililopinga ushindi wa Rais...
  8. Pfizer

    Dodoma: Taarifa ya Kufanyika Vikao vya CCM Taifa

  9. DodomaTZ

    Job Ndugai akwama kongwa Wanaccm wawabwaga yeye na wagombea wake aondoka ukumbini bila kuaga, awatishia UWT kukosa mikopo

    Spika Mstaafu wa Bunge la 11, Job Ndugai amejikuta katika aibu kubwa baada ya wanachama wa CCM Wilaya Kongwa katika JUMUIA YA WAZAZI NA UVCCM kuameamua kujiondoa katika mfumo wa ubabe, kupelekeshwa, amri za hapa na pale za nani achaguliwe katika uongozi wa CCM Wilaya Kongwa. Katika chaguzi...
  10. Lady Whistledown

    Nigeria: Tume ya Uchaguzi imetangaza majina 18 ya Wagombea wa Urais

    Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (INEC) imebainisha kuwa Vyama Vya Siasa 18 vimesimamisha wagombea Urais na Wagombea Wenza akiwemo Atiku Abubakar wa Chama Cha Upinzani cha Peoples' Democratic Party (PDP) na Gavana wa zamani wa Lagos, Ahmed Bola Tinubu, wa Chama Tawala cha All Progressives...
  11. Bemendazole

    Tetesi: Mkwamo wa Uteuzi wa wagombea EALA- CCM (Ngoja niwape mbinu)

    Leo, makada wengi wa chama pendwa walitarajia Shaka angetoa orodha ya walioteuliwa kugombea nafasi za Ubunge wa Afrika Mashariki, Lakini hakufanya hivyo. Dalili zinaonesha kuna mkwamo mahali fulani na nani apite, nani atemwe! Tathmini yangu inaonesha vigogo wengi wameleta vimemo wakipendekeza...
  12. N

    Chadema imekataa kuweka wagombea EALA lakini usishangae wakawepo na kushinda

    Kama "signature" inayosemekana ni ya mnyika ilifanikisha kumtoa mwanadada aliyekaa jela siku 120 kesho yake akaapishwa kwenye gereji na wenzake 18 kuwa wabunge hii itashindikanaje Covid 19 wanatamba wana kebehi majaji wanashikwa na kigugumizi wafate sheria au maagizo toka juu kwenye jikesi lao...
  13. BARD AI

    Kenya 2022 Wagombea Urais Kenya waanza kuwasili ukumbi wa kutangaza Matokeo

    MATOKEO KENYA: MSAFARA WA NAIBU RAIS RUTO NA MKEWE KUELEKEA BOMAS MUDA HUU Naibu Rais William Ruto na mkewe Rachael Ruto wameondoka nyumbani kwao Karen kuelekea eneo la Bomas ambapo Tume ya Uchaguzi, IEBC itatangazia Matokeo ya Urais. Taarifa ya Mwenyekiti wa IEBC, Wafula Chebukati...
  14. S

    DOKEZO CCM - Mkoa wa Ruvuma wapokea rushwa kukata majina ya wagombea

    Makao Makuu ya CCM - DODOMA, Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM. Mfano wa wazi: Kuna idadi ya watu waliojitokeza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa ruvuma na miongoni mwao yupo anayemaliza...
  15. Erythrocyte

    Kenya 2022 Je, ni Mawaziri wangapi wa Kenya waliopita bila kupingwa?

    Kwenye Uchaguzi unaoendelea Nchini Kenya kuna jambo la kujifunza, kila mwenye haki ya kugombea na aliyetimiza vigezo ameachwa agombee , ashinde ama ashindwe mwenyewe. Mpaka sasa sijasikia mgombea yeyote aliyepita bila kupingwa, wala sijasikia Wagombea waliotekwa , kupigwa ama kuporwa fomu, wala...
  16. Roving Journalist

    Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Wagombea Urais William Ruto kutokea Umoja wa Vyama vya Kenya na Raila Odinga

    Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa Kiongozi ya Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa nyakati tofauti, amekutana na kufanya mazungumzo na Wagombea Urais William Ruto kutokea Umoja wa Vyama vya Kenya Kwanza, na Raila Odinga wa Umoja wa Vyama vya...
  17. MK254

    Siasa zetu huwa kwenye kiwango chake, mdahalo mkali ujao baina ya wagombea Urais

    Napenda sana siasa za kihivi, pale ambapo hakuna uhakika nani ataukwaa urais, wagombea wote kila mmoja anajinadi kwa kila namna. Mdahalo umeandaliwa baina ya wagombea urais ambapo watapambanishwa kwa hoja kila mmoja aeleze kwanini tumchague yeye. Watatumia jukwaa moja na itakua mwendo wa...
  18. Superbug

    Nauliza swali NEC na Polisi kuhusu utekwaji wa wagombea wa upinzani katika chaguzi

    Naomba kuuliza hili swali ambalo huwa silielewi linashuhulikiwa vipi na sheria zetu. UTEKWAJI wa WAGOMBEA wa UPINZANI wanaoonekana Wana nguvu kuliko WAGOMBEA wa chama tawala kwanini wanatekwa na kunyanganywa fomu au hata kupigwa hii inakuwaje? Na hizi kesi zinaishaje? Kwanini wanaotekwa au...
  19. Roving Journalist

    Dodoma: Majina matatu ya wagombea wa nafasi ya Skauti Mkuu, yapitishwa

    Mkutano Mkuu wa uchaguzi wa Chama cha Skauti Tanzania uliofanyika jijini Dodoma umepitisha majina matatu ya wagombea wa nafasi Skauti Mkuu ambayo yatawasilishwa kwa mlezi wa Chama hicho Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya uteuzi. Akitangaza matokeo...
  20. JanguKamaJangu

    Kenya 2022 Utafiti: Umaarufu wa wagombea Urais Kenya, Raila 50%, Ruto 25%

    Mgombea wa Urais kupitia Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga ameendelea kuongoza kwa umaarufu kuliko wagombea wenzake katika Jiji la Nairobi, Kenya akifuatiwa na mgombea wa Kenya Kwanza, William Ruto. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Utafiti wa Shirika la Trends & Insights for Africa (TIFA)...
Back
Top Bottom