mwaka 2019 wagombea wengi wa CHADEMA walienguliwa kwa sababu ya mapungufu makubwa kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi. Mwaka 2024 CHADEMA wamejifunza somo sasa viongozi wote wanawasaidia kujaza fomu ili lisiwapte la 2019. Ni jambo jema kukiri makosa kwa vitendo
FRV. Gaspar E. Temba...
Tuweke siasa pembeni, lakini ni mtazamo wangu kama nakosea mtasema.
Ukifuatilia wagombea wengi wa serikali za mitaa ni darasa la saba, au hawajasoma kabisa na watu wa kipato cha chini je serikali kwanini isibadili sifa za kugombea serikali za mitaa?
Sababu tukipata watu au wataalamu mbalimbali...
Baada ya zoezi la uandikishaji kukamilika na waziri wa Tamisemi kutangaza kuwa walijitokeza kujianidkisha katika taftari la kupiga kura la wakazi, na Dodoma ikitajiwa kuwa na idadi kubwa ya waliojiandikisha ambapo kwa mujibu wa waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengelwa amesema kuwa Dodoma...
Trump amesema anafikiria wagombea wote wa urais wanapaswa kupewa mtihani wa uelewa, huku akisisitiza kwamba yuko sawa kiafya ya akili na muafaka kuingia madarakani.
Akimzungumzia Kamala Harris huko Pennsylvania, alisema: "Sina tatizo la uelewa – lakini yeye anaweza kuwa na tatizo hilo."
Trump...
17 October 2024
JOHN MNYIKA - WAZIRI WA TAMISEMI ATOA WARAKA MPYA KATIKATI YA MCHAKATO AMBAO ULISHAANZA NDANI YA VYAMA, HII NI MBINU NYINGINE ...
https://m.youtube.com/watch?v=BeuXJmbVxUA&pp=ygUJSmFtYm8gdHYg
Katibu mkuu wa CHADEMA kamanda John John Mnyika aelezea kubadilika kwa muda na kanuni za...
Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu...mwaka huu kumekuwa na ugumu sana kwenye haya mazoezi...
Kwenye vitambulisho vya kura watu wameenda tu tokana kuaambiwa vitawasaidia kwenye shughuli nyingine km ID...
Navuta picha kubwa nin kitatokea kwenye siku za kupiga kura.
CCM naomba tubadilike...
Uchaguzi wa serikali za mitaa upo jirani sana, Wagombea kutokea vyama mbalimbali wameanza kujipanga ili waweze kupata ridhaa ya vyama vyao.
Sambamba na hilo pia uchaguzi mkuu ni hapo mwakani tu panapo majaliwa, kuelekea katika chaguzi zote rushwa inatamba sana, wengi hutoa rushwa kwa mifumo nã...
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ni muhimu kuimarisha mchakato wa kidemokrasia nchini Tanzania. Moja ya njia bora ya kufanya hivyo ni kwa kuandaa mdahalo wa wagombea urais kutoka vyama vyote vya siasa, ambao utawapa fursa wagombea kujieleza kwa uhuru bila kuwakilishwa na chama chao...
Hivi huwa mnajisikiaje hata baada ya kubadilisha matokeo halali ya uchaguzi au kuengua Wagombea wa upinzani bado mnawateka Wagombea hao na kuwatelekeza maporini waliwe na wanyama kama alivyokiri Leo aliyekuwa DC wa Longido Marco Ng'umbi?
Ila nyie hata shetani inabidi aje kuchukua mafunzo...
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria. Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge.
Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba...
Zaidi ya miaka 30, nchi ya Somalia imekuwa ni uwanja wa mapambano wa makundi yanayopingana na hakuna mwelekeo wa kupata suluhu karibuni. Ilikuwa ni nchi yenye kheri nyingi mpaka pale walipomkufuru Mungu na kufanya kiburi kwa neema walizokuwa nazo.
Marekani nayo, kwa takriban miaka 50, imekuwa...
Hodi hodi jukwaani ,, bila ya kupotezeana muda ,, moja kwa moja ningependa kudumbikia kwenye hoja ..
Najua fika ,, katiba ya nchii inamtaka mgombea wa kiti cha uraisi ,, awe na sifa zifuatazo ..
1) Awe raia halali wa nchi ya Tanzania...
2) Awe na akili timamu ..
3) Awe na umri usiopungua...
DEMOKRASIA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amesema ili kupata Viongozi wanaoweza kukabiliana na CCM, chama hicho kinapaswa kutumia njia ya Midahalo ya Wazi kupima uwezo wa Wagombea
Msigwa ameeleza hayo wakati akizungumza na Wanahabari na kusema "Napendekeza katika ngazi...
Wakati wa Uchaguzi baadhi ya Watu huibuka na kutengeneza akaunti 'feki' na kuzipa majina ya Wagombea au kubadili jina la akaunti zao na kutumia jina la mgombea fulani.
Akaunti hizo hutumika kutengeneza taarifa au maudhui mbalimbali yanayomuhusu Mgombea wa Uchaguzi, hutumika kupotosha taarifa...
Inaeleweka kuwa kuna baadhi ya wafuasi wa vyama au wagombea fulani hawana utayari wa kusikiliza wagombea au sera za vyama wasioviunga mkono. Hii ni kwakuwa, kwa namna fulani, ‘wamefunga ndoa’ na sera zile wanazozijua tu na hawajawaza umuhimu wa kufungua akili na kuruhusu mitazamo mipya kutoka...
Majimbo yafuatayo hakuna wabunge hadi ila tume ya uchaguzi haiwezi kufanya chochote hadi 2025.
1. Mbeya Mjini
2. Moshi Mjini
3. Kibamba
4. Kawe
5. Nyamagana
6. Ilemela
7. Shinyanga town
8. Kaliua
9. Urambo
10. Sikonge
11. Tabora mjini
12. Majimbo yote ya Mtwara
14. Majimbo yote ya Singida
15...
Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.