Nimeshangazwa na hii style ya hiki chama
Wanahamasisha sana watu kupiga kura Hali inayowafanya tuwaone kuwa wanataka kushindanishwa kwenye sanduku la kura
Lakini ajabu ni kuwa wanawaengua washindani wao Tena kwa dhuluma tuu
Sasa mie najiuliza na jibu nalitaka
Hivi CCM wanataka...
Waswahili wanasema ukiwa Muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu, Jana mkurugenzi wa halmashaurimya wilaya ya KILOSA Ndugu MICHAEL GWIMILE alisema hawajawaengua kabisa wagombea wa CHADEMA na kwamba kila kitu kinakwenda sawa na kufuata kanuni, sheria na taratibu za kiuchaguzi, sasa hizi ni namba za...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameenguliwa bila sababu za Msingi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo.
Moja ya eneo...
Baada ya majina ya wagombea kutolewa jana na kubandikwa hali ya sintofahamu imeendelea kujitokeza km ilivyo kwenye maeneo mengi nchini.
Mkoani Singida kata ya Utemini ambayo inasimamia mitaa mitatu ya Sabasaba, Utemini na Stesheni wagombea waliobandikwa ni wa CCM tu.
1.Mtaa wa Sabasaba hakuna...
CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyanganyilo cha serikali za Mitaa
Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani.
Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA) na wagombea wao kwa Kuenguliwa katika...
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kupokea taarifa zinazoonesha wagombea wetu mbalimbali Nchini hawajateuliwa kwa sababu zisizo na mashiko kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi. Mchakato huu wa kuwatengua wagombea unakwenda kinyume na misingi ya haki, uwazi na usawa wa kidemokrasia...
CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyang’anyilo cha serikali za Mitaa
Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani.
Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA) na wagombea wao kwa Kuenguliwa katika...
Utata wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa, utata huu unatokana na kutotumia ubongo kuweka sawa kanuni huku wahusika wataka wasioridhika wakate rufaa! upotezaji muda.
TAARIFA KWA UMMA
Baada ya uteuzi wa Wagombea wa nafasi za Uongozi katika nafasi mbalimbali za Serikali za Mitaa, kuna Chama cha Siasa kimepanga na kinahamasisha wafuasi wao kwa njia mbalimbali ikiwepo kukutana, kupigiana simu, kutumiana ujumbe na kwa kutumia makundi sogozi, kudhuru watu na...
https://www.youtube.com/live/hM2imb4c6lE?si=k17W_0YvvGSkfLRI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa waweke pingamizi...
Akizngumza na wanahabari leo, Ijumaa Novemba 08, 2024 makuu ya Mikocheni ya CHADEMA, John Mrema ambaye ni Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya nje CHADEMA ameeleza kushangazwa baada ya Wagombea wa CHADEMA kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro kisa hawana kazi ya kumpatia kipato halali...
Inadaiwa wagombea wote wa CHADEMA Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameenguliwa.
Tutarajie ya mwaka 2019?
Kupata habari za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali...
Wakuu
Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X ameanika taarifa hii kutoka huko Mkoani wa Arusha
"Arumeru Mashariki Wagombea wa ACT Wazalendo katika Kata ya Seela Sing’isi...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.
Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo...
Hali hiyo hupelekea CCM madhubuti, kupata ushindi wa kishindo kwenye chaguzi zote huru, za haki na za wazi na kisha kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana.
CCM hutumia dhamana na fursa hiyo ya uongozi vizuri sana na kwa weledi mkubwa mno, kuwafanyia waTanzania...
Imetangazwa dakika chache zilizopita na vyombo vya Habari
=====
UPDATES:
=====
Rais wa zamani Donald Trump kutoka chama cha Republican, ameshinda Uchaguzi wa Marekani.
Chanzo: Spectator Index
Donald Trump ameoa mara tatu, Ivana na Marla Maples, mke wa kwanza na wa pili mtawalia ambao wote...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amekiri wazi kuwa chama chake kinapata wakati mgumu kupata wawakilishi wa Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa kutoka na hitaji la wingi wa Wagombea.
Amesema hayo katika mahojiano na Chief Odemba wa Star TV.
Unadhani kwa kauli hii ndio kusema Lissu...
Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi.
Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM.
Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya...
Mtendaji wakitongoji cha Idugumbi kata ya utengule usongwe Jimbo la Mbeya vijijini amekimbia Ofisi nakuzima simu zake zote.
Kumekuwepo na huu mchezo ofisi za vijiji na mitaa kufungwa muda ambao wagombea wanahitaji kuchukua na kurudisha fomu. Hii ni mbinu ambayo inatumika kuweka ugumu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.