Wakati wa chaguzi mbalimbali duniani huwa viongozi na wanasiasa wanatoa kauli mbalimbali katika kunadi sera zao na vyama vyao kwa ujumla. Kauli zinazotolewa huweza kuwa nzuri za kujenga au zikawa kauli za chuki zenye lengo la kugawa na kubagua kundi fulani.
Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema...
Wafahamu Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 ambao wameshafariki
Maalim Seif Sharif Hamad ambaye alikuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United Front (CUF) alifariki Februari 17, 2021 akiwa na umri wa Miaka 77 baada ya kupata Maambukizi ya Ugonjwa wa Corona.
Dkt. John...
Mdahalo wa Wagombea wa Uenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa kwa Chama cha ACT Wazalendo kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema, leo Februari 27, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=32rMuLtDJG0
Candidate
Running mate
Party
Anna Elisha Mghwira[42]
Hamad Mussa Yussuf
Alliance for Change and Transparency (ACT)
Edward Lowassa[42]
Juma Duni Haji
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Fahmi Nassoro Dovutwa[42]
Hamadi Mohammed Ibrahimu
United People's Democratic Party (UPDP)...
Ninashangazwa sana na kauli za makada waandamizi wa hiki chama cha Mbowe.. ni kauli zinazoashiria ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia inayotajwa kuwepo. Zaidi ya mara moja makada wa CHADEMA hasa Lema na Sugu wamekuwa wakijinadi kuwa watagombea ubunge kwenye majimbo ya Arusha na Mbeya kana kwamba...
Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni vyema vyama vyote vya upinzani vitakavyoshiriki vikaanza maandalizi mapema kabla giza halijazama.
Wote tunakumbuka uchafuzi uliofanyika katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ambapo vyama vya upinzani vilipata pigo moja...
Chatanda Ataka 20% ya Wagombea Nchini Wawe Wanawake
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda, amesema kutokana na hali ilivyo wanataka asilimia 20 ya wagombea wa majimbo, udiwani na serikali za mitaa wawe wanawake hasa katika uchaguzi ujao.
Chatanda amebainisha hayo wakati...
1. Katibu Mkuu (Afisa Mtendaji Mkuu/CEO) ndie atakayeratibu zoezi la kupata wagombea nchi nzima.
2. Apatikane Kiongozi Makin, mtulivu, Msomi na mwenye uzoefu katika Siasa na uongozi.
NB: Akitokea Zanzibar (sehemu ya Muungano) sio dhambi.
Umoja wa falme za kiarabu UAE umeitisha kikao cha dharura cha umoja wa mataifa kutaka lipitishwa azimio la kusitishwa vita haraka na bila masharti yoyote.
Wajumbe wote wanatarajiwa kuunga mkono azimio hilo na hofu imebaki kwa Marekani tu kama naye atapiga kura kuunga mkono.
Azimio la kusitisha...
Wagombea Wanne wa nafasi ya Urais Nchini DR Congo wameamua kujitoa na kueleza kuwa wanaelekeza nguvu zao katika kumuunga mkono Gavana wa zamani, Moise Katumbi ambaye ni mgombea mkuu wa upinzani katika uchaguzi huo.
Hatua hiyo inafanya wagombe waliosalia kuwa 21 mbapo wote wanawania nafasi...
Mazee mpo? Naenda kwenye hoja.
Kiukweli moja ya uchafuzi mkubwa wa Democrasia ya vyama vingi ni ununuzi na utekaji wa wagombea wakati wa uchaguzi.
Tumeamua multiparty democracy,ni vyema tukawa serious kidogo. Haiwezekani Tanzania Kila jambo linafanywa kisanii sanii.
Democracy ni kuruhusu raia...
Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.
Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote...
Ni muda muafaka sasa umefika CCM iruhusu ushindani kwa wagombea Urais ndani ya Chama.
Vile vile, kofia ya Urais na ya MwenyeKiti wa CCM Taifa itanganishwe ili iwe rahisi kwa Chama kuisimamia Serikali.
Nawasilisha.
Act ni chama kipya hapa nchini kilianzishwa baada fujo kule chadema mwaka 2013(kama nimekosea mwaka) wakati zitto akitaka kugombea uenyekiti mbowe akamfukuza ndo ACT ikazaliwa
Zitto binafsi niliwahi fanya nae mazungumzo ya simu sehemu moja nilipoona ana chuki za wazi kwa magu...pia...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Neema Lugangira ametaka maboresho ya vyama vya siasa na chaguzi ziainishe bayana uteuzi wa wagombea ndani ya vyama vya siasa katika nafasi mbalimbali za uongozi.
Ameyasema hayo leo Aprili 25,2023 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba...
Kama wanavyopelekwa Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Watendaji wengine nashauri pia watu watakaotaka kugombea Urais baada ya majina yao kupitishwa na tume waende kozi ya NDC hata kwa wiki tatu.
Hii inaweza kufanywa na hata kwa Baraza la Mawaziri.
Majimbo yote ya Arusha na Kilimanjaro Kwa kuzingatia Aina ya nguvu ya upinzani huko na wabunge waliopo Kwa SASA NI wazi mkiwapelekea wananchi wagombea serious wanapata endorsement before 2025.
Mkoa mtwara majimbo yote hayana mtetezi wanasubiri watetezi wafike, anzieni kwenye mikutano ya adhara...
Ndg: wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa, nashauri Msiwachague wagombea wa NEC ambao wanatumikia nafasi za Ubunge au Uwaziri. Ieleweke kwamba Mbunge wa Ccm! tayari ni Mjumbe wa vikao vifuatavyo.
1. Mkutano mkuu wa ccm kata anayoishi.
2. H/maushari kuu ya CCM wilaya.
3. Kamati ya Siasa wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.